Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 55,429
- 104,057
Ndiyo ujue,mtu akiwa ametulia na kunyamaza anakuwa na mengi kichwani mwake.Mkuu huu uzi umepost au umejipost wenyewe?
Ndiyo ujue,mtu akiwa ametulia na kunyamaza anakuwa na mengi kichwani mwake.Mkuu huu uzi umepost au umejipost wenyewe?
Hivi ilikuwaje malaika wakawa na majina yaliyotengenezwa na watu wakati wao waliumbwa kabla ya binadamuHivi malaika walitoa wapi panga za wanadamu huko mbinguni?
Kwa nini malaika wote wana upanga na sio bunduki ?
Malaika wote wanatumia farasi na sio magari au ndege!
Hata Muhammad alienda mbinguni na mnyama aina ya farasi au sijui punda na sio gari au ndege!
Malaika wote ni wanaume!
Hata meditation haiwi hivi,mtoa mada atakuwa ana shida mahalaNdiyo ujue,mtu akiwa ametulia na kunyamaza anakuwa na mengi kichwani mwake.
Binadamu alipewa mamlaka ya kutoa majina kwa yeyote na chochote kutoka kwa Mungu/kiimani.Hivi ilikuwaje malaika wakawa na majina yaliyotengenezwa na watu wakati wao waliumbwa kabla ya binadamu
Haya ndio madhara ya kuandika uzi wakati wa jua kaliHahahhhh labda Yoda na yeye anataka awe malaika maana ni kama ana waonea donge!
Kachoka msoto wa duniani.Anataka na yeye akaishi Eden awe anabugia matunda tu.Hahahhhh labda Yoda na yeye anataka awe malaika maana ni kama ana waonea donge!
Duh huenda hapo anawaza tu andiko la kukosoa uwepo wa MUNGU kachemka akaona aendeke kwa malaika awachambe...Ndiyo ujue,mtu akiwa ametulia na kunyamaza anakuwa na mengi kichwani mwake.
mambo ya kishoga yamekuchanganya ubongo wako mzeeHivi malaika walitoa wapi panga za wanadamu huko mbinguni?
Kwa nini malaika wote wana upanga na sio bunduki ?
Malaika wote wanatumia farasi na sio magari au ndege!
Hata Muhammad alienda mbinguni na mnyama aina ya farasi au sijui punda na sio gari au ndege!
Malaika wote ni wanaume!
Kwa mujibu wa uislamu malaika hawana jinsiaNawaza kama wewe Malaika wameelezwa kua ni wanaume Ina maan wanawake hawakuwepo
Wakati wa jua Kali au wakati wa El-nino.Haya ndio madhara ya kuandika uzi wakati wa jua kali
Atheist kwenye ubora wake anashusha nyuzi tu,Haya ndio madhara ya kuandika uzi wakati wa jua kali
Hivi malaika walitoa wapi panga za wanadamu huko mbinguni?
Kwa nini malaika wote wana upanga na sio bunduki ?
Malaika wote wanatumia farasi na sio magari au ndege!
Hata Muhammad alienda mbinguni na mnyama aina ya farasi au sijui punda na sio gari au ndege!
Malaika wote ni wanaume!
Ndiyo maana mmoja wao akatumwa kwa Maria mamaye Yesu.Nawaza kama wewe Malaika wameelezwa kua ni wanaume Ina maan wanawake hawakuwepo
Jana nimesikia taarifa eti Eli Nino itaanza November na itakuwa na kipindi kirefu mpaka April, Sijui wanatuchukuliaje?Wakati wa jua Kali au wakati wa El-nino.
NB:Jikite kuhusu mwanzo wa El-nino ulikuwa May 2026.Taarifa ya TMA.
KwaniKwa mujibu wa uislamu malaika hawana jinsia
Ilishaanza mwezi May 2026.Jana nimesikia taarifa eti Eli Nino itaanza November na itakuwa na kipindi kirefu mpaka April, Sijui wanatuchukuliaje?
Ilianza mbinguni auIlishaanza mwezi May 2026.