OTIS
JF-Expert Member
- Sep 7, 2011
- 2,252
- 839
Utabiri aliutoa tarehe 28 July 2013 kuna Uzi humu JF na clip ya utabiri juu ya tukio husika...
Huo utabiri wake hauna expire date?
Utabiri aliutoa tarehe 28 July 2013 kuna Uzi humu JF na clip ya utabiri juu ya tukio husika...
baada ya Prime Minister wa Malasyia kuzungumza hayo jana ameamua kuyarudia maneno yake? ajabu sana hii;,acheni kumwamini Mungu wa mbinguni..endeleeni kupumbazwa na huyu Mungu mtu wenu...
wewe ndo unaweza kuwa f... and he knew the issue from the vision
Atakuwa anawadanganya wajinga wenzie!!!!!Eti ndege ipo between Indonesia and India ocean how many kilometres are there? Huyu jamaa anacheza na akili za watu asa watu wajinga wanamuabudu. May God forbid this in Jesus name. Amen.
baada ya Prime Minister wa Malasyia kuzungumza hayo jana ameamua kuyarudia maneno yake? ajabu sana hii;,acheni kumwamini Mungu wa mbinguni..endeleeni kupumbazwa na huyu Mungu mtu wenu...
ha ha baada ya kusikia pm wa malaysia na yeye ameamua kumuiga huu utabiri kiboko
This guy must be one of the biggest fool in this world. When did he know about this?
hyo TB Joshua wamemgeuza mungu mtu kumbe nae atakufa tuu,God forbid
Eti ndege ipo between Indonesia and India ocean how many kilometres are there? Huyu jamaa anacheza na akili za watu asa watu wajinga wanamuabudu. May God forbid this in Jesus name. Amen.

just think of this map light yellow ni malaysia na pink is Indonesia a big joke.
Miakili mingi hii ya kumpita NABII JOSHUA umeipata wapi wewe?LOL!ilitekwa hapo hapo ikaaishiwa mafuta
go and find the dictionary you will get the meaning of vision
Eti katabiri visiwa vya zanzibar vitazama siku chache zijazo pumbaaaaaaaaaaavuuuuuuuuuuu hyyyyyuuuuu jamaaaaaaaaa
Atakuwa anawadanganya wajinga wenzie!!!!!
stop insulting the servant of God, it's no good. Ask forgivess from God.