Malengo Yako Ya 2026 ni yapi?

1. Kuongeza wigo wa biashara, yaani niwe na matawi.

2. Kuuweka sawa mji wa marehemu baba angu uko kijijini uwe na muonekano wa kisasa

3. Kuanzisha taasisi ya kutetea na kuwainua wanaume pamoja na kupaza sauti masaibu yanayokutana nayo katika maisha ya kila siku huku jamii ikiwa inaona ni halali kwa mwanaume kuteseka

4. Kuakikisha sportybet wananipa hela ya kununua gari la kuweka heshima mjini.
 

Funguka kidogo hapo sportybet wanavyokupa hela ya kununua gari
 
Kingine nikiwaza kuchanika kei wakati wa kupush nachoka mimiπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
So far akaunti ya sportybet ina milioni moja. Nitakua naenda na game mbili mpka 3 za uhakika naweka stake ndefu. Stake itakua inapanda kadiri salio linavyoongezeka.
Mimi nipo kwenye Forex, nimeweka mtaji wa 1.7M ila kwa muonekano na uzoefu nilioukusanya, ikifika December lazima hizo dolari zikubali kunizalia... 😁
 
Lengo kubwa ni kuwafukuza CCM ndipo malengo mengine yatatimia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…