ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 54,703
- 127,591
Mambo yasiwe mengi, mchakato uanze😅😅Si ndio mi nashangaa unavyoogopa 😏
Nisiogope mie uogope wewe 😉
Hebu njoo tuone hasi na chanya vikikutana inakuaje🤔
Mambo yasiwe mengi, mchakato uanze😅😅Si ndio mi nashangaa unavyoogopa 😏
Nisiogope mie uogope wewe 😉
Hebu njoo tuone hasi na chanya vikikutana inakuaje🤔
Baba kaa kando nipo kwenye ovulation 😎Nimekuzaaa🙌🏿🙌🏿🏃🏿🏃🏿🏃🏿😷🤣View attachment 3575315
🔥🔥🔥🔥 mtu BEMambo yasiwe mengi, mchakato uanze😅😅
Mimi sijasema nataka ndizi namtaka babu ERoniPokea tu mwananguView attachment 3575323
Heh yeye nyama hana😢
Baasiiiiii sasa mpila umeingia nyavuniHadi jmosi tuwe tumemaliza hili jambo!😅
Mbona mashirimaa anakupenda hivyo hivyo na upampula wako🤣Hakuna namna mimi ni mtulivu sana shindii zangu pombe tu, na wanadai hawapendi walevi😅
Baasiiiiii sasa mpila umeingia nyavuni
Tusiwape tena faida watu🫣
Mada closed 📌
Mrejesho utakua hivi :UTAMU WA BABU🔥
Tuifanyie kazi hii bold
Fungua 📧📩 zoezi lisiwe refu😅
🤣🤣🤣🤣🤣mashirimaaView attachment 3575373
Umwambie mwanaume humu ni masikini huoni kama una mpeperushia ndege wake 😄 anyway muhimu tuheshimiane tu tuwe na lugha za staha
Ukiweza ku ignore ni raha sana
Ila mie pia mood ikiwa off unavyokuja ndio navyokupokea
Kuna kichaa humu alitaka kunipanda kicwani yule ningemchekea alikua ananizoea mnoo
Maana alikurupuka kama chafya na kuanza vitisho 😀
Mashirimaa hana shida kabisa.