Makosa 10 aliyotenda Mungu

Makosa 10 aliyotenda Mungu

Hayo sasa nayo ndio matumizi mabaya ya neno imani

Ilipaswa iwe 'Akidhania kuwa yeye ni tajiri na bilionea

Kwa maana dhana haina uhakika

Na kikubwa neno imani asili yake ni kwa matumizi ya mambo ya kiroho

Kulitumia kwa matumizi ya kimwili ni kulikosesha Heshima na taadhima yake kimatumizi
Imani na kudhania vina tofauti gani?

Unaweza kuamini bila kudhania?

Unapoandika "Imani ni ukweli wa visivyo dhihirika" unawezaje kuwa na hakika na hili?
 
Ni uzushi katika upande gani? Maana kuna maoni ya wataalamu mbalimbali kuhusu hivyo vitabu yenye kuhusiana na taaluma zao.

Sasa wewe ukitumbia ni uzushi tu kijumla jumla hivyo utakuwa umewadharau hata hao wataalamu wenye taaluma zao.
Hao wataalam walisha kuthibitishia kua mungu yupo?
 
Mimi sikuwahi kusema naweza kuthibitisha.

Wewe unasema Mungu yupo, halafu huwezi kuthibitisha kwamba yupo.

Hujathibitisha kwamba Mungu yupo .

Thibitisha Mungu yupo.

Tatizo lako husomi sawasawa ninachoandika na hiyo ndiyo tabia yako, angalia, swali la mimi kuthibisha uwepo wa Mungu ninalijibu kwa namna hii kwamba:-

Unapaswa kujua sababu ya wewe kuwepo hapa duniani, yaani hapa duniani wewe umefuata nini?, na kwa sababu gani umefuata hicho ulichofuata hapa duniani??, halafu nikajenga hoja kwamba Maswali hayo ukimuuliza Mbuzi au kuku nk, kamwe hawstaweza kuelewa sembuse kutoa majibu!!, ni mtu mwenye akili ndiye anayeweza kutoa majibu, sasa ninashangaa Kiranga mtu uliyepewa A+ ya falsafa unashindwa kujua sababu hizo kama jinsi wanyama hao watakavyoshindwa kujibu!!

Upo upo tu duniani without any purpose, yaani hata kuku anayo purpose kwa sababu anataga mayai na tunamla kwa kitoweo!! Lakini wewe upo kwa ajili ya kitoweo au kwa ajili ya kumchunguza Mungu au kwa ajili ya kuzaana??, lakini hata mende wanazaana!!.

There should be a difference between animals and human beings.
 
Hoja yako haina mantiki.

Inalazimisha kuwepo kwangu duniani uwe wa sababu unayoitaka wewe.

Mimi nipo duniani kwa sababu mama na baba yangu walikutana kimwili kibaiolojia katika muda ambapo niliwezekana kuwa conceived.

Ukisema vingine, thibitisha.

Hujathibitisha Mungu yupo.
 
Imani na kudhania vina tofauti gani?

Unaweza kuamini bila kudhania?

Unapoandika "Imani ni ukweli wa visivyo dhihirika" unawezaje kuwa na hakika na hili?
Narudia _dhana na Imani yote ni maono

Dhana= Ni maono yasiyo na uhakika

Imani=Ni maono yenye uhakika

Mfano;

Umri wako unaruhusu kujua Masika na kiangazi

Lakini fikiria ungekuwa na umri wa mbu aneishi ndani ya kipindi cha msimu...Kwako mambo yote ya msimu yangekuwa ni imani.!

Na kuamini au kutoamini kwako hakuwezi kubadili utaratibu uliopo

Hivyo kuzaliwa kwa neno Imani kunatokana na uhafifu wa muda wa kuishi kiumbe kufikia mambo yatarijiwayo _ila yenye uhakika
 
Unajuaje kwa uhakika kwamba imani ni maono yenye uhakika?

Hujajibu swali hili.
 
Unajuaje kwa uhakika kwamba imani ni maono yenye uhakika?

Hujajibu swali hili.
Unawezaje kuuliza kwa mtindo huu.! juu ya uhakika wa maono ya kimani..!?

Wakati unafahamu fika ni neno lililotokana na matumizi ya watu wanaoamini katika Mungu.!

Ambaye yupo milele..! Alfa na omega.! Kweli atashindwa kutangaza mwanzo na mwisho wa misimu..!?

Wakati kwake watu ni kama Mbu.!
 
Balderdash. Garbage. Malarkey.

Unajuaje kwa uhakika kwamba imani ni maono yenye uhakika?

Hujajibu swali hili.
 
Blderdash. Garbage. Malarkey.

Unajuaje kwa uhakika kwamba imani ni maono yenye uhakika?

Hujajibu swali hili.

Ndio maneno gani tena jamani au ndio natukanwa

Basi baki na majibu yako
 
Kwenye Post yako nimejifunza yafuatayo
1.kuna mungu wa wakatoliki
2.kuna mungu wa waislam
Kifupi tuaweza kusema mungu wako wengi na wanapokua wengi jina hubadilika kutoka kwenye mungu kwenda kwenye miungu
Swali je ni mungu gani kati ya hao tajwa hapo juu aliyeleta yale mafuriko kwa ajili ya kumkomoa mgiriki?
akikujibu nitag ... Yaan kuna allah ... Kuna jehovah

Mi naamin mungu yupo ila wazungu walituchefua sana
 
Nikishindwa kuthibitisha lolote ninaloamini, hilo halithibitishi Mungu yupo.

Hujathibitisha Mungu yupo.

Huwezi kuthibitisha Mungu yupo.

Kwa sababu hayupo.
Mie nishasema siwezi ila wewe unayesema siwezi kwa sababu hayupo umeshindwa hata kutoa mfano mmoja wa uthibitisho wa kitu unachokiamini. Hii inaonesha hata haujui uthibitisho wa jambo la imani unakuaje na ndiyo maana umeshindwa kufanya hivyo.

Kama unaweza jaribu tuone.
 
Nikikupiga risasi kichwani nikakuua sijakupiga risasi mpaka nikupige risasi mwili mzima?

Unaponiuliza kama maelezo yote ni uzushi, ni sawa na mtu anayepinga kwamba mtu aliyeuawa kwa kupigwa risasi kichwani, hajapigwa risasi, kwa sababu kuna sehemu kubwa sana ya mwili haijapigwa risasi.

Nimekuuliza, maji yakichanganywa na mkojo, ukapewa,ukaambiw aunywe, haya maji, utakubali kunywa kwa sababu hayo ni maji?

Hujajibu.

Kwa nini?

Unaogopa nini kujibu swali hili?
Maji yakichanganywa na mkojo sitakunywa kwa sababu hayo maji yamechanganywa na mkojo.

Na mie naomba kukuuliza,maji ukichanganya na mikojo hayo maji hugeuka na kuwa mikojo?
 
Back
Top Bottom