Malaika walitoa wapi panga huko Mbinguni?

Malaika walitoa wapi panga huko Mbinguni?

Hivi malaika walitoa wapi panga za wanadamu huko mbinguni?

Kwa nini malaika wote wana upanga na sio bunduki ?

Malaika wote wanatumia farasi na sio magari au ndege!

Hata Muhammad alienda mbinguni na mnyama aina ya farasi au sijui punda na sio gari au ndege!

Malaika wote ni wanaume!
Neno "panga" kwa malaika linatajwa kama ishara, sio kama chuma tunachojua:

1. Panga ni ishara ya mamlaka na hukumu
Kama polisi alivyo na bunduki kuonyesha mamlaka, malaika anatajwa na panga kuonyesha amepewa mamlaka na Mungu kutekeleza hukumu. Mfano - Malaika aliyesimama na panga mlangoni mwa bustani ya Edeni (Mwanzo 3:24), au malaika aliye na panga kinyume na Balaamu.


2. Panga yenyewe ni Neno la Mungu
Waefeso 6:17 inasema "upanga wa Roho ni neno la Mungu". Kwa hiyo silaha ya mbinguni sio ya chuma.


Kwa imani, kila kitu mbinguni kimeumbwa na Mungu. Kama Mungu ameumba mbingu na nchi, basi hata silaha ya malaika ni sehemu ya uumbaji wake, haijatoka kwa fundi nje yake.
 
Hivi malaika walitoa wapi panga za wanadamu huko mbinguni?

Kwa nini malaika wote wana upanga na sio bunduki ?

Malaika wote wanatumia farasi na sio magari au ndege!

Hata Muhammad alienda mbinguni na mnyama aina ya farasi au sijui punda na sio gari au ndege!

Malaika wote ni wanaume!
Hivi malaika walitoa wapi panga za wanadamu huko mbinguni?

Kwa nini malaika wote wana upanga na sio bunduki ?

Malaika wote wanatumia farasi na sio magari au ndege!

Hata Muhammad alienda mbinguni na mnyama aina ya farasi au sijui punda na sio gari au ndege!

Malaika wote ni wanaume!
Ni nani katika sisi wanadamu amewahi kuwaona hao malaika uso kwa uso na kwa imani tulizo nazo kuwa malaika wanauwezo wa hali ya juu kuweza kutumia muda wa sekunde moja kutoka mbinguni kuja duniani ,kwa uwezo huo walionao sioni wao kuwa na uhitaji wa kutumia ndege inayotumia masaa24 na zaidi kutoka Marekani mfano kuja Tanzania wakati kwa uwezo wao kitendo cha kufumba na kufumbua macho amesafiri kutoka huko Marekani hadi Tanzania hapo hao malaika wanahitaji hizo ndege za kazi gani ili iweje mkuu?
 
Majambia ya vita hayo kaka. Zana za kupambana na yule mwovu.
Sasa nyakati hizi muovu akija na AK47 malaika na panga zao si watachakazwa vibaya sana?! Au nao silaha zao zime upgrade wanatumia M4A1 Carbine ?
 
Kwa nini kwenye hayo maono walikuwa hawaoni bunduki, rockets, makombora, mabomu au drones wanaona panga tu ambazo ndizi zilikuwa zinatumika na wanadamu enzi hizo?
Maono lazima yaendane na material na equipments available kwa kizazi husika. Akikutokea leo haitashangaza akiwa anaongea na mobile phone.
 
Ni nani katika sisi wanadamu amewahi kuwaona hao malaika uso kwa uso na kwa imani tulizo nazo kuwa malaika wanauwezo wa hali ya juu kuweza kutumia muda wa sekunde moja kutoka mbinguni kuja duniani ,kwa uwezo huo walionao sioni wao kuwa na uhitaji wa kutumia ndege inayotumia masaa24 na zaidi kutoka Marekani mfano kuja Tanzania wakati kwa uwezo wao kitendo cha kufumba na kufumbua macho amesafiri kutoka huko Marekani hadi Tanzania hapo hao malaika wanahitaji hizo ndege za kazi gani ili iweje mkuu?
Kwa nini wanahitaji farasi?
 
Hakupata wahyi ila alitokewa na Malaika na kubashiriwa kuwa atazaa mtoto bila baba

TunapozungumIa wahyi ni kutoka kwa Mola mlezi
Niliona wanazuoni wakijengea hoja , kuhusu unabii kwa maryam, wanadai alipata wahyi kutoka kwa jibril hivyo alipaswa awe nabii, kwamba ni kati ya walipo pata istafa ya moja kwa moja kutoka juu 🤔
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom