min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 58,066
- 166,581
Iache tu ife kifo cha asili😅Hebu itaje🤣
Iache tu ife kifo cha asili😅Hebu itaje🤣
Ninong'oneze basi, haiwezekani uikimbie hivyo!!Iache tu ife kifo cha asili😅
Niliomba iungwe mpaka sasa bado haijaungwa wala haikua na shida sindiiNinong'oneze basi, haiwezekani uikimbie hivyo!!
Kwanini uliikimbia?Niliomba iungwe mpaka sasa bado haijaungwa wala haikua na shida sindii
Hii niliifungua kama Parody tu , ila ikakolea nikaachana na ile , kule nilikua napiga spana sana😅Kwanini uliikimbia?
Mmmmmmh! Kuna namna hapa si bure.Hii niliifungua kama Parody tu , ila ikakolea nikaachana na ile , kule nilikua napiga spana sana😅
Hakuna namna mimi ni mtulivu sana shindii zangu pombe tu, na wanadai hawapendi walevi😅Mmmmmmh! Kuna namna hapa si bure.
Kabla ya hayo hakikisha nimekukagua😅😅Jiandae kunishika mkono ukumbini ukinikabidhi kwa mkweo mpya🔥
We si umesusa vp tenaKabla ya hayo hakikisha nimekukagua😅😅
Kuna watu wapo serious ohoooo🏃♂️🏃♂️🏃♂️JF sio ya kuichukulia kwa hisia. Ni sehemu ya kuburudika, baada ya hapo ya humj unayacha humu humu, ukija tena unaendelea na mengine.
Ndio maana watu tupo hapa, hatujawahi pata BAN. 😁
Mtu anakutukana unacheka tuu, anakujaza na kukudunisha unatabasamu, unajibu hoja tui, ndio dawa ya JF. Kuna watu humu ni mafundi wa kujaza povu wenzao. 😁
Kuna watu wapo serious ohoooo🏃♂️🏃♂️🏃♂️
Natingisha kiberiti mjukuu! Vipi sasa, zoezi liendelee kabla...!!😅We si umesusa vp tena
Sizitaki mbichi hizi😁
Kanuni ni moja ya kutojali✅️Ndio wanaoongoza kwa makasiriko humu, hapa JF sio kwa kutaka kuwa relevance, mtu anataka aonekane ni smart humu, anataka kuonekana ana akili au ametoboa kimaisha! 😁
Mtu ukimpinga kwa hoja, anakumwagia matusi ya nguoni. 😁
Nipo hapa kwa miaka mingi, hakuna mtu hapa alishambuliwa kama Marehemu Le Mutuz, lakini alikuwa na kanuni ya kutojali mtu humu. Ilimsaidia sana. 😁
Si ndio mi nashangaa unavyoogopa 😏Natingisha kiberiti mjukuu! Vipi sasa, zoezi liendelee kabla...!!😅
Kanuni ni moja ya kutojali✅️
Tatizo sasa sio kila mtu anaweza ku ignore mambo
Umwambie mwanaume humu ni masikini huoni kama una mpeperushia ndege wake 😄 anyway muhimu tuheshimiane tu tuwe na lugha za stahaKu ignore mambo ambayo yanaweza kukuletea hisia hasi, ni hekma na ni ustaarabu. Ustaarabu na hekma sio ya kila mtu, sawa na common sense, sio ya kila mtu. 😁
Hapa tunatumia majina bandia, ni sehemu ya bandia pia. Sasa kwanini wewe uwe huko Mpitimbi, upate hasira au hisia hasi kutoka kwa watu wenye kujiwekea ubandia? 😁
Mtu anakwambia wewe ni masikini, na wewe unajua kiuhalisia ni tajiri, kwanini ukasirike. 😁