Makosa 10 aliyotenda Mungu

Makosa 10 aliyotenda Mungu

Kama Mungu siyo dikteta na anatupa uwezo wa kuchagua, basi angetupa uhuru wa kuchagua tuzaliwe au tusizaliwe, kama tuzaliwe je na wazazi wapi? nchi ipi? na wakati gani.

Pia angetupa uhuru wa kuchagua kutembea au kupaa.
Kama wewe sio dikteta,ulikubali vipi kuzaliwa,wakati wajuwa unazaliwa.
 
Nimekuchallenge kwa kukwambia uweke ushahidi wa kuwa mimi nilikuwa mkristo kama ulivyosema lakini ukashindwa.

Kazi ya kuprove uwepo wa Mungu ni ya Theists maana Atheist hahitaji kutoa negative proof.....Hivi nikikwambia kuwa kuna Chemical element inaitwa Tanzanium halafu ukadai ushahidi, je ni mimi niliyesema kuna hiyo element ninayetakiwa kutoa ushahidi wa uwepo wake au ni wewe uliyedai ushahidi?

Hivi ni lazima kila mtu awe muumini au apitie hatua ya kuwa muumini?........Ni sawa sawa na mimi nikwambie watoto wanazaliwa uchi bila nguo then wanavalishwa nguo halafu wewe ubishe kwa kusema kabla wao hawajavalishwa nguo walikuwa wanavaa nini?
Una uhakika kuwa nimeshindwa kutoa ushahidi wa kuwa wewe ulikuwa mkristo?

Wewe ndiye uliyesema kuwa kuongea kitu bila evidence ni ujuha na ndiyo nikakukumbusha wewe unayeongea kuwa hakuna mungu lakini pia huna evidence hivyo ni ujuha. Halafu kuna tofauti ya kukataa uthibitisho na kutokuwa na uthibitisho,hapa uthibitisho wa uwepo wa mungu ushatolewa sana ila hamjaukubali hivyo huwezi kusema hakuna ushahidi, hivyo ndiyo maana watu wakataka ushahidi kutoka kwenu mliyoleta hayo madai ya hakuna mungu maana wapo pia ambao hawaamini mungu wala hawakatai kuwa mungu yupo.

Halafu bado unatokwa mapovu tu we si useme kuwa ulikuwa una amini kipi au hukuwa ukiamini chochote kabla ya kuwa atheist, acha kuzungusha maneno.
 
Ama kweli bangi ni hatari katika afiya ya akili Mungu kinusuru hiki kizazi
 
Kama wewe sio dikteta,ulikubali vipi kuzaliwa,wakati wajuwa unazaliwa.
You are trying to mirror my logic but unfortunately you don't know what you're doing.
Watu kama nyie huwa mara nyingi sihangaiki kuwajibu maana akili za kikasuku hazina tija yoyote.
 
Una uhakika kuwa nimeshindwa kutoa ushahidi wa kuwa wewe ulikuwa mkristo?

Wewe ndiye uliyesema kuwa kuongea kitu bila evidence ni ujuha na ndiyo nikakukumbusha wewe unayeongea kuwa hakuna mungu lakini pia huna evidence hivyo ni ujuha. Halafu kuna tofauti ya kukataa uthibitisho na kutokuwa na uthibitisho,hapa uthibitisho wa uwepo wa mungu ushatolewa sana ila hamjaukubali hivyo huwezi kusema hakuna ushahidi, hivyo ndiyo maana watu wakataka ushahidi kutoka kwenu mliyoleta hayo madai ya hakuna mungu maana wapo pia ambao hawaamini mungu wala hawakatai kuwa mungu yupo.

Halafu bado unatokwa mapovu tu we si useme kuwa ulikuwa una amini kipi au hukuwa ukiamini chochote kabla ya kuwa atheist, acha kuzungusha maneno.
Kulumbana na matahira ni kupoteza muda.....People like you who have been confined in the confusion of their own stupidity are worthless to urge with.
Wewe starehe yako ni kukotiwa tu na hilo wengi wanalijua. Hujawahi kuwa na hoja zenye mashiko hata siku moja.
Najua utafanya kila mbinu ili niendelee kukukoti lakini kwanzia sasa nitakupotezea moja kwa moja.
 
You are trying to mirror my logic but unfortunately you don't know what you're doing.
Watu kama nyie huwa mara nyingi sihangaiki kuwajibu maana akili za kikasuku hazina tija yoyote.
Huko kusema hujibu,na wakati ndio kujibu kwenyewe,ndio udikteta wenyewe.
 
Hivi bila sayansi maisha yangekuwepo kweli?
Hakuna ubishi kuwa hata kama Mungu angekuwepo, sayansi ingekuwa bora kuliko Mungu maana sayansi ina msaada mkubwa kwa watu kuliko Mungu.
He he..yale yale niliyosema,sasa hapo aliyechukulia sayansi kama dini ni nani? tatizo lenu mnafikiri watu tunapinga sayansi sijui mawazo hayo mmeyatoa wapi.

Suala la kudai hakuna mungu halihusiani na sayansi hebu acheni kujificha kwenye sayansi.
 
Kulumbana na matahira ni kupoteza muda.....People like you who have been confined in the confusion of their own stupidity are worthless to urge with.
Wewe starehe yako ni kukotiwa tu na hilo wengi wanalijua. Hujawahi kuwa na hoja zenye mashiko hata siku moja.
Najua utafanya kila mbinu ili niendelee kukukoti lakini kwanzia sasa nitakupotezea moja kwa moja.
Wewe ndiyo unakimbia hoja kwa sababu za kitoto,et watu wengi wanajua mi naona starehe kukotiwa na wewe! kweli wewe una stress,hivi wewe ni nani humu JF au una nini hadi mie nione starehe kukotiwa na wewe? halafu nilishakwambia kuwa ningekuwa naona starehe kukotiwa na wewe basi ningefanya hivyo hata kwenye mada zengine ila mbona sifanyi hivyo?
 
Kama huijui biblia kaa kimya siyo lazima uandike uzi. Alokwambia hakumpa Abraham ahadi yake nani. Soma vitabu na uelewe
 
Sijamdhihaki nimesema kweli. Kwani kuna uongo hapo??
Kama lengo lako ni kutafuta Kiki basi imekula kwako. Kinyume cha hapo utubu kwa maana hicho ulicho kipost ni dhahiri umemkufuru Muumba wako!! Au labda km tayari umesha jiunga na kile chama hvyo unataka kuwaonyesha kuwa umeiva kiasi gani kwa kuwa mpinzani wa Mungu?? Huo sio ujanja.

Je umesahau amekuumba kwa kitu gani hata leo ukawa mkosoaji na mshindani wake?
Quran 16:4
"AMEMUUMBA MWANADAM
KWA TONE LA MANII. TAHAMAKI AMEKUWA MSHINDANI DHAHIRI (WA KUMKATAA MWENYEZI MUNGU)".

Bila shaka unafanya haya kwa kuwa huna ilmu nayo hvyo unataka upate wachache wa kuwapoteza. Imani yako iko wapi ndugu??

Qur 6:120
".....NA HAKIKA WENGI HUWAPOTEZA (WENGINE) KWA MATAMANIO YAO BILA YA KUWA NA ILIMU. BILA SHAKA MOLA WAKO ANAWAJUA VYEMA WALE WARUKAO MIPAKA".

Na hiki ulicho kifanya uliongozwa na SHETANI kwa malengo yako ya kuwashuhudia watu wakibishana kati ya wanao kuunga mkono na wanao kupinga. Allah anasema katika

Quran 6:121
".... NA KWAYAKINI SHETANI WANAWAFUNULIA MARAFIKI ZAO KUBISHANA NANYI (KATIKA MAMBO NAMNA HAYA, YASIYOKUWA NA MAANA). NA KAMA MKIWATII MTAKUWA WASHIRIKINA".

Kwa hiyo kila atakaye isoma hiyo posti yako kisha aka base kwenye upande wako wa kumkosoa Mungu na kumuona ana mapungufu basi naye atakuwa amejiingiza kwenye dhambi ya shirk chanzo ni wewe.

Mwisho nikukumbushe tu, hiki ulicho kifanya ni kitendo cha kumkufuru Mungu, hvyo tubu kwa Mola kabla haijafika siku yako ya kutolewa roho

ANAYE KUFURU

QUR 30:44 "Anaye kufuru, (madhara) ya kufuru yake ni Juu yake (mwenyewe). Na wafanyao mema, (hao) wanazitengeneza nafsi zao".

Ndugu yangu, wewe siyo wa kwanza kumkufuru Mungu, siku moja ukipata nafasi fanya safari ya kutembelea huko MISRI ukamuone FIRAUN ambaye alikuwa ni bingwa wa kumkufuru Mungu. Lakini Allah alimuahidi kuwa atautunza mwili wake ili uwe funzo kwa vizazi vijavyo. Kisa cha firaun ni ishara tosha kuwa Allah yupo, na muweza wa yote.

Quran 10:92 Allah akasema
"LEO BASI TUTAKUOKOA KWA MWILI WAKO ILI UWE ISHARA KWA AJILI YA WALIO NYUMA YAKO. NA HAKIKA WATU WENGI WAMEGHAFIRIKA NA ISHARA ZETU".

sasa ili uweze kumshuhudia firaun na ishara nyinginezo za Allah basi hunabud kusafiri Kama quran 30:42 inavyo tueleza.

"SEMA: SAFIRINI KATIKA ARDHI NA TAZAMENI JINSI ULIVYOKUWA MWISHO WA WALE WALIO TANGULIA. WENGI WAO WALIKUWA NI WENYE KUSHIRIKISHA.

nenda Misri ukauone mwili wa firaun/farao mpaka leo bado upo. Ni maoni yangu tu!!
 
Hivi bila sayansi maisha yangekuwepo kweli?
Hakuna ubishi kuwa hata kama Mungu angekuwepo, sayansi ingekuwa bora kuliko Mungu maana sayansi ina msaada mkubwa kwa watu kuliko Mungu.
Kwa hiyo kwa uelewa wako wewe ni kwamba ili uamini Kama Mungu yupo basi ni mpaka ajitokeze kila mtu amuone!! Umefeli. Ili upate majibu Kama Mungu yupo au hayupo, basi unapaswa uanze

kujiuliza wewe mwenyewe Kama una akili au Hauna?? Ukijibu kuwa unazo, basi itakupasa nawe ututhibitishie je, unazo akili ngapi?

Ni doctor yupi aliye kufanyia op ya kichwa Akathibitisha kuwa unazo??

Je! Unaweza kutuonyesha akili zako ili nasi tuamini Kama kweli unazo??

Ina Maana ukitujibu kuwa huna akili basi nasi hatuta kushangaa kwanini hauamini uwepo wa Mungu

Pia Kama utatujibu kuwa unazo akili bado tutaendelea kukushangaa kwa kule kuaminikwako kuwa unazo akili hali ya kuwa hukuwahi kuziona na ukashindwa kuamini uwepo wa Mungu Eti kisa haonekani??

Pia unapouliza kuwa Eti bila sayansi maisha yasingewezekana!! Unazidi kututatanisha kuhusu akili zako!! Kwa maana Mungu huyo ambaye wewe humuamini ndiye aliyeileta hiyo sayansi ulimwenguni, sasa wewe unaimini sayansi hali Yule aliyeileta hiyo sayansi hutaki kumuamini!!!!

Nitakuonyesha kwa uchache kuwa Allah ndiye aliyeanzisha hiyo sayansi

1) KUKUTANA KWA BAHARI MBILI (YA MAJI CHUMVI NA MAJI MATAM) QUR 55:19-20

19) "Anaziendesha bahari mbili zikutane.
20) baina yao kipo kizuizi zisiingiliane

2) MELI KUPITA BAHARINI NI KWA UWEZO WA ALLAH
Quran 22:65
"Je, huoni kwamba Mwenyezi Mungu amevizalilisha kwenu vilivyomo katika ardhi na merikebu zipitazo baharini kwa amri yake, na amezishika mbingu zisianguke Juu ya ardhi ila kwa idhini yake..... "

3) KUUMBA VIPANDO (VYOMBO VYA USAFIRI) NA ALIAHIDI KULETA VINGI ZAIDI YA VILE VILIVYOKUWA VINAFAHAMIKA KWA KIPINDI KILE, AMBAPO LEO TUNAONA KUNA NDEGE, MAGARI, TRENI N.K

QUR 16:8" Na farasi na nyumbu na punda ili muwapande na kuwa ni pambo. Na ataumba msivyovijua"

4) MWEZI NA JUA KWENDA KWA MPANGILIO WA HESABU MAALUM QUR 36:38-39

Kwa kifupi sayansi yote chanzo chake ni Mwenyezi Mungu. Anza leo kuisoma quran na tafsir yake utapata kufahamu mengi na hatimaye Allah akipenda atakuonyesha njia iliyo sahihi

Good night
 
Sijasoma na sitasoma kilichoandikwa juu hawa ni wapinga Mungu ila wanaongeaga yooote na kusahau Mungu ndiye mkuu ndiyo maana MTU haishi milele ikifika muda MTU atakufa tu si mwanasayansi si wewe uliyeandika kama nadanganya nitajie MTU aliyeishi milele ....makosa ya Mungu yatakuletea wewe dharau kwa Mungu usijiha gaishe kufikiri Mimi hutafakar kuhusu hewa,jua,usiku,mchana,maji na mvua na hapo ndipo nauona ukuu wake sio kwa dhambi tunazotenda na bado anaachilia vitu hivyo bure kabisa Mungu ni Mungu tu ..acha waseme nimelishwa elimu ya dini lkn kamwe sitaacha kumuamini hasa a aliponiokoa na ajali ambayo kila Mtu akisikia
 
WEWE WIRELESS BRAIN MIMI SIKUFUNDISHI ILA NIKWAMBIE TU HUJUI KUTAFSIRI MAANDIKO MAANA HUNA ROHO MTAKATIFU NA HUYO ANAEKUFIKIRISHA NI ROHO MTAKAFUJO a.k.a SHETANI,EBU FIKIRI KIDOGO TU NI KWA NIA GANI HASA UNAOA MKE NA HUKU UKIJUA ATAPATA MIMBA NA ATAZALIWA MTOTO AMBAYE ATAKUTANA NA SHIDA NYINGI NA MATESO MENGI HADI KIFO CHA HASARA MAANA ATAACHA MALI ZAKE ZOTE ALIZOCHUMA KWA TAABU NYINGI?SWALI KWAKO ;NI KWA NINI SASA UNAZAA HALI YA KUWA UNAJUA KUNA MATESO UNAMTENGENEZEA HUYO MTOTO WAKO?JE,NI KWELI UNAPOMWAMBIA NAKUPENDA MWANANGU IKIWA KWAMBA UMEMLETA MWANAO KWENYE DUNIA YA MATESO?FIKIRI UPYA KUHUSU MUNGU UTAANGAMIA !!!
 
ndo maana akaitwa Mungu hana akili kama za binadamu na hafikirii kama unavyotafakari binadamu
 
Back
Top Bottom