Mama hana hata baiskeli, this is for my baby.

Wanaume aliyeturoga kafa maana angekuwepo angetengua uchawi wake, haiwezekani mama yako aliyekuzaa kakulea,kakutunza vizuri unashindwa kumnunulia hata baiskeli lakini Mupenzi just mpenzi unamnunulia gari la dhamani kubwa na kutangazia umma na kingereza chenu kibovu ''this is for my baby'' au ni mimi na ushamba wangu jamani, Mpenzi gari, nyumba nzuri mama anateketea na umasikini Wanaume tuna laana.

umenikoshaaaaa!
 
Unajuaje kipaumbele cha mtu kwani ukimnunulia mamako gari atakataa.

kama huwezi kujua vipaumbele vya mama yako basi utakuwa una tatizo fulani si bure. Kumnunulia hilo gari ni ili akuone tajiri (show off) au ni kumrahisishia maisha? Ikiwa lengo ni kumrahisishia maisha sikatai kumnunulia hilo gari ila ninachosisitiza mimi ni uhitaji wa hilo gari, je gari ndio kipaumbele kwa wakati huo?
 
Sijui tatizo huwa ni nini jamani maana mie nashindwa hata kuelewa
 
kama huwezi kujua vipaumbele vya mama yako basi utakuwa una tatizo fulani si bure. Kumnunulia hilo gari ni ili akuone tajiri (show off) au ni kumrahisishia maisha? Ikiwa lengo ni kumrahisishia maisha sikatai kumnunulia hilo gari ila ninachosisitiza mimi ni uhitaji wa hilo gari, je gari ndio kipaumbele kwa wakati huo?

Hujitambui endelea kumnunulia/kununuliwa gari utapata laana za bure.
 
Kumbe ndo maana maisha yamekuwa mafupi!! leo nimetambua.
 
Hujitambui endelea kumnunulia/kununuliwa gari utapata laana za bure.
kwa hiyo nikiendelea kununulia/kununuliwa
gari nitapata laana za bure..... mmmmh huwezi kuwa serious mkuu
 
Wanaume aliyeturoga kafa maana angekuwepo angetengua uchawi wake, haiwezekani mama yako aliyekuzaa kakulea,kakutunza vizuri unashindwa kumnunulia hata baiskeli lakini Mupenzi just mpenzi unamnunulia gari la dhamani kubwa na kutangazia umma na kingereza chenu kibovu ''this is for my baby'' au ni mimi na ushamba wangu jamani, Mpenzi gari, nyumba nzuri mama anateketea na umasikini Wanaume tuna laana.

Kwani Mama hana baby?
 
KUMBE MMESHAJIJUA UDHAIFU WENU
YAANI MAMA YAKO ALIYEKUZOA ...... (LIMEHIFADHIWA)
HUMPI HATA KHANGA WEWE UNAKWENDA MPA HUYO ALIYEKUDO
KWELI KAMA MMETAMBUA HILI NADHANI SASA MTABADILIKA NYINYI
NDUGU ZETU WANAUME MMEZIDI SANA KUMBUKENI WAZAZI HEEE

CC: Excel, Ntuzu,

na huyo mwenyekiti wa mabazazi M

naomba ufafanuzi kwenye red... inaonekana una element za kibazazi..!

si bure... wanaweka mnaweza!!!
 
Unachokupa mama yako haezi kukupa
 
ha ha ha sio men tuu hii laana hata sisi wadada.......
kwani kukumbuka wazazi ni wote even girls watoto wa kiume wakijenga wakike mavazi plus matumizi madogo dogo like vyombo vya ndani,wazazi wawe wanakula vizur n.k

Hapa nakubishia, Asilimia Kubwa Ya Wanawake Lazima Wawatunze Wazazi Wao,Ila Kwa Wanaume Ni Wachache Sana.
 
Kinazidi malezi ya mama tangu upo tumbo mwake jiulize ugua au upate ajali au ufulie kama watakuwa karibu.

Ndo Wanaume wajiulize ni sababu zipi zinazowafanya wawagharamie wanawake ilhali wazazi wao wanadhiki huko vijijini ni nini??

Malezi ya wazazi kwa wanaye ni jukumu la lazima lisilokwepeka,
Ila mtoto kumsaidia mzazi wake ni yeye mwenyewe na akili yake.
 
Kumbe we mbeijing.
 
Wanaume aliyeturoga kafa maana angekuwepo angetengua uchawi wake, haiwezekani mama yako aliyekuzaa kakulea,kakutunza vizuri unashindwa kumnunulia hata baiskeli lakini Mupenzi just mpenzi unamnunulia gari la dhamani kubwa na kutangazia umma na kingereza chenu kibovu ''this is for my baby'' au ni mimi na ushamba wangu jamani, Mpenzi gari, nyumba nzuri mama anateketea na umasikini Wanaume tuna laana.

chelsea 4 tottenham 0.
 
unauliza nini? hawa ma baby wa siku hizi kwa kutuseti vizuri hawajambo...wewe unafikiri mwanaume mtu mzima kuishi nyumba ya kupanga huku kwa m_baby umejenga bonge la nyumba inakuaga hivi hivi tu...lazima uwe umesetiwa..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom