Makosa 10 aliyotenda Mungu

Makosa 10 aliyotenda Mungu

Nishakujibu kuwa siamini Mungu kwa sababu nina uthibitisho,

Wapi nimekwambia unaamini kwa sababu una uthibitisho?

na uliniuliza kama siwezi kuthibitisha nikakujibu wazi tu kuwa ndio siwezi ila ajabu bado unaendelea kuuliza swali hilo hilo!!! Na ndiyo maana nikakuomba uthibitishe wewe jambo unaloamini lolote lile.

Na kama kwako imani sio jambo la msingi basi usingekuwa unakazania uthibitishiwe jambo lisilo na msingi. Suala la Mungu ni imani(jambo lisilo la msingi) ila ajabu umekazania kutaka kujua uthibitishiwe hilo jambo!

Huwezi kuthibitisha Mungu hayupo.

Kwa sababu Mungu hayupo.

Kama unabisha, unasema Mungu yupo, thibitisha Mungu yupo.
 
Mbona nimeshataja hapo juu habari za Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote kuwa na wivu kama mke wa Kindengereko aliyeambiwa analetewa mke wa pili?

Unajua kusoma?

Mbona nimetaja Mungu huyo kuleta gharika inayoua wenye hatia na wasio hatia?

Unajua kusoma?

Mbona nimetaka Mungu huyo kuwa na upendeleo mpaka kuchagua watu fulani wawe taifa lake teule?

Unajua kusoma?

Au unawaywaya tu?
Katika hivyo vitabu kuna historia,tabiri,sayansi,mafunzo mema na mengineyo. Sasa ajabu sana unatoa dai la kiujumla tu kuwa hivyo vitabu ni uzushi.

Ndiyo maana nakuuliza ni maelezo yote yaliyo kwenye hivyo vitabu ni uzushi?
 
Tuhuma za uzushi ni kwa ajili ya kukosa logical consistency.

Naweza kuandikakitabu chenye historia ndefu ya mapambano ya kutafuta Uhuru Tanzania, kikaw ana historia ya kweli nyingi kuhusu TAA, TANU etc halafu kikawa na uzushi kibao pia.

Kitabu kikaitwa cha uzushi.

Hata kama uzushi umo na ukweli umo.

Maji ya kunywa yakiingia mkojo, ukapewa unywe, kwa kuwa haya ni maji unaambiwa,utakunywa?
 
Wapi nimekwambia unaamini kwa sababu una uthibitisho?

Huwezi kuthibitisha Mungu hayupo.

Kwa sababu Mungu hayupo.

Kama unabisha, unasema Mungu yupo, thibitisha Mungu yupo.
Umeshindwa kuthibitisha jambo lolote unaloamini kama mfano kuonesha kuwa inawezekana ukakithibitisha kitu unachokiamini.

Mie nishajibu na nitaendelea kujibu kuwa sijaamini Mungu kwa sababu ya uthibitisho,ingekuwa nimeamini kwa sababu ya uthibitisho basi ningekupa huo uthibitisho.
 
Tuhuma za uzushi ni kwa ajili ya kukosa logical consistency.

Naweza kuandikakitabu chenye historia ndefu ya mapambano ya kutafuta Uhuru Tanzania, kikaw ana historia ya kweli nyingi kuhusu TAA, TANU etc halafu kikawa na uzushi kibao pia.

Kitabu kikaitwa cha uzushi.

Hata kama uzushi umo na ukweli umo.

Maji ya kunywa yakiingia mkojo, ukapewa unywe, kwa kuwa haya ni maji unaambiwa,utakunywa?
Maelezo yote yaliyo kwenye hivyo vitabu ni uzushi? Maana haujaonesha kuwa kuna yaliyo ya kweli kwenye hivyo vitabu,unaruka ruka tu.
 
Umeshindwa kuthibitisha jambo lolote unaloamini kama mfano kuonesha kuwa inawezekana ukakithibitisha kitu unachokiamini.

Mie nishajibu na nitaendelea kujibu kuwa sijaamini Mungu kwa sababu ya uthibitisho,ingekuwa nimeamini kwa sababu ya uthibitisho basi ningekupa huo uthibitisho.
Nikishindwa kuthibitisha lolote ninaloamini, hilo halithibitishi Mungu yupo.

Hujathibitisha Mungu yupo.

Huwezi kuthibitisha Mungu yupo.

Kwa sababu hayupo.
 
Maelezo yote yaliyo kwenye hivyo vitabu ni uzushi? Maana haujaonesha kuwa kuna yaliyo ya kweli kwenye hivyo vitabu,unaruka ruka tu.
Nikikupiga risasi kichwani nikakuua sijakupiga risasi mpaka nikupige risasi mwili mzima?

Unaponiuliza kama maelezo yote ni uzushi, ni sawa na mtu anayepinga kwamba mtu aliyeuawa kwa kupigwa risasi kichwani, hajapigwa risasi, kwa sababu kuna sehemu kubwa sana ya mwili haijapigwa risasi.

Nimekuuliza, maji yakichanganywa na mkojo, ukapewa,ukaambiw aunywe, haya maji, utakubali kunywa kwa sababu hayo ni maji?

Hujajibu.

Kwa nini?

Unaogopa nini kujibu swali hili?
 
Kama akisemaimani yake ni kitu kilicho kweli nje ya imani tu, anajiweka kwenye vipimo vya uthibitisho kama anasema ukweli.

Kwa sababu, si kila imani imo katika ukweli.

Ingekuwa kila imani ni ukweli, basi masikini wote wanaotakautajiri wangekuwa matajiri kwa kuamini tu kwamba wao ni matajiri.
Imani ni ukweli wa visivyo dhihirika

Na ndio maana katika kutafasiri ni lazima utumie neno Hakika bi maana ya kulejea maana kamili ya neno Imani

Hiyo mifano unayotoa ni ya matumizi mabaya ya neno imani ilifaa utumie neno dhana

Kuna tofauti kubwa kati ya neno imani na dhana japo vinalandana

Imani ni maono iliyopatiwa uthibitisho kwenye ufahamu

Yakiwa maono tupu bila uthibitisho inakuwa ni dhana tu

Na kukosekana kwa ukweli wa moja ni kule kuvuliwa kwa uhusika wa muhusika kuhusika na jambo/tukio

Tatizo lugha ya kimatumbi nayo ngumu kuainisha vitu
 
Imani ni ukweli wa visivyo dhihirika?

Mtu kapuku wa Manzese akiamini yeye ni bilionea Bill Gates, ana mabilioni ya dola benki ya Uswizi, hapo hapo anakuwa kweli bilionea Bill Gates mwenye mabilioni ya dola benki ya Uswizi?
 
Nikisema siwezi hilo linathibitisha Mungu yupo?

Kama huwezi kuthibitisha sababu ya wewe kuwepo hapa dunia huna tofauti na mbuzi au mnyama yoyote ambaye yeye huwa anaongozwa na silka (instincts) tofauti na mtu ambaye anaongozwa na "rationality", sasa kitu cha kwanza unachotakiwa kujua ni sababu gani iliyofanya hadi ukaja hapa duniani!!, yaani upo hapa duniani kufanya nini na kwa sababu gani??.(samahani kwa kuweka huo mfanano).

👆🏻Hayo ndiyo maswali mepesi ya msingi sana kwa mtu anayetafakari kwa kina kuhusu maaisha na baada ya hapo anaweza kuendelea kuuliza maswali mengine zaidi.

Tukumbuke wanyama kamwe hawawezi kujiuliza maswali kama hayo ila mtu mwenye akili tu anaweza kujiuliza.
 
Hujathibitisha kwamba Mungu yupo lakini.

Thibitisha Mungu yupo.
 
Na wewe hujathibitisha sababu ya wewe kuwepo hapa duniani kama jinsi Mbuzi anavyoshindwa kuthibitisha hiyo sababu !!😁😁
 
Imani ni ukweli wa visivyo dhihirika?

Mtu kapuku wa Manzese akiamini yeye ni bilionea Bill Gates, ana mabilioni ya dola benki ya Uswizi, hapo hapo anakuwa kweli bilionea Bill Gates mwenye mabilioni ya dola benki ya Uswizi?
Hayo sasa nayo ndio matumizi mabaya ya neno imani

Ilipaswa iwe 'Akidhania kuwa yeye ni tajiri na bilionea

Kwa maana dhana haina uhakika

Na kikubwa neno imani asili yake ni kwa matumizi ya mambo ya kiroho

Kulitumia kwa matumizi ya kimwili ni kulikosesha Heshima na taadhima yake kimatumizi
 
Na wewe hujathibitisha sababu ya wewe kuwepo hapa duniani kama jinsi Mbuzi anavyoshindwa kuthibitisha hiyo sababu !!😁😁
Mimi sikuwahi kusema naweza kuthibitisha.

Wewe unasema Mungu yupo, halafu huwezi kuthibitisha kwamba yupo.

Hujathibitisha kwamba Mungu yupo .

Thibitisha Mungu yupo.
 
Back
Top Bottom