Malaika walitoa wapi panga huko Mbinguni?

Malaika walitoa wapi panga huko Mbinguni?

Mleta mada anamambo hayaaaaa....... Mawili.

Aidha anamtindio au anakaribia kufa.

Akiwa na mtindio hakuna shida, akiwa anakaribia kufa Kuna mambo hayaaaaa........Mawili.

Aidha amechanganyikiwa au Anakufa kweli.

Akiwa kachanganyikiwa hakuna shida, ila akiwa anakufa Kuna mambo hayaaaaa......Mawili

Aidha anakimbia madeni au analinda mgongo wake .
Mkuu inawezeka wewe ndo umevulugwa!
 
Kulingana na theolojia ya dini kuu (Uislamu na Ukristo), malaika hawana jinsia (mume au mke) kwa sababu hawazaliani, hawali, na hawanywi.
 
Tatizo ni kwamba wanadamu huwa wanaingizwa kwenye hizi dini mapema sana wakiwa watoto wadogo kabisa wanakuwa brainwashed vizuri kiasi cha kutoweza tena kuja kuzihoji, kuzidadavua na kuzichambua kama zina mantiki.
Mi nimeanza kuhoji/kujihoji nikiwa na miaka 13 Form one Mtwara girls.

Najutia hilo! 😩
 
Wangewatajia hivyo vifaa kwa maono binadamu hawahawa walivyo wabishi?Yaani malaika wangeitwa kila majina mabaya k.m waongo,wazushi,waleta taharuki,wahuni, wahaini, magaidi n.k.
Kulingana na hadithi za biblia na Quran manabii na mitume walifanyiwa hayo yote regardless
 
Hivi malaika walitoa wapi panga za wanadamu huko mbinguni?

Kwa nini malaika wote wana upanga na sio bunduki ?

Malaika wote wanatumia farasi na sio magari au ndege!

Hata Muhammad alienda mbinguni na mnyama aina ya farasi au sijui punda na sio gari au ndege!

Malaika wote ni wanaume!
Ukikubali kuwa Mungu hayupo na hizi zote ni hadithi za kuungaunga za watu tu, maswali haya yote yanaisha.
 
Same ol people, same ol scoffing

 
Ina maana hivi sasa wameshajiupdate na kumiliki zana za kisasa? maana kwa mujibu wa utetezi wako walikuwa hawana kwa sababu ilikuwa ni analogia
Inawezekana sasa hivi watu wanaoenda mbinguni wanaona malaika wenye bunduki
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom