Idimi
Platinum Member
- Mar 18, 2007
- 15,666
- 11,759
TB Joshua ndio nani tena?
ni mwigizaji wa bongo movie
TB Joshua ndio nani tena?
Haya yote mbona niliyasikia BBC juzi...
Huyu Nabii aache utapeli.....Ila ni mjanja anafuatilia vyombo vya habari.....
Ningemuona wa maana haya yote anayoyasema angeyetabiri mwaka ulioisha...
Wizi mtupuu....Danganyikeni nyie..
Haya yote mbona niliyasikia BBC juzi...
Huyu Nabii aache utapeli.....Ila ni mjanja anafuatilia vyombo vya habari.....
Ningemuona wa maana haya yote anayoyasema angeyetabiri mwaka ulioisha...
Wizi mtupuu....Danganyikeni nyie..
Kunyamaa ni dhahabu kama huna jibu bora,hivi mtu mzma haoni aibu kuwa mropokaji? Kwann asaseme mapema kuwa hyo ndege ingepata ajali na itaonekana sehem gan ,mail kadhaa kutoka sehem fulan? Na watu mapovu yanawatoka eti na kasema nabii!!!! Hihihiii ama kweli IMANI INAZIDI INAZIDI UKWELI
wewe Ni bendera fata upepo, sasa hivi unamfuata mganga wa kienyeji Joshua
What is a vision? What has it got to do with foretelling something?
Kwanini asitoe coordinates?
na kubwa kuliko yote utabiri huu una faida gani wakati maisha ya watu yameshapotea?
wenye imani zenu mna kazi
Kuwa mtabiri haialallishi kuwa wewe ni nabii wa mungu kwani hata wagaga na wachawi nao hutabiri kama ilivyokuwa Shehe YAHAYA.
Hivi kwanini mi nikituma post kwa kutumia Blackbery yangu, huku jF inaonekana kama nimetumia TECHNO 611 ? Au ni Mod !
KwikwikwiWapendwa
nimeangalia Emanuel Tv live sasa hivi Tb Joshua ametoa mwelekeo wa ilipo Malasyia airline,amesema ndege ilitekwa na strange passengers na ilielekezwa indian ocean na iliishiwa mafuta ikaanguka baharini
amesema ndege ipo between Indonesia na Indian ocean
Shekhi yahya mwingine na wafuasi wakeTB joshua alitabiri kupotea jwa ndege hiyo mwezi tangu mwezi July 2013! Na imepotea March miezi kadhaa baadae!! Ambaye haamini jaribu ku google mtapata fully story!!
mimi nafata neno la Mungu kumbe wewe ndo hufata watu usihukumu usije uka hukumiwa eeh