Malaika walitoa wapi panga huko Mbinguni?

Malaika walitoa wapi panga huko Mbinguni?

Nawaza kama wewe Malaika wameelezwa kua ni wanaume Ina maan wanawake hawakuwepo
Kuna majini wanawake kama Maimuna na Ummu subian, angalau upande huo mmekumbukwa😁
 
Mleta mada anamambo hayaaaaa....... Mawili.

Aidha anamtindio au anakaribia kufa.

Akiwa na mtindio hakuna shida, akiwa anakaribia kufa Kuna mambo hayaaaaa........Mawili.

Aidha amechanganyikiwa au Anakufa kweli.

Akiwa kachanganyikiwa hakuna shida, ila akiwa anakufa Kuna mambo hayaaaaa......Mawili

Aidha anakimbia madeni au analinda mgongo wake .
 
Niliona wanazuoni wakijengea hoja , kuhusu unabii kwa maryam, wanadai alipata wahyi kutoka kwa jibril hivyo alipaswa awe nabii, kwamba ni kati ya walipo pata istafa ya moja kwa moja kutoka juu šŸ¤”
Sijui wallitumia vigezo gani kusema hayo waliyosema

Hata Zakaria alibashiriwa kupata mtoto,na akaambiwa mkewe akiwa na mimba tu hataweza kuongea na watu kwa siku 3

Ila ninavyojua wahyi ni kwa manabii na mitume,lakini mariam alikuwa ni mwanamke mwema na mcha mungu
 
Sijui wallitumia vigezo gani kusema hayo waliyosema

Hata Zakaria alibashiriwa kupata mtoto,na akaambiwa mkewe akiwa na mimba tu hataweza kuongea na watu kwa siku 3

Ila ninavyojua wahyi ni kwa manabii na mitume,lakini mariam alikuwa ni mwanamke mwema na mcha mungu
Na kati ya mitume wote 124,000 hakujawahi kuwa na nabii na mitume wa kike sio?
 
Hivi malaika walitoa wapi panga za wanadamu huko mbinguni?

Kwa nini malaika wote wana upanga na sio bunduki ?

Malaika wote wanatumia farasi na sio magari au ndege!

Hata Muhammad alienda mbinguni na mnyama aina ya farasi au sijui punda na sio gari au ndege!

Malaika wote ni wanaume!
Shida yako huwa unawaza mambo physically malaika ni roho ,huwezi kuelezea ulimwengu wa roho kimwili wewe ni muunganiko wa roho na mwili lkn hujui kutumia ulimwengu wako wa kiroho.
 
Malaika aweza kuwa na mwonekano wowote apendao na makusudi maalum - binadamu, ndege, mnyama, jiwe, etc.
Ila wanachagua kutokea kama wanaume tu!🤣
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom