Buraq Mnyama wa ajabu wa Kislamu

Buraq Mnyama wa ajabu wa Kislamu

hamis77

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
18,683
Reaction score
27,605
Buraq Mnyama wa ajabu wa Kislamu
FB_IMG_1776871938288.jpg

FB_IMG_1776871935249.jpg

Huyo mnyama wa ajabu mwenye kichwa cha mwanamke katika picha hizo anadaiwa na Waislam kuwa ni mnyama mtukufu wa mbinguni, anaitwa Burak. Picha zake zimepambwa katika majumba ya Waislam na katika kalenda za Waislam nk.

Katika vyanzo vya dini ya Kislamu ndiye alikuwa ndio usafiri muhimu wa kumbeba Muhamad na kumpeleka hadi katika mbingu ya saba. Kabla ya kwenda katika mbingu ya saba, kwanza alimchukua toka Maka mpaka Yerusalem, safari hii inaitwa (Isra al miraj) na huko akaonana na manabii wote (124,000) kwa mujibu wa mapokeo ya Kislamu Muhammad akawasalisha wote ndani ya Hekalu la Sulemani (zingatia hekalu Hilo lilimobolewa na Warumi mnamo 70 B.K na Muhammad alizaliwa 570 B.K,). Hapo kuna uongo mwingi.

Kisa hiki cha Isra Al miraj ndio kisa ambacho baada ya Muhamad kufa mnamo 632 kilisababisha Waislam mnamo mwaka 636 B.K kuiteka Yerusalem chini ya Umar ibn Kattab lakini hawakukuta huo msikiti kama Muhammad alivyoota.

Bilashaka Umar aliona boss wake alipiga kamba ya kisigino. Umar ili kutoa aibu akajenga msikiti wa miti katika eneo la hekalu la zamani. Na Mnamo mwaka 750 yaani karne ya 8 ndipo Kalifa wa Ummayad akajenga hapo msikiti wa Al aqsa na dome of the rock ili kufuta aibu ya milele.

Leo Waislam wanafikiri msikiti huo ulijengwa na Suleman, hivyo wameoshwa ubongo na viongozi wao na kusababisha damu na vita kumwagika katika eneo hilo kwa kivuli cha kutetea mji mtakatifu na msikiti wa Suleman ambao mtume Muhammad alipalia hapo kwenda mbinguni.

Safari ya kukutana na Allah

Baada ya hapo Burak akamtwaa Muhammad mpaka mbingu ya saba akiwa na malaika Gabriel kulia na Mikael kushoto, na huko katika mbingu ya saba Muhamad akaonana na Allah na kumpa sala 50 na baadae zikapunguzwa zikabakia 5 kwa maombi ya nabii Musa aliye kuwa katika mbingu ya sita. Sasa sijui Musa alikuwa na hekima zaidi ya.....?

Burak ni mnyama wa Wahindu

Tuomeona kuwa mnyama huyo anaitwa Buraq na wahindi wanaye kama huyo wanamwita #kamadhemu anayembeba #Krishna mungu wa Kihundu katika safari zake, sasa sijui nani alimwiga mwenzake maana wahindu walikwepo kabla ya uislam. Tazama picha hapo. Wahindu waliukataa Uislam sababu ya kisa hiki, waliona kuwa Muhammad ni hana zaidi ya kuiga visa vya kipagani na kuvisilimisha. Hivyo wanamwona mzushi. Na Waislam walivamia bara Hindi na kuuawa Wahindu kwa upanga na kuwatawala, jambo ambalo hadi leo kuna kutoelewana baina ya Wahindu na Waislam, na mvurugano huo ndio chanzo cha kuwa na nchi ya Pakistan ndani ya bara Hindi.

Huko mbinguni,

Cha ajabu Muhamad alimkuta Issa ambaye inasadikiwa ndio Yesu katika mbingu ya pili akiwa na Yohana mbatizaji [vyanzo vingine vinadai Muhamad alimkuta anatoka kuoga]. Biblia inatwambia Yesu yupo katika mbingu ya tatu ambayo ndio ya mwisho alipo Mungu. Hivyo Muhammad yupo mbali kabisa na Imani ya Kikristo, huenda alikuwa anamwongelea Yesu mwingine na si yule wa Wakristo. Naona hii ilikuwa ndoto ya bunuasi kwa kweli, iweje Yesu awe chini ya hao manabii? Huku Yesu anasema alikwepo kabla hata ya Ibrahimu kuwepo, ambaye yupo katika mbingu ya saba kwa mujibu wa hadithi ya Muhamad.

Kuhusu Ibrahim, YESU anasema,

Yesu akawaambia, “Kweli nawaambieni, kabla Abrahamu hajazaliwa, mimi niko.”
Yohane 8:58 BHN

Na zaidi Yesu ni mkuu kuliko Musa, Yohana Mbatizaji, wakiwemo manabii wengine wote.

Yohana Mbatizaji anasema,

Akahubiri akisema, Yuaja nyuma yangu aliye na nguvu kuliko mimi, ambaye mimi sistahili kuinama na kuilegeza gidamu ya viatu vyake. Mk 1:7 SUV

Kuhusu Musa, Yesu anasema,

Kwa maana kama mngalimwamini Musa, mngeniamini mimi; kwa sababu yeye aliandika habari zangu.Yn 5:46 SUV

Kuhusu Suleman, Yesu anasema,

Malkia wa Kusini ataondoka siku ya hukumu pamoja na watu wa kizazi hiki, naye atawahukumu kuwa na hatia; kwa sababu yeye alikuja kutoka ncha za dunia aisikie hekima ya Sulemani; na hapa pana mkubwa kuliko Sulemani.Lk 11:31 SUV

Hivyo Muhammad ni mwongo, amepindisha Injili na kumweka Yesu kuwa chini ya manabii wengine huku Yesu ni Mwana wa Mungu. Yoh 10:36. Na Yesu kuwa Mwana wa Mungu, kwa Muhammad ni kufuru kuu. Quran 9:30. Hivyo Muhamad ni mpinga KRISTO.

Aibu nyingine,

Hadithi hizo zinasema Muhamad alimkuta Adam pia katika mbingu ya kwanza, na Idrisa (Henoko) katika mbingu ya tatu, na Yusufu katika mbingu ya nne na Haruni kati mbingu ya 5 na Musa ya sita na Ibrahimu ya saba ila hakuthubutu kuingia katika lango la Allah.

Lakini Muhamad akapita na kuingia katika lango la Allah na kuongea naye, ila malaika Jibril (Gabriel) alibakia nje maana huko haruhusiwi kufika maana kuna nuru kali akiikaribia anaweza kufa. Vyanzo vingine vinasema huko muhamad alimkuta mwanamke ambaye Allah kamfanya katibu wake, inasadikiwa alikuwa anamtaja sana allah kinywani wakati yupo duniani mpaka Allah akamtwaa na kumfanya katibu wake.

Rejea uk wa 27,28 wa kitabu cha maisha ya Muhamad, na haya utayakuta katika sahihi bukhari na vyanzo mbalimbali.

Kweli hizi ni hadithi, na Biblia inasema,

Bali hadithi za kizee, zisizokuwa za dini, uzikatae; nawe ujizoeze kupata utauwa. 1 Timotheo 4:7

FB_IMG_1776871938288.jpg
FB_IMG_1776871935249.jpg
 
Buraq Mnyama wa ajabu wa Kislamu
View attachment 3577483
View attachment 3577485

Huyo mnyama wa ajabu mwenye kichwa cha mwanamke katika picha hizo anadaiwa na Waislam kuwa ni mnyama mtukufu wa mbinguni, anaitwa Burak. Picha zake zimepambwa katika majumba ya Waislam na katika kalenda za Waislam nk.

Katika vyanzo vya dini ya Kislamu ndiye alikuwa ndio usafiri muhimu wa kumbeba Muhamad na kumpeleka hadi katika mbingu ya saba. Kabla ya kwenda katika mbingu ya saba, kwanza alimchukua toka Maka mpaka Yerusalem, safari hii inaitwa (Isra al miraj) na huko akaonana na manabii wote (124,000) kwa mujibu wa mapokeo ya Kislamu Muhammad akawasalisha wote ndani ya Hekalu la Sulemani (zingatia hekalu Hilo lilimobolewa na Warumi mnamo 70 B.K na Muhammad alizaliwa 570 B.K,). Hapo kuna uongo mwingi. Kisa hiki cha Isra Al miraj ndio kisa ambacho baada ya Muhamad kufa mnamo 632 kilisababisha Waislam mnamo mwaka 636 B.K kuiteka Yerusalem chini ya Umar ibn Kattab lakini hawakukuta huo msikiti kama Muhammad alivyoota. Bilashaka Umar aliona boss wake alipiga kamba ya kisigino. Umar ili kutoa aibu akajenga msikiti wa miti katika eneo la hekalu la zamani. Na Mnamo mwaka 750 yaani karne ya 8 ndipo Kalifa wa Ummayad akajenga hapo msikiti wa Al aqsa na dome of the rock ili kufuta aibu ya milele. Leo Waislam wanafikiri msikiti huo ulijengwa na Suleman, hivyo wameoshwa ubongo na viongozi wao na kusababisha damu na vita kumwagika katika eneo hilo kwa kivuli cha kutetea mji mtakatifu na msikiti wa Suleman ambao mtume Muhammad alipalia hapo kwenda mbinguni.

Safari ya kukutana na Allah

Baada ya hapo Burak akamtwaa Muhammad mpaka mbingu ya saba akiwa na malaika Gabriel kulia na Mikael kushoto, na huko katika mbingu ya saba Muhamad akaonana na Allah na kumpa sala 50 na baadae zikapunguzwa zikabakia 5 kwa maombi ya nabii Musa aliye kuwa katika mbingu ya sita. Sasa sijui Musa alikuwa na hekima zaidi ya.....?

Burak ni mnyama wa Wahindu

Tuomeona kuwa mnyama huyo anaitwa Buraq na wahindi wanaye kama huyo wanamwita #kamadhemu anayembeba #Krishna mungu wa Kihundu katika safari zake, sasa sijui nani alimwiga mwenzake maana wahindu walikwepo kabla ya uislam. Tazama picha hapo. Wahindu waliukataa Uislam sababu ya kisa hiki, waliona kuwa Muhammad ni hana zaidi ya kuiga visa vya kipagani na kuvisilimisha. Hivyo wanamwona mzushi. Na Waislam walivamia bara Hindi na kuuawa Wahindu kwa upanga na kuwatawala, jambo ambalo hadi leo kuna kutoelewana baina ya Wahindu na Waislam, na mvurugano huo ndio chanzo cha kuwa na nchi ya Pakistan ndani ya bara Hindi.

Huko mbinguni,

Cha ajabu Muhamad alimkuta Issa ambaye inasadikiwa ndio Yesu katika mbingu ya pili akiwa na Yohana mbatizaji [vyanzo vingine vinadai Muhamad alimkuta anatoka kuoga]. Biblia inatwambia Yesu yupo katika mbingu ya tatu ambayo ndio ya mwisho alipo Mungu. Hivyo Muhammad yupo mbali kabisa na Imani ya Kikristo, huenda alikuwa anamwongelea Yesu mwingine na si yule wa Wakristo. Naona hii ilikuwa ndoto ya bunuasi kwa kweli, iweje Yesu awe chini ya hao manabii? Huku Yesu anasema alikwepo kabla hata ya Ibrahimu kuwepo, ambaye yupo katika mbingu ya saba kwa mujibu wa hadithi ya Muhamad.

Kuhusu Ibrahim, YESU anasema,

Yesu akawaambia, “Kweli nawaambieni, kabla Abrahamu hajazaliwa, mimi niko.”
Yohane 8:58 BHN

Na zaidi Yesu ni mkuu kuliko Musa, Yohana Mbatizaji, wakiwemo manabii wengine wote.

Yohana Mbatizaji anasema,

Akahubiri akisema, Yuaja nyuma yangu aliye na nguvu kuliko mimi, ambaye mimi sistahili kuinama na kuilegeza gidamu ya viatu vyake. Mk 1:7 SUV

Kuhusu Musa, Yesu anasema,

Kwa maana kama mngalimwamini Musa, mngeniamini mimi; kwa sababu yeye aliandika habari zangu.Yn 5:46 SUV

Kuhusu Suleman, Yesu anasema,

Malkia wa Kusini ataondoka siku ya hukumu pamoja na watu wa kizazi hiki, naye atawahukumu kuwa na hatia; kwa sababu yeye alikuja kutoka ncha za dunia aisikie hekima ya Sulemani; na hapa pana mkubwa kuliko Sulemani.Lk 11:31 SUV

Hivyo Muhammad ni mwongo, amepindisha Injili na kumweka Yesu kuwa chini ya manabii wengine huku Yesu ni Mwana wa Mungu. Yoh 10:36. Na Yesu kuwa Mwana wa Mungu, kwa Muhammad ni kufuru kuu. Quran 9:30. Hivyo Muhamad ni mpinga KRISTO.

Aibu nyingine,

Hadithi hizo zinasema Muhamad alimkuta Adam pia katika mbingu ya kwanza, na Idrisa (Henoko) katika mbingu ya tatu, na Yusufu katika mbingu ya nne na Haruni kati mbingu ya 5 na Musa ya sita na Ibrahimu ya saba ila hakuthubutu kuingia katika lango la Allah. Lakini Muhamad akapita na kuingia katika lango la Allah na kuongea naye, ila malaika Jibril (Gabriel) alibakia nje maana huko haruhusiwi kufika maana kuna nuru kali akiikaribia anaweza kufa. Vyanzo vingine vinasema huko muhamad alimkuta mwanamke ambaye Allah kamfanya katibu wake, inasadikiwa alikuwa anamtaja sana allah kinywani wakati yupo duniani mpaka Allah akamtwaa na kumfanya katibu wake.

Rejea uk wa 27,28 wa kitabu cha maisha ya Muhamad, na haya utayakuta katika sahihi bukhari na vyanzo mbalimbali.

Kweli hizi ni hadithi, na Biblia inasema,

Bali hadithi za kizee, zisizokuwa za dini, uzikatae; nawe ujizoeze kupata utauwa. 1 Timotheo 4:7

View attachment 3577481View attachment 3577482
Hizo picha zilipigwa kipindi gani?
 
Kuna muislamu mmoja nilimuhadithia hiyo hadithi alinikatalia katukatu ,akasema Islam ni dini ya kisayansi, haiwezi kuwa na hadithi ya ajabu kiasi hicho,

Kuna wa islamu wengi Bongo, hawaujui kabisa uislam ulivyo 😃
 
Buraq Mnyama wa ajabu wa Kislamu
View attachment 3577483
View attachment 3577485

Huyo mnyama wa ajabu mwenye kichwa cha mwanamke katika picha hizo anadaiwa na Waislam kuwa ni mnyama mtukufu wa mbinguni, anaitwa Burak. Picha zake zimepambwa katika majumba ya Waislam na katika kalenda za Waislam nk.

Katika vyanzo vya dini ya Kislamu ndiye alikuwa ndio usafiri muhimu wa kumbeba Muhamad na kumpeleka hadi katika mbingu ya saba. Kabla ya kwenda katika mbingu ya saba, kwanza alimchukua toka Maka mpaka Yerusalem, safari hii inaitwa (Isra al miraj) na huko akaonana na manabii wote (124,000) kwa mujibu wa mapokeo ya Kislamu Muhammad akawasalisha wote ndani ya Hekalu la Sulemani (zingatia hekalu Hilo lilimobolewa na Warumi mnamo 70 B.K na Muhammad alizaliwa 570 B.K,). Hapo kuna uongo mwingi.

Kisa hiki cha Isra Al miraj ndio kisa ambacho baada ya Muhamad kufa mnamo 632 kilisababisha Waislam mnamo mwaka 636 B.K kuiteka Yerusalem chini ya Umar ibn Kattab lakini hawakukuta huo msikiti kama Muhammad alivyoota.

Bilashaka Umar aliona boss wake alipiga kamba ya kisigino. Umar ili kutoa aibu akajenga msikiti wa miti katika eneo la hekalu la zamani. Na Mnamo mwaka 750 yaani karne ya 8 ndipo Kalifa wa Ummayad akajenga hapo msikiti wa Al aqsa na dome of the rock ili kufuta aibu ya milele.

Leo Waislam wanafikiri msikiti huo ulijengwa na Suleman, hivyo wameoshwa ubongo na viongozi wao na kusababisha damu na vita kumwagika katika eneo hilo kwa kivuli cha kutetea mji mtakatifu na msikiti wa Suleman ambao mtume Muhammad alipalia hapo kwenda mbinguni.

Safari ya kukutana na Allah

Baada ya hapo Burak akamtwaa Muhammad mpaka mbingu ya saba akiwa na malaika Gabriel kulia na Mikael kushoto, na huko katika mbingu ya saba Muhamad akaonana na Allah na kumpa sala 50 na baadae zikapunguzwa zikabakia 5 kwa maombi ya nabii Musa aliye kuwa katika mbingu ya sita. Sasa sijui Musa alikuwa na hekima zaidi ya.....?

Burak ni mnyama wa Wahindu

Tuomeona kuwa mnyama huyo anaitwa Buraq na wahindi wanaye kama huyo wanamwita #kamadhemu anayembeba #Krishna mungu wa Kihundu katika safari zake, sasa sijui nani alimwiga mwenzake maana wahindu walikwepo kabla ya uislam. Tazama picha hapo. Wahindu waliukataa Uislam sababu ya kisa hiki, waliona kuwa Muhammad ni hana zaidi ya kuiga visa vya kipagani na kuvisilimisha. Hivyo wanamwona mzushi. Na Waislam walivamia bara Hindi na kuuawa Wahindu kwa upanga na kuwatawala, jambo ambalo hadi leo kuna kutoelewana baina ya Wahindu na Waislam, na mvurugano huo ndio chanzo cha kuwa na nchi ya Pakistan ndani ya bara Hindi.

Huko mbinguni,

Cha ajabu Muhamad alimkuta Issa ambaye inasadikiwa ndio Yesu katika mbingu ya pili akiwa na Yohana mbatizaji [vyanzo vingine vinadai Muhamad alimkuta anatoka kuoga]. Biblia inatwambia Yesu yupo katika mbingu ya tatu ambayo ndio ya mwisho alipo Mungu. Hivyo Muhammad yupo mbali kabisa na Imani ya Kikristo, huenda alikuwa anamwongelea Yesu mwingine na si yule wa Wakristo. Naona hii ilikuwa ndoto ya bunuasi kwa kweli, iweje Yesu awe chini ya hao manabii? Huku Yesu anasema alikwepo kabla hata ya Ibrahimu kuwepo, ambaye yupo katika mbingu ya saba kwa mujibu wa hadithi ya Muhamad.

Kuhusu Ibrahim, YESU anasema,

Yesu akawaambia, “Kweli nawaambieni, kabla Abrahamu hajazaliwa, mimi niko.”
Yohane 8:58 BHN

Na zaidi Yesu ni mkuu kuliko Musa, Yohana Mbatizaji, wakiwemo manabii wengine wote.

Yohana Mbatizaji anasema,

Akahubiri akisema, Yuaja nyuma yangu aliye na nguvu kuliko mimi, ambaye mimi sistahili kuinama na kuilegeza gidamu ya viatu vyake. Mk 1:7 SUV

Kuhusu Musa, Yesu anasema,

Kwa maana kama mngalimwamini Musa, mngeniamini mimi; kwa sababu yeye aliandika habari zangu.Yn 5:46 SUV

Kuhusu Suleman, Yesu anasema,

Malkia wa Kusini ataondoka siku ya hukumu pamoja na watu wa kizazi hiki, naye atawahukumu kuwa na hatia; kwa sababu yeye alikuja kutoka ncha za dunia aisikie hekima ya Sulemani; na hapa pana mkubwa kuliko Sulemani.Lk 11:31 SUV

Hivyo Muhammad ni mwongo, amepindisha Injili na kumweka Yesu kuwa chini ya manabii wengine huku Yesu ni Mwana wa Mungu. Yoh 10:36. Na Yesu kuwa Mwana wa Mungu, kwa Muhammad ni kufuru kuu. Quran 9:30. Hivyo Muhamad ni mpinga KRISTO.

Aibu nyingine,

Hadithi hizo zinasema Muhamad alimkuta Adam pia katika mbingu ya kwanza, na Idrisa (Henoko) katika mbingu ya tatu, na Yusufu katika mbingu ya nne na Haruni kati mbingu ya 5 na Musa ya sita na Ibrahimu ya saba ila hakuthubutu kuingia katika lango la Allah. Lakini Muhamad akapita na kuingia katika lango la Allah na kuongea naye, ila malaika Jibril (Gabriel) alibakia nje maana huko haruhusiwi kufika maana kuna nuru kali akiikaribia anaweza kufa. Vyanzo vingine vinasema huko muhamad alimkuta mwanamke ambaye Allah kamfanya katibu wake, inasadikiwa alikuwa anamtaja sana allah kinywani wakati yupo duniani mpaka Allah akamtwaa na kumfanya katibu wake.

Rejea uk wa 27,28 wa kitabu cha maisha ya Muhamad, na haya utayakuta katika sahihi bukhari na vyanzo mbalimbali.

Kweli hizi ni hadithi, na Biblia inasema,

Bali hadithi za kizee, zisizokuwa za dini, uzikatae; nawe ujizoeze kupata utauwa. 1 Timotheo 4:7

View attachment 3577481View attachment 3577482
Yaani picha za muhamad hakuna ila za farasi wa mbinguni zipo?!! Wonder shall never end
 
Hadithi za mudi boy
 
Kuna muislamu mmoja nilimuhadithia hiyo hadithi alinikatalia katukatu ,akasema Islam ni dini ya kisayansi, haiwezi kuwa na hadithi ya ajabu kiasi hicho,

Kuna wa islamu wengi Bongo, hawaujui kabisa uislam ulivyo 😃
Waislamu wengi hawaujui uislamu
 
Buraq Mnyama wa ajabu wa Kislamu
View attachment 3577483
View attachment 3577485

Huyo mnyama wa ajabu mwenye kichwa cha mwanamke katika picha hizo anadaiwa na Waislam kuwa ni mnyama mtukufu wa mbinguni, anaitwa Burak. Picha zake zimepambwa katika majumba ya Waislam na katika kalenda za Waislam nk.

Katika vyanzo vya dini ya Kislamu ndiye alikuwa ndio usafiri muhimu wa kumbeba Muhamad na kumpeleka hadi katika mbingu ya saba. Kabla ya kwenda katika mbingu ya saba, kwanza alimchukua toka Maka mpaka Yerusalem, safari hii inaitwa (Isra al miraj) na huko akaonana na manabii wote (124,000) kwa mujibu wa mapokeo ya Kislamu Muhammad akawasalisha wote ndani ya Hekalu la Sulemani (zingatia hekalu Hilo lilimobolewa na Warumi mnamo 70 B.K na Muhammad alizaliwa 570 B.K,). Hapo kuna uongo mwingi.

Kisa hiki cha Isra Al miraj ndio kisa ambacho baada ya Muhamad kufa mnamo 632 kilisababisha Waislam mnamo mwaka 636 B.K kuiteka Yerusalem chini ya Umar ibn Kattab lakini hawakukuta huo msikiti kama Muhammad alivyoota.

Bilashaka Umar aliona boss wake alipiga kamba ya kisigino. Umar ili kutoa aibu akajenga msikiti wa miti katika eneo la hekalu la zamani. Na Mnamo mwaka 750 yaani karne ya 8 ndipo Kalifa wa Ummayad akajenga hapo msikiti wa Al aqsa na dome of the rock ili kufuta aibu ya milele.

Leo Waislam wanafikiri msikiti huo ulijengwa na Suleman, hivyo wameoshwa ubongo na viongozi wao na kusababisha damu na vita kumwagika katika eneo hilo kwa kivuli cha kutetea mji mtakatifu na msikiti wa Suleman ambao mtume Muhammad alipalia hapo kwenda mbinguni.

Safari ya kukutana na Allah

Baada ya hapo Burak akamtwaa Muhammad mpaka mbingu ya saba akiwa na malaika Gabriel kulia na Mikael kushoto, na huko katika mbingu ya saba Muhamad akaonana na Allah na kumpa sala 50 na baadae zikapunguzwa zikabakia 5 kwa maombi ya nabii Musa aliye kuwa katika mbingu ya sita. Sasa sijui Musa alikuwa na hekima zaidi ya.....?

Burak ni mnyama wa Wahindu

Tuomeona kuwa mnyama huyo anaitwa Buraq na wahindi wanaye kama huyo wanamwita #kamadhemu anayembeba #Krishna mungu wa Kihundu katika safari zake, sasa sijui nani alimwiga mwenzake maana wahindu walikwepo kabla ya uislam. Tazama picha hapo. Wahindu waliukataa Uislam sababu ya kisa hiki, waliona kuwa Muhammad ni hana zaidi ya kuiga visa vya kipagani na kuvisilimisha. Hivyo wanamwona mzushi. Na Waislam walivamia bara Hindi na kuuawa Wahindu kwa upanga na kuwatawala, jambo ambalo hadi leo kuna kutoelewana baina ya Wahindu na Waislam, na mvurugano huo ndio chanzo cha kuwa na nchi ya Pakistan ndani ya bara Hindi.

Huko mbinguni,

Cha ajabu Muhamad alimkuta Issa ambaye inasadikiwa ndio Yesu katika mbingu ya pili akiwa na Yohana mbatizaji [vyanzo vingine vinadai Muhamad alimkuta anatoka kuoga]. Biblia inatwambia Yesu yupo katika mbingu ya tatu ambayo ndio ya mwisho alipo Mungu. Hivyo Muhammad yupo mbali kabisa na Imani ya Kikristo, huenda alikuwa anamwongelea Yesu mwingine na si yule wa Wakristo. Naona hii ilikuwa ndoto ya bunuasi kwa kweli, iweje Yesu awe chini ya hao manabii? Huku Yesu anasema alikwepo kabla hata ya Ibrahimu kuwepo, ambaye yupo katika mbingu ya saba kwa mujibu wa hadithi ya Muhamad.

Kuhusu Ibrahim, YESU anasema,

Yesu akawaambia, “Kweli nawaambieni, kabla Abrahamu hajazaliwa, mimi niko.”
Yohane 8:58 BHN

Na zaidi Yesu ni mkuu kuliko Musa, Yohana Mbatizaji, wakiwemo manabii wengine wote.

Yohana Mbatizaji anasema,

Akahubiri akisema, Yuaja nyuma yangu aliye na nguvu kuliko mimi, ambaye mimi sistahili kuinama na kuilegeza gidamu ya viatu vyake. Mk 1:7 SUV

Kuhusu Musa, Yesu anasema,

Kwa maana kama mngalimwamini Musa, mngeniamini mimi; kwa sababu yeye aliandika habari zangu.Yn 5:46 SUV

Kuhusu Suleman, Yesu anasema,

Malkia wa Kusini ataondoka siku ya hukumu pamoja na watu wa kizazi hiki, naye atawahukumu kuwa na hatia; kwa sababu yeye alikuja kutoka ncha za dunia aisikie hekima ya Sulemani; na hapa pana mkubwa kuliko Sulemani.Lk 11:31 SUV

Hivyo Muhammad ni mwongo, amepindisha Injili na kumweka Yesu kuwa chini ya manabii wengine huku Yesu ni Mwana wa Mungu. Yoh 10:36. Na Yesu kuwa Mwana wa Mungu, kwa Muhammad ni kufuru kuu. Quran 9:30. Hivyo Muhamad ni mpinga KRISTO.

Aibu nyingine,

Hadithi hizo zinasema Muhamad alimkuta Adam pia katika mbingu ya kwanza, na Idrisa (Henoko) katika mbingu ya tatu, na Yusufu katika mbingu ya nne na Haruni kati mbingu ya 5 na Musa ya sita na Ibrahimu ya saba ila hakuthubutu kuingia katika lango la Allah.

Lakini Muhamad akapita na kuingia katika lango la Allah na kuongea naye, ila malaika Jibril (Gabriel) alibakia nje maana huko haruhusiwi kufika maana kuna nuru kali akiikaribia anaweza kufa. Vyanzo vingine vinasema huko muhamad alimkuta mwanamke ambaye Allah kamfanya katibu wake, inasadikiwa alikuwa anamtaja sana allah kinywani wakati yupo duniani mpaka Allah akamtwaa na kumfanya katibu wake.

Rejea uk wa 27,28 wa kitabu cha maisha ya Muhamad, na haya utayakuta katika sahihi bukhari na vyanzo mbalimbali.

Kweli hizi ni hadithi, na Biblia inasema,

Bali hadithi za kizee, zisizokuwa za dini, uzikatae; nawe ujizoeze kupata utauwa. 1 Timotheo 4:7

View attachment 3577481View attachment 3577482
Dini ziko kwa ajili ya wapumbavu tu.
 
Baada ya hapo Burak akamtwaa Muhammad mpaka mbingu ya saba akiwa na malaika Gabriel kulia na Mikael kushoto, na huko katika mbingu ya saba Muhamad akaonana na Allah na kumpa sala 50 na baadae zikapunguzwa zikabakia 5 kwa maombi ya nabii Musa aliye kuwa katika mbingu ya sita. Sasa sijui Musa alikuwa na hekima zaidi ya.....?
Selective acceptance!
The Red Sea is Bigger than Germany. Bigger than Japan.

You happily believe the Bible when it says millions of Israelites, women, children, elderly, animals, crossed the entire sea in ONE NIGHT while Pharaoh’s horses and chariots were hunting them down...

Now let’s talk about your real problem.

When we say Prophet Muhammad travelled from Makkah to Jerusalem in one night, then ascended through the heavens, met previous prophets, spoke to Allah, and returned to Makkah all in ONE SINGLE NIGHT...

You lose your mind completely.

“Impossible!”
“Scientifically ridiculous!”
“Delusional myth!”

Yet you had zero problem believing the Red Sea split and millions crossed it overnight.

So tell us honestly…

Why is one overnight miracle “beautiful faith” when it’s in the Bible,
but the same type of miracle becomes “stupid and illogical” when it’s in the Quran?

Be consistent for once.

Is it really about logic…
or is it just blind hatred for anything Islamic showing your islamophobic bigotry?
 
Back
Top Bottom