masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,378
- 19,267
Nipo season one GAME OF THRONES nipeni moyo
Sometimes inatokea sana hii haikwepeki yaan unaweza ukasema hivi mtu akachukua hivi akasema ulisema hivi hii nishaiona sana na nikimuona mtu ananiletea habari km hizo nampumzisha lock up ndogo ya JF inaitwa IGNORE kwa muda baadae namfungulia ila kuna manunda hao nawajua huyu hata nikimfungua kamba lazima ataendelea kuleta pigo zile zile za wakati wote huyo kwa afya yangu ya ubongo naona ni vizuri aendelee kupumzika, ninashukuru sana JF kutuwekea hii kitu inaitwa IGNORE nadhani one day watakuja na wazo la BLOCK tena iwekwe pale karibu na Report, technology inapanuka ukiona member humuelewi unazungumza hivi yeye anaona km umezungumza hivi mkashindwa kuelewa basi namna pekee ya kumuepuka unamlambaHisia zilizotafsiriwa kinyume
Labda ni mtu wa usalama 🏃♂️🏃♂️🏃♂️Anakutishia vipi mtu hakujui! Nipo zangu Kazuramimba, unanitishiaje JF hapa kwa mfano!
SafiiNipo season one GAME OF THRONES nipeni moyo
Mimi vifungo vyangu ni vya maisha.. No turning back.. Na jela yangu imefurika😆Sometimes inatokea sana hii haikwepeki yaan unaweza ukasema hivi mtu akachukua hivi akasema ulisema hivi hii nishaiona sana na nikimuona mtu ananiletea habari km hizo nampumzisha lock up ndogo ya JF inaitwa IGNORE kwa muda baadae namfungulia ila kuna manunda hao nawajua huyu hata nikimfungua kamba lazima ataendelea kuleta pigo zile zile za wakati wote huyo kwa afya yangu ya ubongo naona ni vizuri aendelee kupumzika, ninashukuru sana JF kutuwekea hii kitu inaitwa IGNORE nadhani one day watakuja na wazo la BLOCK tena iwekwe pale karibu na Report, technology inapanuka ukiona member humuelewi unazungumza hivi yeye anaona km umezungumza hivi mkashindwa kuelewa basi namna pekee ya kumuepuka unamlamba
Ukiwa na ID 7 Jf huwezi kujiona kuwa una koseaTuhuma bila ithibati
Utani wenye uhalisia
Wivu wa kijinga
Shuku kisa chitchat
Maskhara yanapogeuka ugomvi
Umbea kwa usiyemjua vema
Mas nitch
Hisia zilizotafsiriwa kinyume!🤔😫😷
😄Was mgambo labda😀
Hivi I'd zote hizo hua za nini?Ukiwa na ID 7 Jf huwezi kujiona kuwa una kosea
Mimi nina huruma yaan siwezi mfunga mtu milele kuna mda huruma inanijia nafungua moyo na roho ipate pumziko, ila kuna muda naghadhibika naacha hata IGNORE siigusi zaidi zaidi siangalii notifications ili nisimjibu mtu ambae ametokea kunitafsiri vibaya ikipita muda basi inakua imeisha hio, au nikiangalia notification na najua kabisa huyu tulipishana kwa namna fulani namruka ila simfungi na kamba namuacha ajitafakari mwenyewe ila siku ikiwa na mimi tayari nilikua niko moto basi hapo kuna kitu utakishuhudia lazima kitawaka maana nikiwa nipo vitu uvumilivu unakua wa kiwango cha chini tofauti na nikiwa nipo sober kwa hio ni suala la kusoma nipo katika hali gani kwa wakati huo, unajua kuna muda hua napitia humu naangalia nilichoandika labda miezi 2 nyuma sometimes nasema hivi ni mimi ndie nilieandika hivi basi ndio naanza kuelewa huo wakati niliandika nikiwa tayari nipo vitu yaan namaanisha niliandika nikiwa nipo na high potential energyMimi vifungo vyangu ni vya maisha.. No turning back.. Na jela yangu imefurika😆
Nikishakupeleka lockup nimeshakuvumilia sana! Hivyo kifungo changu hakina msamaha😂
Duuuh anampiga roba![]()
16M views · 260K reactions | Nani Fundi nataka tuone kwenye Comment Aya TUONDOKE. #reelvideotrending #reelschallenge #fypシ゚ #foryouシ #funny #fypchallenge #goviral | Kapyungu Comedian
Nani Fundi nataka tuone kwenye Comment Aya TUONDOKE. #reelvideotrending #reelschallenge #fypシ゚ #foryouシ #funny #fypchallenge #goviralwww.facebook.com
🤣🤣🤣We chizi umetoka kwenye msiba na nguvu mpya that's huge strength. Let's the party proceed, No wa kukimbilia kwa mods tu okiiiy bby Chilita.Umwambie mwanaume humu ni masikini huoni kama una mpeperushia ndege wake 😄 anyway muhimu tuheshimiane tu tuwe na lugha za staha
Ukiweza ku ignore ni raha sana
Ila mie pia mood ikiwa off unavyokuja ndio navyokupokea
Kuna kichaa humu alitaka kunipanda kicwani yule ningemchekea alikua ananizoea mnoo
Maana alikurupuka kama chafya na kuanza vitisho 😀
Kmmk Wallah 🖕🤣🤣🤣We chizi umetoka kwenye msiba na nguvu mpya that's huge strength. Let's the party proceed, No wa kukimbilia kwa mods tu okiiiy bby Chilita.
Very sad1 .Wambeya wako hapa tena kwa jinsia zote Me na Ke
Nije na rafiki yangu Cathe? 🤣🤣Let's go slowly no hurry darlingKmmk Wallah 🖕
Kaa mbali na mimi we kahaba mwambie bwana ako akukaze vizuri 🚮
Njooooo nae mimi hiyo michezo I like 👍 👌 waleteeeeeeee🔥🔥Nije na rafiki yangu Cathe? 🤣🤣Let's go slowly no hurry darling