Malaika walitoa wapi panga huko Mbinguni?

Malaika walitoa wapi panga huko Mbinguni?

Hivi malaika walitoa wapi panga za wanadamu huko mbinguni?

Kwa nini malaika wote wana upanga na sio bunduki ?

Malaika wote wanatumia farasi na sio magari au ndege!

Hata Muhammad alienda mbinguni na mnyama aina ya farasi au sijui punda na sio gari au ndege!

Malaika wote ni wanaume!
Ungeweza ķutafuta wewe unetokaw wàpi hata upanga usinge shan̈gaa ulipotokà
 
Hivi malaika walitoa wapi panga za wanadamu huko mbinguni?

Kwa nini malaika wote wana upanga na sio bunduki ?

Malaika wote wanatumia farasi na sio magari au ndege!

Hata Muhammad alienda mbinguni na mnyama aina ya farasi au sijui punda na sio gari au ndege!

Malaika wote ni wanaume!

Ulitaka mtunzi wa zama hizi akiandika aache kutumia teknolojia iliyopo?
 
Sikuulizi jinsia nakuuliza Kuhusu Jina. Nani anaamua Jina Liwe la Jinsia Fulani?
Labda mungu na wanadamu,
Hawa-mama wa wote wenye mwili.
Adamu-mtu mwanaume.

Wewe unafikiri nani anaamua jina liwe la jinsia fulani?
 
Hamkusomaga uzi humu jamaa anasema shetani anakujaga duniani anatembelea range na huvaa suti nyeus na hupenda kwenda club
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom