kanumba

Steven Charles Kanumba (8 January 1984 – 7 April 2012) was a Tanzanian actor and director. Kanumba died in 2012 at the age of 28, for which actress Elizabeth Michael was convicted of involuntary manslaughter and sentenced two years in prison in November 2017. Over 30,000 people were estimated to have attended his funeral. He was described as "Tanzania's most popular film star", and appeared in Nollywood films.

View More On Wikipedia.org
  1. GoldDhahabu

    Mch. Katekela: Kanumba hakufa

    Kanumba hakufa? Hata sielewi! Daktari alithibitisha kuwa alikufa. Mch. Katekela kasema hakufa. Tumwamini yupi? Kisheria hili limekaaje? Sikiliza kuanzia dakika ya 2:15
  2. Kiranja Mkuu

    Msiba gani ulikugusa sana kati ya Mafisango, Kanumba na Magufuli?

    Vyote vilikuwa ni vifo vya ghafla sana. Mafisango alifariki kwa ajali ya gari, Kanumba kwa kubamizwa ukutani na Magufuli kwa mshituko wa moyo. Hawa wote walikuwa ni majabali kwenye fani zao. Mafisango alikuwa gwiji wa soka, Kanumba ni manju wa maigizo na Magufuli rais wa nchi.
  3. KIBUGAmk

    Kiukweli Kanumba alikuwa ana mvuto wa kipekee

    Habari zenu wana JF, Tukirudi kipnd cha nyuma miaka ya 2010 soko la bongo muv lilikuwa lilikuw juu sana kuliko hata muziki lkn baada ya Kanumba kufariki soko kimeyumba mpaka sasa Japo kidogo, Ramata anajitahidi kurudisha ule umakini wa zamani kupitia tamthilia kama 'jua kali'. Lakini kiukweli...
  4. Mohammed wa 5

    Bongo movie bila steven kanumba

    Ni miaka 11 Sasa tokea kifo Cha star mkubwa wa maigizo,the great Steven kanumba kutokea,kanumba alikuwa na content yake special iliyokuwa inambeba,sijaona wakuziba pengo lake,bongo movies ya Sasa Amna aliofikia level ya kanumba kwenye kuigiza,kipaji mpaka production. Steven kanumba baada ya...
  5. kwisha

    Diamond Platnumz anaweza kuziba pengo la Kanumba akiwa muigizaji pia

    Jana nilicheki ile video yake ya Zuwena, Diamond Platnumz anaweza kiukweli sio kuimba tu Diamond ni muigizaji mzuri tu tena mbunifu saana. Kama kuna watu ambao wako karibu naye wa mshauri afanye filamu ya huu wimbo wa Zuwena na amini anaweza pia kuamsha bongo movie na pia anaweza kupata pesa...
  6. chizcom

    Marehemu Kanumba uliondoka na Bongo Movie yako japo ndiyo ulianza kuichangamsha

    Leo nimekukumbuka baada kuona wasanii wa bongo hawana tofauti wanachama wa CCM baada ya maigizo yao au kazi zao. Japo ndio ulikuwa mwanzo mgumu ila ulitendea haki tukupe shukrani. Huku umetuachia wajinga wengi mpaka wengine wamekuwa wanyekiti wa misiba na mbwembwe.wapo wachache wenye kutimiza...
  7. 6 Pack

    Ten years now, tasnia ya movie imekosa mbadala wa Kanumba nchini

    Vipi wakuu, kwema huko mitaani. Ebwana inasikitisha kuona nchi kubwa kama TZ, iliyosheheni watu wenye vipaji mbali mbali vya uigizaji, anakosekana mtu wa kuziba pengo aliloacha hayati Kanumba. Mwanzo mwanzo Rey alikuja na mikwara ya kujifanya kuwa yeye ndo mwenye uwezo wa kuliziba na kulifunga...
  8. MimiNiMakini

    Kanumba hayupo filamu zipo, Diamond akifa muziki utaendelea

    Imetoka List ya Wasanii wenye Ushawishi mkubwa Barani Africa, Diamond ametokea pia kwenye List hiyo na Mbaya Zaidi amejisifu kwamba Bila yeye bendera ya Tanzania haitapepea tena kimataifa iwapo hasa atafariki. Inachekesha Sana, Diamond ameshajikuta kwamba bila yeye mambo hayaendi, huu ni uongo...
  9. Poker

    Kama Kanumba angekua bado hai, unahisi Bongo Movie ingekua wapi?

    The Great Kanumba kama alivyopenda kujiita alikuwa ndio star mkubwa Bongo hii na nje ya mipaka yake. Akishirikiana kwa ukaribu na waghana na wanaijeria katika kuhakikisha tasnia ya Bongo movie inapaa kileleni. Wakati huo enzi za steps entertainment wakiwa kama wasambazaji wakubwa takwimu...
  10. mgt software

    Visent Kigosi (Ray) Nyota yake ilikuwa inazunguka kwa Mgongo wa Kanumba. Kifo cha Kanumba kimeleta shida sana kwake

    Wana JF Ukisikia nyota kung'aa huwa ina msukumo wa dodoki, hii imetokea mwigizaji nguli Ray ambaye akiweka sana miaka 8 iliyopita kwa mgongo wa Kanumba, ambaye alitokea kupanda sana kutokana na juhudi zake za kukonga roho za watu kutokana na umahili wa kuigiza nyanja zote. Msindani wake...
  11. Miss Zomboko

    Serikali: Familia ya Majuto na Kanumba wameshalipwa fedha walizokuwa wanadai kutokana na kazi zao walipokuwa hai

    Serikali imesema kuwa imeokoa na kurejesha mamilioni ya fedha kwa familia za marehemu Mzee Majuto pamoja na familia ya marehemu Steven Kanumba kupitia mikataba ya kazi walioingia wakiwa hai. Hayo yameelezwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Hassan Abbasi...
  12. Bushmamy

    TANZIA: Baba wa Kanumba afariki

    Mwanae janael kanumba kathibisha hilo, kafariki mkoani Shinyanga alikokuwa anapatiwa matibabu === Dar es Saalam. Baba wa marehemu Steven Kanumba amefariki dunia leo Jumapili ya March 8,2020 akipata matibabu katika Hospitali ya rufaa mkoa wa shinyanga. Taarifa za kufariki kwake zimethibitishwa...
  13. Francis12

    TANZIA: Muigizaji Seth Bosco (Mdogo wa Marehemu Kanumba) amefariki dunia Usiku wa kuamkia leo

    Mdogo wa Marehemu Steven Kanumba, Seth Bosco amefariki usiku wa kuamkia leo baada ya kuzidiwa akiwa nyumbani kwa Mama Kanumba Kimara, Dar es Salaam alipokuwa akiuguzwa kwa muda sasa baada ya kufanyiwa upasuaji kwenye uti wa mgongo. Abela ambaye ni Dada wa Marehemu amethibitisha...
  14. Kamgomoli

    Mdogo wake Kanumba apooza ghafla

    Kuna video imeniumiza na kunisikitisha kupitia Grobal TV Online ambapo mama Kanumba anaeleza kwa uchungu sana jinsi mdogo wake Kanumba Seth alivyopata ugonjwa wa ajabu uliopelekea kupalalaizi kuanzia kiunoni mpaka miguuni. Mama anaomba msaada wa gharama za matibabu ambazo anadaiwa pale...
  15. Pascal Mayalla

    Daktari wa Kanumba ni Imposter?

    Wana body, Naomba kutoa duku duku langu kuhusu huyu jamaa anayejiita Daktari wa Kanumba kama ni daktari kweli au he is just an imposter anaye pose kama daktari na luckly Kanumba akamuaminia na kumfanya ni daktari wake! Japo bado sijafanya search yoyote kuestablish authenticity ya udakitari...
Back
Top Bottom