Makosa 10 aliyotenda Mungu

Makosa 10 aliyotenda Mungu

1.KUMUUMBA SHETANI:
Hili lilikuwa kosa kubwa sana. Makosa yate yamechepuka kutoka hapa. Shetani anawasababishia watu maovu, then Mungu anawahukumu watu dhaifu. Hapa Mungu inambidi amkamate shetani na kumtokomeza ili maovu yaishe, kama wote wanatoshana nguvu basi wasuluhishe ugomvi wao na kupatana ili maisha yawe ya amani.

2.KUISHI MAFICHONI:
Toka enzi na enzi, Mungu amekuwa akiishi mafichoni, kwanini asijitokeze na kujionesha kwa viumbe vyake? Anaishi mafichoni kwani yeye ni Joseph Kony? Hili limepelekea watu wake kudanganywa na manabii wa uongo na kutapeliwa bure. God come from your hidings and reveal yourself to your people.

3.MAFURIKO YA WAKATI WA NUHU:
Mungu alisababisha mafuriko ili kuangamiza watu waovu na kubakiza watu wema, Yes he did, sasa waovu wa leo wametoka wapi? mbona aliuwa watu wengi bila huruma? Kama mafuriko yalikuwa ni suluhisho la maovu, Yesu na mitume walijia nini? It seems he fought effects instead of causes.

4.SAFARI YA WANA WA ISRAELI:
Mungu aliwatoa wana wa Israel kutoka Misri kwa madai ya kuwapa nchi ya ahadi, matokeo yake aliwaamuru wafanye uvamizi wa nchi za watu(mf. waamori, wamoabu na wakanani). Kwanini asingebadilisha jangwa na kuwatengenezea waisraeli nchi yao? mbona Gadaffi aliweza? Imagine waje wapuuzi hapa TZ wachukue nyumba na ardhi kwa madai kwamba wameagizwa na Mungu, ungereact vipi? WE HAVE TO BE FAIR!

5.KUTOTIMIZA AHADI YAKE KWA ABRAHAM:
Mungu alimwambia Abraham kuwa atampatia uzao wa wana wengi kama nyota za angani au mchanga wa pwani. Sasa hivi ukichanganya walio wa Abrahamu na wasiyo wa kwake bado watu hawawezi kuwa sawa na nyota au mchanga wa pwani. Ata ukijumlisha na waliokufa back to Adam. Atatimiza lini hi ahadi? je kuna muda wa kutosha? mbona watumishi wake wanasema Yesu yuu karibu kuja ili kutamatisha nyakati?

6.KUWEPO KWA MZIO(ALLERGY):
Kwanini watu wengi ambao ni wema wana allergy na vitu alivyoumba Mungu? mbona maandiko yanasema kila alichoumba Mungu ni chema? Kwanini aumbe mimea na wanyama wenye sumu kwa watu wake awapendao? au hakujua?

7.MAJANGA ASILIA:
Kama Mungu aliumba dunia ili iwe sehemu ya amani kwa watu wake na wamwabudu yeye, kwanini kuna matetemeko ya nchi, vimbunga na mafuriko. Kwanini anawauwa watu kikatili hivi? au haya nayo tumsingizie shetani?

8.KUUMBA VIUMBE HATARISHI:
Kwanini Mungu aumbe bacteria, virusi, fangasi na viumbe wengine wanaosababisha magonjwa na kifo? Kwanini hawa viumbe wasingefia kwenye yale mafuriko ya Nuhu ili watu wema alio wabakiza waishi kwa amani? Je hawa viumbe hatari Mungu alimwamuru Nuhu awaingize wawili wawili kwenye safina?

9.JEHANAMU NA MOTO WAKE:
Kwanini Mungu aumbe jehanamu kuteketeza waovu? Kwani hajui kusamehe? Kwanini huruma yake ina kikomo kwa shetani? Kama wewe ni mzazi, mwanao akikukosea na hajaomba msamaha, itabadilisha uhalisia kuwa yule sii mwanao? SHETANI PAMOJA NA WAOVU NI KAZI YA MIKONO YAKE, PRODUCTS OF HIS OWN MIND BEFORE CREATED THEM. So aache kuweka vinyongo na kutamani kulipiza kisasi juu ya kazi yake.

10.KASORO KWENYE MWILI WA BINADAMU:
Kwanini pawepo na mabadiliko hasi kwenye jeni za binadamu(mutation)? kwani hakujua hicho ni chanzo cha viwete??? Kidole tumbo(appendix) ni cha kazi gani? mbona hajatoa maelezo namna ya kukitumia? Na chuchu za mwanaume ni za kazi gani?

TO THE RIGHT WING OR THE LEFT WING WE ARE NEITHER, NOT EVEN AT THE MIDDLE....R.I.P MOBUTU!

===================
Na swali kwako wewe ukiunda chungu kadri unavyojisikia ukaamua,utunzie maji au ukiweke kwenye moto au ukivunje au ukifanyie chochote ni kosa, au icho chungu kinaweza kikakuuliza kwann uniwekee maji?au moto au kinaweza kupa mipaka wakati wewe ndo umekiunda kwa matumizi yako?
Mungu ameumba alichopenda kukiumba mimi na wewe tunasauti gani ya kumjudge Mungu?
 
Umeshiba rizki yakee na unapumua pumzi yake ya buree/ unakuja kuandika ujinga.

Sikia we hukuwa chochote hapoo kablaa, alaf ujueee ataaa dunia yenyewe na vilivyomo umevikuta,

Kuwa makinii Sana'a hayo uliyoandika nii ukafiri.
 
Thibitisha Mungu yupo.
 
Na swali kwako wewe ukiunda chungu kadri unavyojisikia ukaamua,utunzie maji au ukiweke kwenye moto au ukivunje au ukifanyie chochote ni kosa, au icho chungu kinaweza kikakuuliza kwann uniwekee maji?au moto au kinaweza kupa mipaka wakati wewe ndo umekiunda kwa matumizi yako?
Mungu ameumba alichopenda kukiumba mimi na wewe tunasauti gani ya kumjudge Mungu?
Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?
 
1.KUMUUMBA SHETANI:
Hili lilikuwa kosa kubwa sana. Makosa yate yamechepuka kutoka hapa. Shetani anawasababishia watu maovu, then Mungu anawahukumu watu dhaifu. Hapa Mungu inambidi amkamate shetani na kumtokomeza ili maovu yaishe, kama wote wanatoshana nguvu basi wasuluhishe ugomvi wao na kupatana ili maisha yawe ya amani.

2.KUISHI MAFICHONI:
Toka enzi na enzi, Mungu amekuwa akiishi mafichoni, kwanini asijitokeze na kujionesha kwa viumbe vyake? Anaishi mafichoni kwani yeye ni Joseph Kony? Hili limepelekea watu wake kudanganywa na manabii wa uongo na kutapeliwa bure. God come from your hidings and reveal yourself to your people.

3.MAFURIKO YA WAKATI WA NUHU:
Mungu alisababisha mafuriko ili kuangamiza watu waovu na kubakiza watu wema, Yes he did, sasa waovu wa leo wametoka wapi? mbona aliuwa watu wengi bila huruma? Kama mafuriko yalikuwa ni suluhisho la maovu, Yesu na mitume walijia nini? It seems he fought effects instead of causes.

4.SAFARI YA WANA WA ISRAELI:
Mungu aliwatoa wana wa Israel kutoka Misri kwa madai ya kuwapa nchi ya ahadi, matokeo yake aliwaamuru wafanye uvamizi wa nchi za watu(mf. waamori, wamoabu na wakanani). Kwanini asingebadilisha jangwa na kuwatengenezea waisraeli nchi yao? mbona Gadaffi aliweza? Imagine waje wapuuzi hapa TZ wachukue nyumba na ardhi kwa madai kwamba wameagizwa na Mungu, ungereact vipi? WE HAVE TO BE FAIR!

5.KUTOTIMIZA AHADI YAKE KWA ABRAHAM:
Mungu alimwambia Abraham kuwa atampatia uzao wa wana wengi kama nyota za angani au mchanga wa pwani. Sasa hivi ukichanganya walio wa Abrahamu na wasiyo wa kwake bado watu hawawezi kuwa sawa na nyota au mchanga wa pwani. Ata ukijumlisha na waliokufa back to Adam. Atatimiza lini hi ahadi? je kuna muda wa kutosha? mbona watumishi wake wanasema Yesu yuu karibu kuja ili kutamatisha nyakati?

6.KUWEPO KWA MZIO(ALLERGY):
Kwanini watu wengi ambao ni wema wana allergy na vitu alivyoumba Mungu? mbona maandiko yanasema kila alichoumba Mungu ni chema? Kwanini aumbe mimea na wanyama wenye sumu kwa watu wake awapendao? au hakujua?

7.MAJANGA ASILIA:
Kama Mungu aliumba dunia ili iwe sehemu ya amani kwa watu wake na wamwabudu yeye, kwanini kuna matetemeko ya nchi, vimbunga na mafuriko. Kwanini anawauwa watu kikatili hivi? au haya nayo tumsingizie shetani?

8.KUUMBA VIUMBE HATARISHI:
Kwanini Mungu aumbe bacteria, virusi, fangasi na viumbe wengine wanaosababisha magonjwa na kifo? Kwanini hawa viumbe wasingefia kwenye yale mafuriko ya Nuhu ili watu wema alio wabakiza waishi kwa amani? Je hawa viumbe hatari Mungu alimwamuru Nuhu awaingize wawili wawili kwenye safina?

9.JEHANAMU NA MOTO WAKE:
Kwanini Mungu aumbe jehanamu kuteketeza waovu? Kwani hajui kusamehe? Kwanini huruma yake ina kikomo kwa shetani? Kama wewe ni mzazi, mwanao akikukosea na hajaomba msamaha, itabadilisha uhalisia kuwa yule sii mwanao? SHETANI PAMOJA NA WAOVU NI KAZI YA MIKONO YAKE, PRODUCTS OF HIS OWN MIND BEFORE CREATED THEM. So aache kuweka vinyongo na kutamani kulipiza kisasi juu ya kazi yake.

10.KASORO KWENYE MWILI WA BINADAMU:
Kwanini pawepo na mabadiliko hasi kwenye jeni za binadamu(mutation)? kwani hakujua hicho ni chanzo cha viwete??? Kidole tumbo(appendix) ni cha kazi gani? mbona hajatoa maelezo namna ya kukitumia? Na chuchu za mwanaume ni za kazi gani?

TO THE RIGHT WING OR THE LEFT WING WE ARE NEITHER, NOT EVEN AT THE MIDDLE....R.I.P MOBUTU!

===================
MUNGU hakosei we ndo umekosea kuandika hayo
 
Mbona haueleweki,umetoka kusema Mungu anaumba kwa upendeleo mara sasa hivi tena hana majibu kwanini anaumba watu wengine walemavu!!!

Tukuelewe lipi sasa? Hauoneshi kuwa kuna unachokielewa hapa zaidi ya kujisemea tu hiki kinaonesha hakuna Mungu ila hauwezi kuelezea ni vp.

Ngoja niulize tena ili tuelewane

Kwanini mungu anamuumba mtoto mchanga na magonjwa ya ajabu kama CP wengine Epilepsy je hivi vichanga vina makosa gani mpaka aviumbe na magonjwa kama hayo?

Nijibu kwa ufasaha bila kutoka nje ya mada niliokuuliza
 
Kaka tuliza akili. Unaweza kumuuliza mtoto kuhusu muda akakueleza au mmbwa ?

Halafu bro muda ni mmoja kwa maana.

Wewe jibu swali nililowauliza.

Mbwa anaweza kutambua muda si kwa kumuuliza si mbwa peke yake wanyama wote wanatambua muda au wewe hujawahi kufuga kuku jogoo Swalaaa yeye anawika huoni kama kajua kumekucha

Sasa wewe unataka kuuongelea muda gani ? Wakati kila mtu ana ufahamu muda kutokana anavyouelewa na anavyouona yeye mwenyewe
 
Vipi wewe, Kuna yale yaliyomo moja kwa moja ndani ya mikono ya Mungu na kuna yale yaliyomo mikononi mwa watu, mfano mtu anywe sumu alafu apoteze maisha hapo utasema kwakuwa kapoteza maisha Mungu hayupo??, au mtu kala chakula bila kunawa akapata kipindupindu utasema hakuna Mungu kwa sababu mtu kapata kipindupindu??!, yeye Mungu amekupa akili ili uweze kujua mazuri na mabaya mabaya yanayoweza kuhatarisha maisha yako na ya watoto na ndugu zako nk,

Sasa kama hutotumia vyema akili aliyokupa Mungu kwanini umlaumu na kumkana??!, ulitaka akupe pepo kwani hapa ni peponi??, fanya mema ili uende kula raha na starehe huko peponi na siyo hapa duniani na kama unataka dunia isiyokuwa na calamities (some of them are due to human own stupor), basi tengeneza dunia yako na uhamie huko full stop, wewe dunia hukuiumba kelele za nini??, umejikuta tu upo duniani UNWILLINGLY bado hushangai aliyekuleta nani?? Uje ufanye nini??.😁😁😁😁

Kwani dunia hii kaitengeneza huyo mungu wako ?
Mpaka useme na mimi nitengeneze ya kwangu
 
Uko sawa kabisa ni maoni yako tu hayo atuwezi kuyakata ila punguza bangi
 
Bro mada ni makosa 10 ya Mola. Hayo ya kutokuwepo kwake ni matokeo ya maoni ya watu.

Tuendelee.

Mada kwa maana ya "sub topic".

Sasa msimamo wako ni upi Mungu yupo au hayupo??. hii ni kufuatana na maelezo yako huko ulipokwenda The US.
 
Thibitisha Mungu yupo.

Kukuelezea elimu ya Marekani ni sawa na kumfundisha claculus sisimizi.

Sasa kilichokutuma kutaja elimu yako ya Marekani ni kitu gani??.

Ungeniambia ulipata hiyo A+ hapa bongo labda ningekubali "uongo" wako huo kwa mbali sana, lakini huko The US "it is even very flabagasting issue".

Kamwe huwezi kumkana Mungu ukawa salama, mbaya zaidi unamkana Mungu ndani ya kadamnasi ya takriban watu 400,000, na unawashawishi wakubali uongo wako bila woga na haya eti, Prof, wako wa falsafa "alikuzawadia" A+ kwa kutoa hoja zilizokonga moyo wake na akasema fikra zako ziko juu ya fikra zao na hivyo hakukua na haja ya kufanya mtihani wa falsafa!!!??😁😁😁,Kiranga hilo darasa ulikuwa unasoma peke yako??, wewe upewe an A+credit wenzako wawe kimya😁😁😁, tena katika moja ya American university/college na wanafunzi wa kizungu wapo!!, huyo prof, hataki kazi??,

Kiranga, mimi sikuelewi hili jambo halijakaa sawa unatakiwa ujisafishe kwanza na jambo hilo.

And do not lose temper ukaanza kutukana ujue umesema unaye mke na watoto na usitake tuamini kama "you behaves the same while at your home with your wife and kids."

Halafu kumbe ulisoma "culculus", ni advanced au ordinary?? na ulisomea huko huko The US au ulipokuwa bongo ??, labda nikitumia "integration" utajua kuwa Mungu yupo😁😁.
 
[QUOTE="Astronomer The Great, post: 28459597, member: 487135"]Kitendo cha kuwepo wajinga duniani kina onyesha kama mungu hayupo

Kwanini mungu mwenye busara na hekima aumbe watu wengine awaumbe wenye akili wengine awaumbe wajinga
cc: Tz mbongo[/QUOTE]

Katika hayo makundi je, wewe upo wapi, kwa wenye akili au wajinga??😁😁
 
Ngoja niulize tena ili tuelewane

Kwanini mungu anamuumba mtoto mchanga na magonjwa ya ajabu kama CP wengine Epilepsy je hivi vichanga vina makosa gani mpaka aviumbe na magonjwa kama hayo?

Nijibu kwa ufasaha bila kutoka nje ya mada niliokuuliza
Ndiyo maana nilikuuliza swali la msingi kuwa hao wanaozaliwa wazima ni yapi waliyoyafanya hadi wakastahiri kuzaliwa wazima hadi uone kuwa hao wengine labda wanamakosa ndiyo maana wakaumbwa na matatizo?
 
Unaulizwa kuhusu wagonjwa.

Hujibu ulichoulizwa. Kuhusu wagonjwa.

Unajibu kuhusu wazima.

Una akili wewe?
 
Back
Top Bottom