KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,830
- 12,318
cc Ney wa Mitego.
inamaana mama yako hakustaili kununuliwa gari na baba yako.Wanaume aliyeturoga kafa maana angekuwepo angetengua uchawi wake, haiwezekani mama yako aliyekuzaa kakulea,kakutunza vizuri unashindwa kumnunulia hata baiskeli lakini Mupenzi just mpenzi unamnunulia gari la dhamani kubwa na kutangazia umma na kingereza chenu kibovu ''this is for my baby'' au ni mimi na ushamba wangu jamani, Mpenzi gari, nyumba nzuri mama anateketea na umasikini Wanaume tuna laana.
hiyo inaitwa power of u.ch.i
nasisi tunapita njia hiyo hiyo mkuu!kweli maji hufuata mkondo!... samsoni na delila ...adam na eva
hapa sii wa kike wala wa kiume wote tumelogwa kuwasahau wazazi........
No.......wanawake tupo tofauti.......wengi wetu mama ni número uno.......my mum is everything..........
ni kweli most of us tunaumbka mama zetu kuanzia mavazi ,na maisha yao kwa ujumla, ila wapo wanaojisahau baada ya kuolewa na kukutana na mtu ambaye hajali wazazi wake
hiyo inaitwa power of u.ch.i
Wanaume aliyeturoga kafa maana angekuwepo angetengua uchawi wake, haiwezekani mama yako aliyekuzaa kakulea,kakutunza vizuri unashindwa kumnunulia hata baiskeli lakini Mupenzi just mpenzi unamnunulia gari la dhamani kubwa na kutangazia umma na kingereza chenu kibovu ''this is for my baby'' au ni mimi na ushamba wangu jamani, Mpenzi gari, nyumba nzuri mama anateketea na umasikini Wanaume tuna laana.
Usifanye hivyo bwanahiyo inaitwa power of u.ch.i
Gari sio kipaumbele kikuu katika maisha, kuna mambo mengi yanapaswa kufanywa kabla ya kufikiria gari. Siwezi nikaacha kumnunulia mpenzi wangu gari eti kwa kuwa mama yangu sijamnunulia hata baiskeli. Huenda kwa wakati huo kipaumbele kwa mama si usafiri bali ni mambo mengine. Mama anapaswa kuishi maisha bora na mpenzi wangu anapaswa kuwa na gari kama tu gari ni kipaumbele kwa wakati huo na sio vinginevyo. Tuache kuweka hisia mbele ya fikra.
mama alikua akibahatika kuzaa mtoto wa kiume anafurah sana kwani anajua wale mabint wataolewa lakini yule wa kiume atabaki kuwa mwangalizi wa wazazi wake watakapozeeka...
lakini mambo yamebadilika, vijana wa kiume hawathamini kbs wazazi wao, lakini watoto wa kike, haijalishi wameolewa au la lazima watunze wazazi wao. HII NI ISHARA MBAYA SANA KWENU WANAUME