MawardatDellapina
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 30,121
- 151,766
😁😁😁😁,sijasoma Uzi,
Hiyo kurasa ya Uzi umenifanya nimecheka sana.
Hiyo kurasa ya Uzi umenifanya nimecheka sana.
Jua kali nalo ni "component" ya el-nino.Ilianza mbinguni au
Kiuhalisia hana jinsia,ila kwakuwa kuonana na binadamu akiwa katika umbile lake halisi ni shida au inaleta taharuki basi huja katika umbo hilo kwa muda tu,kwahiyo sio uhalisia wakeKwani
Gibril alikuwa na mwonekano gani wakati ana mtokea s. A .w ?
Nilikuwa sijuiJua kali nalo ni "component" ya el-nino.
Niliwapelekea mimi!Hivi malaika walitoa wapi panga za wanadamu huko mbinguni?
Alikuwa Gabriel.Malaika aliyetumwa kwa Maria alikuwa mwanamke?
Mbona unaanza kuamisha magoli mkuu?Kwa nini Muhammad mbinguni kila kitu alikuwa anaona dhahabu, lulu na nguo za hariri tu ? Kwa nini alikuwa haoni Almasi, Tanzanite, nguo za pamba au otus silk?
Hivyo unavyovisema vilikuwa havijavumbuliwa sasa wangeweza vipi kuviweka katika hadithi/longolongo zao?Hivi malaika walitoa wapi panga za wanadamu huko mbinguni?
Kwa nini malaika wote wana upanga na sio bunduki ?
Malaika wote wanatumia farasi na sio magari au ndege!
Hata Muhammad alienda mbinguni na mnyama aina ya farasi au sijui punda na sio gari au ndege!
Malaika wote ni wanaume!
Yoda ana vibweka sana.Anataka maelezo ya Karne ya "Kwanza" yawe na maelezo kuhusu matumizi ya bastola,bunduki, Mercedes Benz, Yutong na Alpha Romeo.
Neno lililoandikwa na mzungu akatutwisha mzigo akasepa zake sie ndo tumebaki tunajua kuna mbingu nakujazana makanisani ila wao wanapigana kutajirika kwa kila namna wakiandalia vizazi elfu vinavyokujaHivi mkuu,karibia unakufa au Umeamua tu kuchimbua NENO la Mungu?Kwa sababu katika hizi siku za karibuni si haba!
Upo sahihi.Kila mmoja achague linalomfaa.Neno lililoandikwa na mzungu akatutwisha mzigo akasepa zake sie ndo tumebaki tunajua kuna mbingu nakujazana makanisani ila wao wanapigana kutajirika kwa kila namna wakiandalia vizazi elfu vinavyokuja
Ulitaka awepo na malaika Suzanna?Ndio akaamua malaika majina awape ya kiume tu ?
Umeshawahi japo kusikia tu Kuna mitume au manabii wakike?Kwa nini hakuwahi kutokea kama mwanamke ?