Makosa 10 aliyotenda Mungu

Makosa 10 aliyotenda Mungu

1.KUMUUMBA SHETANI:
Hili lilikuwa kosa kubwa sana. Makosa yate yamechepuka kutoka hapa. Shetani anawasababishia watu maovu, then Mungu anawahukumu watu dhaifu. Hapa Mungu inambidi amkamate shetani na kumtokomeza ili maovu yaishe, kama wote wanatoshana nguvu basi wasuluhishe ugomvi wao na kupatana ili maisha yawe ya amani.

2.KUISHI MAFICHONI:
Toka enzi na enzi, Mungu amekuwa akiishi mafichoni, kwanini asijitokeze na kujionesha kwa viumbe vyake? Anaishi mafichoni kwani yeye ni Joseph Kony? Hili limepelekea watu wake kudanganywa na manabii wa uongo na kutapeliwa bure. God come from your hidings and reveal yourself to your people.

3.MAFURIKO YA WAKATI WA NUHU:
Mungu alisababisha mafuriko ili kuangamiza watu waovu na kubakiza watu wema, Yes he did, sasa waovu wa leo wametoka wapi? mbona aliuwa watu wengi bila huruma? Kama mafuriko yalikuwa ni suluhisho la maovu, Yesu na mitume walijia nini? It seems he fought effects instead of causes.

4.SAFARI YA WANA WA ISRAELI:
Mungu aliwatoa wana wa Israel kutoka Misri kwa madai ya kuwapa nchi ya ahadi, matokeo yake aliwaamuru wafanye uvamizi wa nchi za watu(mf. waamori, wamoabu na wakanani). Kwanini asingebadilisha jangwa na kuwatengenezea waisraeli nchi yao? mbona Gadaffi aliweza? Imagine waje wapuuzi hapa TZ wachukue nyumba na ardhi kwa madai kwamba wameagizwa na Mungu, ungereact vipi? WE HAVE TO BE FAIR!

5.KUTOTIMIZA AHADI YAKE KWA ABRAHAM:
Mungu alimwambia Abraham kuwa atampatia uzao wa wana wengi kama nyota za angani au mchanga wa pwani. Sasa hivi ukichanganya walio wa Abrahamu na wasiyo wa kwake bado watu hawawezi kuwa sawa na nyota au mchanga wa pwani. Ata ukijumlisha na waliokufa back to Adam. Atatimiza lini hi ahadi? je kuna muda wa kutosha? mbona watumishi wake wanasema Yesu yuu karibu kuja ili kutamatisha nyakati?

6.KUWEPO KWA MZIO(ALLERGY):
Kwanini watu wengi ambao ni wema wana allergy na vitu alivyoumba Mungu? mbona maandiko yanasema kila alichoumba Mungu ni chema? Kwanini aumbe mimea na wanyama wenye sumu kwa watu wake awapendao? au hakujua?

7.MAJANGA ASILIA:
Kama Mungu aliumba dunia ili iwe sehemu ya amani kwa watu wake na wamwabudu yeye, kwanini kuna matetemeko ya nchi, vimbunga na mafuriko. Kwanini anawauwa watu kikatili hivi? au haya nayo tumsingizie shetani?

8.KUUMBA VIUMBE HATARISHI:
Kwanini Mungu aumbe bacteria, virusi, fangasi na viumbe wengine wanaosababisha magonjwa na kifo? Kwanini hawa viumbe wasingefia kwenye yale mafuriko ya Nuhu ili watu wema alio wabakiza waishi kwa amani? Je hawa viumbe hatari Mungu alimwamuru Nuhu awaingize wawili wawili kwenye safina?

9.JEHANAMU NA MOTO WAKE:
Kwanini Mungu aumbe jehanamu kuteketeza waovu? Kwani hajui kusamehe? Kwanini huruma yake ina kikomo kwa shetani? Kama wewe ni mzazi, mwanao akikukosea na hajaomba msamaha, itabadilisha uhalisia kuwa yule sii mwanao? SHETANI PAMOJA NA WAOVU NI KAZI YA MIKONO YAKE, PRODUCTS OF HIS OWN MIND BEFORE CREATED THEM. So aache kuweka vinyongo na kutamani kulipiza kisasi juu ya kazi yake.

10.KASORO KWENYE MWILI WA BINADAMU:
Kwanini pawepo na mabadiliko hasi kwenye jeni za binadamu(mutation)? kwani hakujua hicho ni chanzo cha viwete??? Kidole tumbo(appendix) ni cha kazi gani? mbona hajatoa maelezo namna ya kukitumia? Na chuchu za mwanaume ni za kazi gani?

TO THE RIGHT WING OR THE LEFT WING WE ARE NEITHER, NOT EVEN AT THE MIDDLE....R.I.P MOBUTU!

===================
Zitunze kaka, utamweleza muda wako ukishafika though alishaziua hadi muda huu, kinachosubiriwa ni muda.
 
Nyie mnaopinga uwepo wa Mungu salama yenu mpinge tu bila kuleta dharau na kashfa dhidi Yake vinginevyo "to hell".

Kuna mgiriki mmoja alikuwepo Kilosa (Morogoro) miaka ya nyuma 70s au 80s, yeye alikuwa anasumbuliwa sana na mafuriko sehemu moja ya shamba lake, siku moja akaamua kufanya ukarabati na kuweka daraja kuyadhibiti maji na akaweka tuta kubwa sana kwa gharama kubwa na alipomaliza akatamba hadharani kwamba:- "hata akija Mungu na mjomba wake hawawezi kung'oa hilo tuta na daraja".

Kesho yake tu ikanyesha mvua kubwa na ikasomba kila kitu na hali ilikuwa mbaya mno kuliko ilivyokuwa siku zote hapo katika mafuriko ya awali,

Watu wakamkebehi yule mgiriki, wakamwambia huyo aliyefanya gharika hiyo ni "mjomba wa Mungu" na Yeye mwenyewe bado hajaanza gharika lake.

Tahadhari:- mnapokanusha uwepo wa Mungu hiyo ni hatua ya awali ya kuelekea kumdhihaki na hapo ndipo mtakapo tambua kwamba Yeye yupo.
Nataka kujua nini kiliwatokea hao watu waliomkebehi huyo mgiriki kwa kusema huyo aliyefanya gharika ni mjomba wa
Mungu kwasababu nao walirudia kosa kwa kumfananisha mungu na mjomba?
 
Hakika Mwenyezi Mungu mmiliki wa kila kitu kilichopo duniani na mbinguni hajawahi kuwa dhaifu wala kushindwa na lolote, kusudio kubwa la Mungu kutuleta duniani ni ili tumwabudu ndo maana binadamu tukapewa akili kuliko viumbe wote ili tuweze kuchanganua zuri na baya, Mungu kumuacha shetani duniani haina maana kuwa kamshindwa la hasha bali atafanya kwa muda wake yeye (ndo maana katusisitiza sana kuwa na subira maana hata yeye ana subira japo ana uwzo wa kusema tu kuwa na ikawa). Mwenyezi Mungu anatupenda zaidi tukiwa viumbe bora kwake (na ubora wetu binadamu mbele ya Mungu ni kumwabudu na kufata makatazo yake) ndo maana pia kaweka mitihani ili kuzipima na kuzitakasa nafsi zetu.Kama sio subira ya Mungu ambayo wewe unaona ni udhaifu tungeshatoweka wote duniani maana ni maasi mangapi tunafanya na bado anatuvumilia tu, kwa maana nyingine ni kuwa uvumilivu wake sio udhaifu ila anatupa nafasi nyingine ya kujisahihisha na kurejea kwake, hakika Mungu anatupenda sana ndo maana hata ukawa nba dhambi za kuijaza bahari yote ya hindi bado ukifanya toba ya dhati hukufutia dhambi zako zote ukawa km mtoto mchanga aliyezaliwa leo!!!!
 
Duterte yeye matusi dharau na kebehi zake ni juu ya Wakatoliki na anasema kabisa Wakotoliki wamletee picha ya Mungu wao. Kwahiyo huenda yeye anaamini Mungu yupo lakini kwa namna/mfumo/dini nyingine tofauti na Wakatoliki sio kama nyinyi ambao mnamtukana Mungu in general (MwenyeziMungu )

Kwani mara ngapi tunawasikia Wakrist wakimtukana (Allah) Mungu wa Waislam, na Waislam nao kinyume chake na wengi wengineo kwa mfumo huo.

N. B
Sikusudii kumtetea huyo Mfilipino (mana wote ndio walewale- wote ndo nyinyi) lakini nimetaka tu kuweka sawa hiyo hoja mana naona kama mmeshupaa kwayo.
Kwenye Post yako nimejifunza yafuatayo
1.kuna mungu wa wakatoliki
2.kuna mungu wa waislam
Kifupi tuaweza kusema mungu wako wengi na wanapokua wengi jina hubadilika kutoka kwenye mungu kwenda kwenye miungu
Swali je ni mungu gani kati ya hao tajwa hapo juu aliyeleta yale mafuriko kwa ajili ya kumkomoa mgiriki?
 
Kingine nacho kiona, ukifata maandishi mengine; we are having also "forgotten books" in Bible !!...... na lazima hapa tujiulize kwa nini vitabu hivi vilisahabika ??.....
Biblical Corruption?
The Acts of The Apostle Thomas
The Apocalypse of Peter
The Apocalypse of Paul
The Book of Enoch
Eugnostos the Blessed
The Book of James - Protevangelium
The Book of Jubilees
The Dialogue of the Saviour
The Didache: Teachings of the 12 Apostles
The Epistle of Barnabas
The Epistle to the Laodiceans
The Essenes and The Dead Sea Scrolls
The Essene Gospel of Peace
The Essene Book of Revelation
The Forgotten Books of Eden: First and Second Book of Adam and Eve:
The Gospel of the Egyptians
The Gospel of Mary Magdalene.
The Gospel of the Nativity of Mary
The Gospel of Nicodemus
The Gospel of The Perfect Life / Holy (12) Twelve
The Gospel of Philip
The Gospel of Thomas
The Gospel of Truth
The Heavenly Prince Melchizedek
The Lost Gospel of Peter
The Sophia (Wisdom) of Jesus
The Lost Ten Tribes of Israel
The Lost Years of Jesus
The Testament of Abraham
The Treatise on the Resurrection

Please, let's Keep our faith strong !!!
 
M/mng msamehe mja wako! Lidhiki ulio mpa, pumzi na afya ndio ilio mfanya atengeneze hoja hii.
 
Nataka kujua nini kiliwatokea hao watu waliomkebehi huyo mgiriki kwa kusema huyo aliyefanya gharika ni mjomba wa
Mungu kwasababu nao walirudia kosa kwa kumfananisha mungu na mjomba?

Wao hawakuwa na nia ya kumkebehi Mungu ila walikuwa na nia ya kumkumbusha yule mgiriki juu ya dharau yake pale alipomnasibisha Mungu kuwa anaye "mjomba", hivyo wao walirudia kauli ile ile ya Mgiriki kwa nia hiyo.

Na lazima ujue kuwa Mungu huwa anamuhukumu mtu kutokana na "nia yake" na wala si matendo.

Mfano kama ntu hakukusudia kuua lakini ikatokea kaua huyo mbele ya Mungu hana hatia hata mbele ya mahakama za kidunia hana hatia, lakini mtu akiwa na nia ya kuua lakini asifanikiwe kuua huyo mbele ya Mungu anayo hatia ya kuua lakini mbele ya mahakama za kidunia huyo anayo hatia ya kujaribu kuua.

Get the point ? ?
 
Keep our faith Strong ..... Mungu Yupo Jamani na Hajawahi Kosea hata siku moja !!
 
1.KUMUUMBA SHETANI:
Hili lilikuwa kosa kubwa sana. Makosa yate yamechepuka kutoka hapa. Shetani anawasababishia watu maovu, then Mungu anawahukumu watu dhaifu. Hapa Mungu inambidi amkamate shetani na kumtokomeza ili maovu yaishe, kama wote wanatoshana nguvu basi wasuluhishe ugomvi wao na kupatana ili maisha yawe ya amani.

2.KUISHI MAFICHONI:
Toka enzi na enzi, Mungu amekuwa akiishi mafichoni, kwanini asijitokeze na kujionesha kwa viumbe vyake? Anaishi mafichoni kwani yeye ni Joseph Kony? Hili limepelekea watu wake kudanganywa na manabii wa uongo na kutapeliwa bure. God come from your hidings and reveal yourself to your people.

3.MAFURIKO YA WAKATI WA NUHU:
Mungu alisababisha mafuriko ili kuangamiza watu waovu na kubakiza watu wema, Yes he did, sasa waovu wa leo wametoka wapi? mbona aliuwa watu wengi bila huruma? Kama mafuriko yalikuwa ni suluhisho la maovu, Yesu na mitume walijia nini? It seems he fought effects instead of causes.

4.SAFARI YA WANA WA ISRAELI:
Mungu aliwatoa wana wa Israel kutoka Misri kwa madai ya kuwapa nchi ya ahadi, matokeo yake aliwaamuru wafanye uvamizi wa nchi za watu(mf. waamori, wamoabu na wakanani). Kwanini asingebadilisha jangwa na kuwatengenezea waisraeli nchi yao? mbona Gadaffi aliweza? Imagine waje wapuuzi hapa TZ wachukue nyumba na ardhi kwa madai kwamba wameagizwa na Mungu, ungereact vipi? WE HAVE TO BE FAIR!

5.KUTOTIMIZA AHADI YAKE KWA ABRAHAM:
Mungu alimwambia Abraham kuwa atampatia uzao wa wana wengi kama nyota za angani au mchanga wa pwani. Sasa hivi ukichanganya walio wa Abrahamu na wasiyo wa kwake bado watu hawawezi kuwa sawa na nyota au mchanga wa pwani. Ata ukijumlisha na waliokufa back to Adam. Atatimiza lini hi ahadi? je kuna muda wa kutosha? mbona watumishi wake wanasema Yesu yuu karibu kuja ili kutamatisha nyakati?

6.KUWEPO KWA MZIO(ALLERGY):
Kwanini watu wengi ambao ni wema wana allergy na vitu alivyoumba Mungu? mbona maandiko yanasema kila alichoumba Mungu ni chema? Kwanini aumbe mimea na wanyama wenye sumu kwa watu wake awapendao? au hakujua?

7.MAJANGA ASILIA:
Kama Mungu aliumba dunia ili iwe sehemu ya amani kwa watu wake na wamwabudu yeye, kwanini kuna matetemeko ya nchi, vimbunga na mafuriko. Kwanini anawauwa watu kikatili hivi? au haya nayo tumsingizie shetani?

8.KUUMBA VIUMBE HATARISHI:
Kwanini Mungu aumbe bacteria, virusi, fangasi na viumbe wengine wanaosababisha magonjwa na kifo? Kwanini hawa viumbe wasingefia kwenye yale mafuriko ya Nuhu ili watu wema alio wabakiza waishi kwa amani? Je hawa viumbe hatari Mungu alimwamuru Nuhu awaingize wawili wawili kwenye safina?

9.JEHANAMU NA MOTO WAKE:
Kwanini Mungu aumbe jehanamu kuteketeza waovu? Kwani hajui kusamehe? Kwanini huruma yake ina kikomo kwa shetani? Kama wewe ni mzazi, mwanao akikukosea na hajaomba msamaha, itabadilisha uhalisia kuwa yule sii mwanao? SHETANI PAMOJA NA WAOVU NI KAZI YA MIKONO YAKE, PRODUCTS OF HIS OWN MIND BEFORE CREATED THEM. So aache kuweka vinyongo na kutamani kulipiza kisasi juu ya kazi yake.

10.KASORO KWENYE MWILI WA BINADAMU:
Kwanini pawepo na mabadiliko hasi kwenye jeni za binadamu(mutation)? kwani hakujua hicho ni chanzo cha viwete??? Kidole tumbo(appendix) ni cha kazi gani? mbona hajatoa maelezo namna ya kukitumia? Na chuchu za mwanaume ni za kazi gani?

TO THE RIGHT WING OR THE LEFT WING WE ARE NEITHER, NOT EVEN AT THE MIDDLE....R.I.P MOBUTU!

===================
Mwandiko wa Mapepo umejitokeza waziwazi. Ushindwe kwa Jina la Yesu.
Alokuambia Mungu ana makosa ni nani...

Tafuta kiki kwingine na si kwa kumkosoa Mungu.
 
Imani si lazima iwe ukweli.

Ukweli unapatikana kwa uthibitisho.

Unaelewa hilo?
Imani inapambanuka ndani ya ufahamu wa mtu mwenye

Vile apangavyo maono yake ili kuelewa jambo fulani kwa hakika yake

Wewe wa pembeni unawezaje kuwa hakimu wa maono yake..!?
 
Nimeamini kweli Mungu mpole sana aise; khaa! Fikiria aliyekuzaa tu umwambie hivyo, utabaki salama kweli? Huyu aliyekuzaa hana uwezo wa kukupa hewa, riziki ya kila siku nk, Mungu provides everything to you and still hakufanyi chochote! Nimesoma hayo "makosa" yako 2 tu then nimeishia hapo hapo! God have mercy with you brother/sister!
 
Mkuu umeshiba ugali na maharagwe ya wapi mpaka uandike upumbavu wako

Kwa Kweli ....... Yeye Mwenyewe Hajijue !!...... Upumbavu ukizidi, anakua ni zezeta na kupoteza akili !!!.... I am not there to judge, but Najua Mwenyezi Mungu Atatenda !!!.
 
Imani inapambanuka ndani ya ufahamu wa mtu mwenye

Vile apangavyo maono yake ili kuelewa jambo fulani kwa hakika yake

Wewe wa pembeni unawezaje kuwa hakimu wa maono yake..!?
Kama akisemaimani yake ni kitu kilicho kweli nje ya imani tu, anajiweka kwenye vipimo vya uthibitisho kama anasema ukweli.

Kwa sababu, si kila imani imo katika ukweli.

Ingekuwa kila imani ni ukweli, basi masikini wote wanaotakautajiri wangekuwa matajiri kwa kuamini tu kwamba wao ni matajiri.
 
Kwa Kweli ....... Yeye Mwenyewe Hajijue !!...... Upumbavu ukizidi, anakua ni zezeta na kupoteza akili !!!.... I am not there to judge, but Najua Mwenyezi Mungu Atatenda !!!.
Unaweza kuthibitisha "Mwenyezi Mungu" yupo?
 
Back
Top Bottom