Makosa 10 aliyotenda Mungu

Makosa 10 aliyotenda Mungu

Huyo hawezi kukupa uthibitisho.

Utapata longolongo za kila aina, ila uthibitisho hawezi kukupa.
Longo longo unaleta wewe kwa sababu wewe nilishakujibu kuwa siwezi kuthibisha,au sijasema hivyo?

Sasa mie na wewe unayenilazimisha nithibitishe wakati nilishakupa jibu kuwa siwezi,mie na wewe nani mwenye longo longo?
 
Hoja yako haina mantiki.

Inalazimisha kuwepo kwangu duniani uwe wa sababu unayoitaka wewe.

Mimi nipo duniani kwa sababu mama na baba yangu walikutana kimwili kibaiolojia katika muda ambapo niliwezekana kuwa conceived.

Ukisema vingine, thibitisha.

Hujathibitisha Mungu yupo.
Unaweza kuthibitisha kuwa baba ako na mama ako kuwa ni kweli walikutana kimwili?
 
Hoja yako haina mantiki.

Inalazimisha kuwepo kwangu duniani uwe wa sababu unayoitaka wewe.

Mimi nipo duniani kwa sababu mama na baba yangu walikutana kimwili kibaiolojia katika muda ambapo niliwezekana kuwa conceived.

Ukisema vingine, thibitisha.

Hujathibitisha Mungu yupo.

Wala hujajibu swali la kwanza, nimeuliza hivi sababu ya wewe kuwepo hapa duniani na nikafafanua kwamba umefuata nini hapa duniani duniani??, rejea swali. Mimi nataka kukuthibitishia Mungu kwa njia nyingine kwani zile za awali hukuzitaka au hukuzielewa au umejipangia njia zako unazoziamini.

Kumbuka hata Mbuzi, Chura nk, nao wanakutana kibailojia na mimba zinatungwa na wanazaliana na sote tukifa miili yetu inaliwa na bacteria.

Kumbuka Ukishindwa kujibu hilo swali unakuwa huna tofauti na mbuzi au chura ambao hawana "conscious mind". Si unaona mbuzi leo kachinjwa mmoja na kesho mwingine lakini wapo tu kwa binadamu wala hawajitambui kwa sababu hicho ndicho kilichowaleta duniani nk.

Lazima tuwe tofauti na wao katika akili ya kujitambua.
 
Mie nishasema siwezi ila wewe unayesema siwezi kwa sababu hayupo umeshindwa hata kutoa mfano mmoja wa uthibitisho wa kitu unachokiamini. Hii inaonesha hata haujui uthibitisho wa jambo la imani unakuaje na ndiyo maana umeshindwa kufanya hivyo.

Kama unaweza jaribu tuone.
Naamini wewe huwezi kuthibitisha Mungu yupo.

Uthibitisho wa hii imani ni wewe kushindwa kuthibitisha hilo hapa.

Kama unabisha, thibitisha Mungu yupo.
 
Maji yakichanganywa na mkojo sitakunywa kwa sababu hayo maji yamechanganywa na mkojo.

Na mie naomba kukuuliza,maji ukichanganya na mikojo hayo maji hugeuka na kuwa mikojo?
Nani kasema maji hayo ni mkojo?

Unaelewa mantiki ya hoja yangu?

Nakwambia Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hawezi kukupa maji yaliyochanganyika na mkojo.

Aatakupa maji safi kabisa.

Hapa tunaona maji yamechanganyika na mkojo.

Kwa hiyo, Mungu hayupo.Si aliyetupa haya maji yaliyochanganyika na mkojo.

Angekuwepo, kusingewezekana kuwepo na mkojo at all na hivyo maji yaliyochanganyika na mkojo.

Hujaelewa argument, unauliza "kwani maji yaliyochanganyika na mkojo ni mkojo".

Wakati ushasema ukipewa maji yaliyochanganyika na mkojo huwzi kunywa.

Hujui kufikiri kimantiki.
 
Haujajibu kama unaweza au hauwezi maana hicho ndiyo nachotaka kujua.

Swali lako ni irrelevant.

Kwa sababu mjadala ni uthibitisho wa kuwepo Mungu.

Nikisema naweza ku prove habari za wazazi wangu, hilo halithibitishi uwepo wa Mungu.

Nikisema siwezi ku prove habari za wazazi wangu, hilo halithibitishi uwepo wa Mungu.

Swali lako tunaliita swali hanithi.

Halizai watoto.

Halina maana.

Unaliona lina maana kwa sababu ya ufinyu wa mawazo yako tu.

Jaribu kuuliza maswali yanayozaa maana badala ya kuuliza maswali hanithi.
 
Longo longo unaleta wewe kwa sababu wewe nilishakujibu kuwa siwezi kuthibisha,au sijasema hivyo?

Sasa mie na wewe unayenilazimisha nithibitishe wakati nilishakupa jibu kuwa siwezi,mie na wewe nani mwenye longo longo?
Huwezi kuthibitisha Mungu yupo.

Kwa sababu hayupo.

Kama unabisha, thibitisha Mungu yupo.
 
Wala hujajibu swali la kwanza, nimeuliza hivi sababu ya wewe kuwepo hapa duniani na nikafafanua kwamba umefuata nini hapa duniani duniani??,

Sijajibu swali au sijajibu swali kama unavyotaka wewe nijibu?

rejea swali. Mimi nataka kukuthibitishia Mungu kwa njia nyingine kwani zile za awali hukuzitaka au hukuzielewa au umejipangia njia zako unazoziamini.

Nirejee nini kwenye swali? Naona hutaki jibu kwa sababu limekuja tofauti na ulivyotaka wewe tu.

Kumbuka hata Mbuzi, Chura nk, nao wanakutana kibailojia na mimba zinatungwa na wanazaliana na sote tukifa miili yetu inaliwa na bacteria.

Mungu angekuwepo, kungekuwa hakuna viumbe wenye uwezo mdogo kifikra kama Mbuzi na Chura na viumbe wengine waliowazidi hao uwezo.

Kuwepo kwa madaraja haya ni kukosa usawa katika viumbe, ni kukosa haki, kunaonesha kutokuwepo kwa Mungu.

Kumbuka Ukishindwa kujibu hilo swali unakuwa huna tofauti na mbuzi au chura ambao hawana "conscious mind". Si unaona mbuzi leo kachinjwa mmoja na kesho mwingine lakini wapo tu kwa binadamu wala hawajitambui kwa sababu hicho ndicho kilichowaleta duniani nk.

Mtu kushindwa kujibu swali ni dalili ya kutokuwepo Mungu, Mungu angekuwepo, kila mtu angeweza kujibu kila sali analoweza kulifikiria.

Lazima tuwe tofauti na wao katika akili ya kujitambua.

Kwa sababu Mungu hayupo.Tofauti hii ni ukosefu wa haki, ndiyo maana wewe unaweza kumchinja mbuzi lakini mbuzi hawezi kukuchinja wewe.

Hilo linaonesha Mungu hayupo, angekuwepo, ulimwengu ungekuwa wa haki zaidi na wote tungekuwa na uwezo sawa.

Huwezi kuthibitisha Mungu yupo.

Kwa sababu hayupo.

Kama unabisha, thibitisha Mungu yupo.
 
Asha kum si matusi,

Hii mada imeleta muamko fulani, lakini katika muamko huo nazidi kuona wale waamini katika dini wasivyokuwa na ushahidi au hoja yakinifu hasa katika utetezi wa hoja kumi za mada, wengi wao wanaishia Amekusamehe, hujui ulitendalo, sijui soma vizuri maandiko nk nk. Huu uoga wa kiimani hautatufikisha popote.
 
Mtu anakwambia soma vizuri maandiko.

Unamkubalia maneno yake, unatafuta wataalam kabisa wa maandiko.

Unakutana na mtu kama James L Kugel, mtaalam wa masomo ya Biblia aliyefundisha mpaka Harvard.

Jamaa kaandika kitabu kabisa cha jinsi ya kusoma maandiko, kinaitwa "How To Read The Bible: A Guide To Scripture Then And Now".

Unamsoma, mtaalamu anakwambia Biblia imefutwafutwa na kubadilishwa badilishwa na watu mara nyingi tu, kwa sababu zao.
Ni kitabu cha historia na hadithi za Wayahudi tu.

Halafu unakuta huyo anayekwambia usome vizuri maandiko, hao wataalam hata hawajui.

James Kugel

howToReadTheBible.jpg

How to Read the Bible
A Guide to Scripture, Then and Now

READ AN EXCERPT

Scholars from different fields have joined forces to reexamine every aspect of the Hebrew Bible. Their research, carried out in universities and seminaries in Europe and America, has revolutionized our understanding of almost every chapter and verse. But have they killed the Bible in the process?

In How to Read the Bible, Harvard professor James Kugel leads the reader chapter by chapter through the “quiet revolution” of recent biblical scholarship, showing time and again how radically the interpretations of today’s researchers differ from what people have always thought. The story of Adam and Eve, it turns out, was not originally about the “Fall of Man,” but about the move from a primitive, hunter-gatherer society to a settled, agricultural one. As for the stories of Cain and Abel, Abraham and Sarah, and Jacob and Esau, these narratives were not, at their origin, about individual people at all but, rather, explanations of some feature of Israelite society as it existed centuries after these figures were said to have lived. Dinah was never raped — her story was created by an editor to solve a certain problem in Genesis. In the earliest version of the Exodus story, Moses probably did not divide the Red Sea in half; instead, the Egyptians perished in a storm at sea. Whatever the original Ten Commandments might have been, scholars are quite sure they were different from the ones we have today. What’s more, the people long supposed to have written various books of the Bible were not, in the current consensus, their real authors: David did not write the Psalms, Solomon did not write Proverbs or Ecclesiastes; indeed, there is scarcely a book in the Bible that is not the product of different, anonymous authors and editors working in different periods.

Such findings pose a serious problem for adherents of traditional, Bible-based faiths. Hiding from the discoveries of modern scholars seems dishonest, but accepting them means undermining much of the Bible’s reliability and authority as the word of God. What to do? In his search for a solution, Kugel leads the reader back to a group of ancient biblical interpreters who flourished at the end of the biblical period. Far from naïve, these interpreters consciously set out to depart from the original meaning of the Bible’s various stories, laws, and prophecies — and they, Kugel argues, hold the key to solving the dilemma of reading the Bible today.

How to Read the Bible is, quite simply, the best, most original book about the Bible in decades. It offers an unflinching, insider’s look at the work of today’s scholars, together with a sustained consideration of what the Bible was for most of its history — before the rise of modern scholarship. Readable, clear, often funny but deeply serious in its purpose, this is a book for Christians and Jews, believers and secularists alike. It offers nothing less than a whole new way of thinking about sacred Scripture.
 
Nani kasema maji hayo ni mkojo?

Unaelewa mantiki ya hoja yangu?

Nakwambia Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hawezi kukupa maji yaliyochanganyika na mkojo.

Aatakupa maji safi kabisa.

Hapa tunaona maji yamechanganyika na mkojo.

Kwa hiyo, Mungu hayupo.Si aliyetupa haya maji yaliyochanganyika na mkojo.

Angekuwepo, kusingewezekana kuwepo na mkojo at all na hivyo maji yaliyochanganyika na mkojo.

Hujaelewa argument, unauliza "kwani maji yaliyochanganyika na mkojo ni mkojo".

Wakati ushasema ukipewa maji yaliyochanganyika na mkojo huwzi kunywa.

Hujui kufikiri kimantiki.
Hakuna kitabu kilichoshushwa moja kwa moja kutoka kwa Mungu hadi kwa watu,yaliyomo kwenye hivyo vitabu yanaaminiwa kuwa ni maneno kutoka kwa Mungu na kuandikwa humo na si kwamba hivyo vitabu vimetoka kwa Mungu.

Na ndiyo maana kumekuwa na mijadala mingi tu kuhusu hivyo vitabu kwamba kuna maneno ya kweli ya Mungu na mengine yameongezwa tu watu,sasa je wewe nae utakubali kuwa hayo maelezo yenye ukweli kwenye hivyo vitabu ni kutoka kwa Mungu na hayo ya uongo ni ya watu tu wamezusha?
 
Hakuna kitabu kilichoshushwa moja kwa moja kutoka kwa Mungu.

Kwa sababu Mungu hayupo.

Kama yupo, thibitisha.
 
Hakuna kitabu kilichoshushwa moja kwa moja kutoka kwa Mungu.

Kwa sababu Mungu hayupo.

Kama yupo, thibitisha.
Nimeeleza kuwa kuna maneno ya Mungu kwenye hivyo vitabu.

Unakubali kuwa kuna maelezo ya kweli kwenye hivyo vitabu ni maneno ya Mungu?
 
Unasikitisha kwa kweli.
Unaona nasikitisha kwa sababu Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.

Angekuwepo, ulimwengu usingeweza kuwa na lolote la kusikitisha.

Kama unasema yupo, thibitisha.
 
Nimeeleza kuwa kuna maneno ya Mungu kwenye hivyo vitabu.

Unakubali kuwa kuna maelezo ya kweli kwenye hivyo vitabu ni maneno ya Mungu?

Sikubali.

Mungu angekuwepo usingeshindwa kuandika swali lililonyooka.

Unaweza kuthibitisha huyo Mungu yupo?
 
Back
Top Bottom