Ndege mpya ya Ethiopian Airlines - Boeing 737 - 8 MAX yaanguka na kuua watu 157 ikielekea Nairobi, Kenya

Informer

JF-Expert Member
Jul 29, 2006
1,483
2,000
A739E79B-1338-410F-A634-80DAE4E85724.jpeg

An Ethiopian Airlines passenger jet has crashed on a flight from Addis Ababa to Nairobi.

Prime Minister Abiy Ahmed tweeted his "deepest condolences to the families of those that have lost their loved ones".

Flight ET 302 crashed near the town of Bishoftu, 62 km southeast of Addis Ababa.

This is a 2nd 737 Max jet to crash within 5 months. Another plane operated by Indonesia's Lion Air, crashed in the Java Sea with 189 people on board

F48CDB36-9AE1-493C-820D-DA330D2D1620.jpeg


B6A33D00-5F4E-41B7-860B-81EA22BFE4AB.jpeg


Nationalities lost in the crash
IMG_20190310_160523.jpg


The airline flies to many destinations in Africa, making it a popular carrier in a continent where many airlines fly only from their home country to destinations outside Africa.

It has a good reputation for safety, although in 2010 one of the company's aeroplanes crashed in the Mediterranean Sea shortly after leaving Beirut.

The incident killed 90 people on board.

The airline's highest fatalities to date came in a November 1996 crash during a hijacking on a flight from Addis Ababa to Nairobi.

One of the aeroplane's engines stopped when the fuel ran out and although pilots attempted an emergency water landing, they hit a coral reef in the Indian Ocean and 123 of the 175 people on board were killed.

IMG_20190310_164747.jpg


IMG_20190310_164731.jpg


IMG_20190310_164751.jpg


IMG_20190310_164754.jpg======

UPDATES:

KISANDUKU CHA TAARIFA KUTOKA KATIKA NDEGE YA ETHIOPIA CHAPATIKANA

Kisanduku(Black Box) cha kurekodia taarifa za ndege wakati wa safari kilichokuwa cha ndege ya Boeing 737 MAX 8 iliyoanguka na kuua watu 157 chapatikana

Wataalamu wa uchunguzi wanasema kuwa kifaa hicho kitasaidia sana kutoa taarifa za sababu hasa za kuanguka kwa ndege hiyo

Hata hivyo imeelezwa kuwa kisanduku hicho kimeharibika kwa sehemu, hivyo unaangaliwa uwezekano wa kukarabati
 

vvm

JF-Expert Member
Jul 18, 2014
3,863
2,000
Ndege ya Abiria ya shirika la ndege la Ethiopian Airlines aina ya Boeing 737 imepata ajali majira ya saa 08:44 masaa ya Ethiopia leo, ajali hiyo imetokea muda mfupi baada ya kupaa kutoka Addis Ababa ikielekea Nairobi Kenya, Waziri mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed kupitia Mtandao wa tweeter amethibitisha ajali hii na kutuma salamu za pole kwa wote waliowapoteza wapendwa wao, Ndege hii ilikua imebeba abiria 149 na wafanyakazi 8, taarifa zaidi hivi punde.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mlaleo

JF-Expert Member
Oct 11, 2011
11,471
2,000
Ethiopian Airlines Boeing 737 MAX crashes on way to Nairobi, Kenya - reports
Published time: 10 Mar, 2019 08:33Edited time: 10 Mar, 2019 08:34
Get short URL
breaking.jpg

A plane carrying 149 passengers and 8 crew members and bound for Nairobi, Kenya has crashed, a spokesman for Ethiopian Airlines has confirmed. It's unknown if there are any survivors.
 

Ushimen

JF-Expert Member
Oct 24, 2012
28,307
2,000
Mkuu Hiyo ni Breaking news so imetoka dakika chache zilizopita so muache mleta mada afuatilie ya zaidi ataleta news acha ukuda
Hata breaking news sikuzote haikosi vidokezo kama (A plane carrying 149 passengers and 8 crew members and bound for Nairobi, Kenya has crashed, a spokesman for Ethiopian Airlines has confirmed. It's unknown if there are any survivors)
Samahani ebu naomba tafasiri ya neno ukuda...
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom