Mshono muhimu.kwani suti hakuna nyeupe?
Kwa ajili ya kufanyia nini'?!!unaposema Mbinguni unamaanisha mahali patakatifu,Mwanzo wa Yote. Mungu Ndio muumbaji wa mbingu na ardhi. Je unahoji Mungu kuwa na Panga,Sio panga tu Bali upanga wa Shaba
Kuna muda unakaa unawaza niwachokoze na lipi leo? 😹😹Wafia dini wa bongo wamebweteka sana na wamejifunika kwenye chungu, inabidi wapelekwe mchakamchaka mpaka ulimi uwatoke😁
panga walinunua toka duniani baada ya binadamu kugundua chuma.....Hivi malaika walitoa wapi panga za wanadamu huko mbinguni?
Kwa nini malaika wote wana upanga na sio bunduki ?
Malaika wote wanatumia farasi na sio magari au ndege!
Hata Muhammad alienda mbinguni na mnyama aina ya farasi au sijui punda na sio gari au ndege!
Malaika wote ni wanaume!
malaika gabriel,mikael wamatumia jina la mungu wa kipagani El🤔😳Binadamu alipewa mamlaka ya kutoa majina kwa yeyote na chochote kutoka kwa Mungu/kiimani.
Malaika hana jinsia ,Hivi malaika walitoa wapi panga za wanadamu huko mbinguni?
Kwa nini malaika wote wana upanga na sio bunduki ?
Malaika wote wanatumia farasi na sio magari au ndege!
Hata Muhammad alienda mbinguni na mnyama aina ya farasi au sijui punda na sio gari au ndege!
Malaika wote ni wanaume!
Kwa mujinu wa maandiko hata makato yako malaika ana uwezo wa kugeuza kuwa pangaHivi malaika walitoa wapi panga za wanadamu huko mbinguni?
Kwa nini malaika wote wana upanga na sio bunduki ?
Malaika wote wanatumia farasi na sio magari au ndege!
Hata Muhammad alienda mbinguni na mnyama aina ya farasi au sijui punda na sio gari au ndege!
Malaika wote ni wanaume!
Hayo umeandika wewe.malaika gabriel,mikael wamatumia jina la mungu wa kipagani El🤔😳
Wameadvance wanatumia V8Kwahiyo kwenye hii karne ya 21 kuna uwezekano malaika wakawa na altezza
Kwa Nini Allah alisema akitaka mke anaweza chukua malaika au huri ?Kwa mujibu wa uislamu malaika hawana jinsia
We unajuaje hayo majina sio ya kike? Ungezaliwa unaitwa Hadija ungepinga?Ndio akaamua malaika majina awape ya kiume tu ?