Malasyia airline!Tb Joshua amalizia utabiri

Malasyia airline!Tb Joshua amalizia utabiri

Sometimes inabid tujizuie kama wanadamu,kama unaona TB Joshua ni muongo na sio nabii kweli wa Mungu kwani ni lazima uanze kumhukumu?? Ukumu ni juu ya Mungu pekee whether he's wrong or right let God himself punish him but not from our views or opinions

Kama anawadanganya tu huko makanisani kwenu haina shida, shida inakuja hapa kutujazia server kwa habari zake za uongo, nabii gani anatabir kitu kwa kuangalia habar??
 
Eti katabiri visiwa vya zanzibar vitazama siku chache zijazo pumbaaaaaaaaaaavuuuuuuuuuuu hyyyyyuuuuu jamaaaaaaaaa
 
Eti ndege ipo between Indonesia and India ocean how many kilometres are there? Huyu jamaa anacheza na akili za watu asa watu wajinga wanamuabudu. May God forbid this in Jesus name. Amen.

We kama huna imani acha watu wamsikilize ipo siku utapata breakthrough na kujua kwamba yaliyonenwa yalitoka kwa Mungu. Acha kupinga usiyoyajua otherwise unaweza washa hasira za Mungu juu yako lolote likakutokea
 
Na ikipatikana Kazakhstan sijui atasema nini!
 
Utabri after clue its nthing ni swa na kuon mawingu af unatabri eti mvua itanyshaa

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Alafu mi sipendi kumtumia huyo mjinga cjui T.B cjui Ni kwani yeye ndo Nan?? Mods unganishen hizo mada zake tushamchoka hapa haaaa

Huyu bwana ana wapinzani wengi haswa wale ambao kwao wokuvu na nguvu za Mungu kwao ni upuuzi. Pia wale wote walioko upande wa Lucifer wanafanya kampeni usiku na mchana ili T.B aonekane mwongo na laghai. Na wewe uko kundi hilohilo
 
Huyu bwana ana wapinzani wengi haswa wale ambao kwao wokuvu na nguvu za Mungu kwao ni upuuzi. Pia wale wote walioko upande wa Lucifer wanafanya kampeni usiku na mchana ili T.B aonekane mwongo na laghai. Na wewe uko kundi hilohilo

Tuberculosis aka T.B Ni mfuasi WA shetani Tu kama ulivyowewe mfuac WA shetan kwa hyo sikushangai unavyomkingia kifua hapa mfuasi mwenzio WA Lucifer
 
Huyo naye mchumia tumbo tu kama walivyo wachumia tumbo wengine
 
Naomba kuuliza, T.B Joshua ni mtabiri au anahusika na nini?
 
Ametabiri ndo nini mkuu????? Wacha umbumbumbu kuwa atleast unafuatilia taarifa za habari kama BBC, Aljezeera na CNN...Hicho unachokisema wewe kuhusu eti 'katabiri' mimi nilisha kisikia kupitia BBC siku mbili zilizoisha....Muwe mtumia akili wakati mwingine....Msiwe mnapelekwa pelekwa kama mazuzu..
Nashukuru aisee, ila sidhani kama ni busara kufuatilia habari za bbc na cnn zinakufanya uwe mwerevu.Ungekuwa mwerevu ungefanya situational analysis mwenyewe bila kuletewa na hao mabahasha wako.Siku nyingine jaribu kuelewa content na uelewe zaidi ya kilichopo kwenye content umesikia we mdada?
 
Tuko pamoja mshana jr , huyo mzee anacheza na upepo unavyovuma , amesikia wataalamu wameelekeza nguvu zao Indian ocean ndipo akaamua aje na propaganda hizo mbona wakati wataftaji waliku south China sea akutoa tamko ? Wajinga ndio waliwao .

very good bily
 
Last edited by a moderator:
Kama kweli yeye ni nabii angetabiri siku ile ya kwanza ndege imepotea! Sasa watu wamehangaika weeeeeee mwishowe wamepata clue kidogo ya kilichotokea, yeye anakuja anatuambia yale alafu anaita maono!!! Namuheshimu sana huyu mzee lakini kwa hili HAPANA.!
 
Ole Wenu,ole wenu mnaowadharau watumishi wa Mungu,nasema Ole Wenu! Maana Siku Inakuja Mtalia Na Kusaga Meno.
 
Mkuu MVUMBUZI mimi ni imani na pia nimelelewa katika imani na pia nimefundishwa kua nyakati za mwisho mwanadamu atakua na akili na kufanya matendo ya kuwafanya wanadamu wenzake wamuogope na waanze kumsujudia, na pia katika holy bible imeandikwa siku za mwisho dini zitaongezeka na pia MANABII WA UONGO NAO WATAONGEZEKA, kwahiyo nadhani ushapata picha kwa nn napingana na huyo nabii wa uongo TB.

Kuhusu kupatwa na kitu kibaya sidhani na haiwezi kutokea labda kama kapanga Mwenyezi Mungu na siyo huyo miungu TB ambae Mwenyezi Mungu katika Amri zake kumi anatuhasa tusiabudi miungu bali Yeye Mungu pekee alietutoa utumwani Misri. Nadhani umenipata. Just for peace . Thanx.

We kama huna imani acha watu wamsikilize ipo siku utapata breakthrough na kujua kwamba yaliyonenwa yalitoka kwa Mungu. Acha kupinga usiyoyajua otherwise unaweza washa hasira za Mungu juu yako lolote likakutokea
 
Last edited by a moderator:
Wapendwa
nimeangalia Emanuel Tv live sasa hivi Tb Joshua ametoa mwelekeo wa ilipo Malasyia airline,amesema ndege ilitekwa na strange passengers na ilielekezwa indian ocean na iliishiwa mafuta ikaanguka baharini
amesema ndege ipo between Indonesia na Indian ocean

Hivi kwanini mi nikituma post kwa kutumia Blackbery yangu, huku JF inaonekna kama nimetumia TECHNO 611 ?
 
Back
Top Bottom