Ntuzu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 17,418
- 10,879
Mweeee! Ki nini hicho?
Ntuzu na vile unapenda rangi nyeupe,
Huyo atakuacha uwanunulie wazazi wako Wheelbarrow ya kubebea majani ya ngo'mbe kweli??
Ukiwaza sura yake ilivyo na papuchi unaona iko vivyo hivyo!!
Mwisho Hongera Mshirika Mwezangu Jana Ze Bluz Walitupa Raha.
Kwa rangi tu Yani hapo ata suruali ntashona viraka! Achilia mbali kununua Hiyo wheelBarrow!
Asante sn! Jana tumeshinda vzr tu! Lkn mbona haupiti kwenye thread yetu kule ya Chelsea?
Uwe unapita best yng! Yani uwepo wako Wewe mimi hua nafurahi sn!
naomba ufafanuzi kwenye red... inaonekana una element za kibazazi..!
si bure... wanaweka mnaweza!!!