Malasyia airline!Tb Joshua amalizia utabiri

Malasyia airline!Tb Joshua amalizia utabiri

Wapendwa
nimeangalia Emanuel Tv live sasa hivi Tb Joshua ametoa mwelekeo wa ilipo Malasyia airline,amesema ndege ilitekwa na strange passengers na ilielekezwa indian ocean na iliishiwa mafuta ikaanguka baharini
amesema ndege ipo between Indonesia na Indian ocean

Haya yote mbona niliyasikia BBC juzi...

Huyu Nabii aache utapeli.....Ila ni mjanja anafuatilia vyombo vya habari.....

Ningemuona wa maana haya yote anayoyasema angeyetabiri mwaka ulioisha...

Wizi mtupuu....Danganyikeni nyie..
 
Sikatai kuwa huyu jamaa anaweza kuwa si mkweli,ila mbona povu limekutoka sana?nilivosoma Bible jinsi manabii walivokataliwa nikashangaa sana nikasema Mimi nisingewapinga mfano Yesu,ila kwa povu lako naanza kuamini hata masiah arudi Leo watu bado watamdhihaki.Jitahidi kuwa neutral mkuu.

Mimi sijatoa povu lolote lile. Nabii anayesikiliza redio kuwa leo itanyesha mvua halafu anakuwa kutuambia kuwa natabiri kuwa mvua itanyesha siyo nabii. Hata Nostradamus alikuwa ni mtabiri mzuri kuliko huyo Joshua unayemlinganisha na Yesu, sijui ni Yesu yupi.

Kusema kuwa ndege itakuwa kati ya Indonesia na Bahari ya Hindi hajasema kitu hapo kwani ndivyo satellites zilivyoonyesha. Kwa nini hakusema hayo siku ya kwanza?
 
Eti ndege ipo between Indonesia and India ocean how many kilometres are there? Huyu jamaa anacheza na akili za watu asa watu wajinga wanamuabudu. May God forbid this in Jesus name. Amen.

Juzi BBC walisema kuna uwezekano ndege imeangukia Bahari ya India...

Sasa huyu Nabii inabidi achukuliwe hatua kali kwa ku-plagiarise taarifa ya BBC na kusema ni utabiri wake..
 
Alishindwaje kuongea ayo before kasubiri watangaze kuwa abiria wawili wa Iram walitumia passport bandia ndo anajitangazia kuwa two strange passengers.
 
Eti ndege ipo between Indonesia and India ocean how many kilometres are there? Huyu jamaa anacheza na akili za watu asa watu wajinga wanamuabudu. May God forbid this in Jesus name. Amen.

Tapeli huyo
 
Kunyamaa ni dhahabu kama huna jibu bora,hivi mtu mzma haoni aibu kuwa mropokaji? Kwann asaseme mapema kuwa hyo ndege ingepata ajali na itaonekana sehem gan ,mail kadhaa kutoka sehem fulan? Na watu mapovu yanawatoka eti na kasema nabii!!!! Hihihiii ama kweli IMANI INAZIDI INAZIDI UKWELI
 
Ametabiri hajatoa unabii mkuu.

Ametabiri ndo nini mkuu????? Wacha umbumbumbu kuwa atleast unafuatilia taarifa za habari kama BBC, Aljezeera na CNN...

Hicho unachokisema wewe kuhusu eti 'katabiri' mimi nilisha kisikia kupitia BBC siku mbili zilizoisha....

Muwe mtumia akili wakati mwingine....Msiwe mnapelekwa pelekwa kama mazuzu..
 
Alafu mi sipendi kumtumia huyo mjinga cjui T.B cjui Ni kwani yeye ndo Nan?? Mods unganishen hizo mada zake tushamchoka hapa haaaa
 
Siku hizi siangalii Emmanuel TV,anafuata matukio tu,alikuwa wapi kuyasema haya last week?uongo mtupu
 
Kwanini asitoe coordinates?
na kubwa kuliko yote utabiri huu una faida gani wakati maisha ya watu yameshapotea?
wenye imani zenu mna kazi
 
Back
Top Bottom