Nokla
JF-Expert Member
- Aug 12, 2012
- 3,190
- 1,780
Naunga mkono hoja..
Akili Ni Mali Sana, yani yeye anafuatilia habari then anajifanya kutabiri...wajinga wake wanakurupuka Tu wanaleta habar zake hapa...tushamchoka
Naunga mkono hoja..
very good bilyEti ndege ipo between Indonesia and India ocean how many kilometres are there? Huyu jamaa anacheza na akili za watu asa watu wajinga wanamuabudu. May God forbid this in Jesus name. Amen.
TB Joshua ndio nani tena?
Wapendwa
nimeangalia Emanuel Tv live sasa hivi Tb Joshua ametoa mwelekeo wa ilipo Malasyia airline,amesema ndege ilitekwa na strange passengers na ilielekezwa indian ocean na iliishiwa mafuta ikaanguka baharini
amesema ndege ipo between Indonesia na Indian ocean
Joshua msanii sana.t.b joshua akishaangalia updates kwenye tv ndio anatoa utabiri