Makosa 10 aliyotenda Mungu

1.KUMUUMBA SHETANI:
Hili lilikuwa kosa kubwa sana. Makosa yate yamechepuka kutoka hapa. Shetani anawasababishia watu maovu, then Mungu anawahukumu watu dhaifu. Hapa Mungu inambidi amkamate shetani na kumtokomeza ili maovu yaishe, kama wote wanatoshana nguvu basi wasuluhishe ugomvi wao na kupatana ili maisha yawe ya amani.

2.KUISHI MAFICHONI:
Toka enzi na enzi, Mungu amekuwa akiishi mafichoni, kwanini asijitokeze na kujionesha kwa viumbe vyake? Anaishi mafichoni kwani yeye ni Joseph Kony? Hili limepelekea watu wake kudanganywa na manabii wa uongo na kutapeliwa bure. God come from your hidings and reveal yourself to your people.

3.MAFURIKO YA WAKATI WA NUHU:
Mungu alisababisha mafuriko ili kuangamiza watu waovu na kubakiza watu wema, Yes he did, sasa waovu wa leo wametoka wapi? mbona aliuwa watu wengi bila huruma? Kama mafuriko yalikuwa ni suluhisho la maovu, Yesu na mitume walijia nini? It seems he fought effects instead of causes.

4.SAFARI YA WANA WA ISRAELI:
Mungu aliwatoa wana wa Israel kutoka Misri kwa madai ya kuwapa nchi ya ahadi, matokeo yake aliwaamuru wafanye uvamizi wa nchi za watu(mf. waamori, wamoabu na wakanani). Kwanini asingebadilisha jangwa na kuwatengenezea waisraeli nchi yao? mbona Gadaffi aliweza? Imagine waje wapuuzi hapa TZ wachukue nyumba na ardhi kwa madai kwamba wameagizwa na Mungu, ungereact vipi? WE HAVE TO BE FAIR!

5.KUTOTIMIZA AHADI YAKE KWA ABRAHAM:
Mungu alimwambia Abraham kuwa atampatia uzao wa wana wengi kama nyota za angani au mchanga wa pwani. Sasa hivi ukichanganya walio wa Abrahamu na wasiyo wa kwake bado watu hawawezi kuwa sawa na nyota au mchanga wa pwani. Ata ukijumlisha na waliokufa back to Adam. Atatimiza lini hi ahadi? je kuna muda wa kutosha? mbona watumishi wake wanasema Yesu yuu karibu kuja ili kutamatisha nyakati?

6.KUWEPO KWA MZIO(ALLERGY):
Kwanini watu wengi ambao ni wema wana allergy na vitu alivyoumba Mungu? mbona maandiko yanasema kila alichoumba Mungu ni chema? Kwanini aumbe mimea na wanyama wenye sumu kwa watu wake awapendao? au hakujua?

7.MAJANGA ASILIA:
Kama Mungu aliumba dunia ili iwe sehemu ya amani kwa watu wake na wamwabudu yeye, kwanini kuna matetemeko ya nchi, vimbunga na mafuriko. Kwanini anawauwa watu kikatili hivi? au haya nayo tumsingizie shetani?

8.KUUMBA VIUMBE HATARISHI:
Kwanini Mungu aumbe bacteria, virusi, fangasi na viumbe wengine wanaosababisha magonjwa na kifo? Kwanini hawa viumbe wasingefia kwenye yale mafuriko ya Nuhu ili watu wema alio wabakiza waishi kwa amani? Je hawa viumbe hatari Mungu alimwamuru Nuhu awaingize wawili wawili kwenye safina?

9.JEHANAMU NA MOTO WAKE:
Kwanini Mungu aumbe jehanamu kuteketeza waovu? Kwani hajui kusamehe? Kwanini huruma yake ina kikomo kwa shetani? Kama wewe ni mzazi, mwanao akikukosea na hajaomba msamaha, itabadilisha uhalisia kuwa yule sii mwanao? SHETANI PAMOJA NA WAOVU NI KAZI YA MIKONO YAKE, PRODUCTS OF HIS OWN MIND BEFORE CREATED THEM. So aache kuweka vinyongo na kutamani kulipiza kisasi juu ya kazi yake.

10.KASORO KWENYE MWILI WA BINADAMU:
Kwanini pawepo na mabadiliko hasi kwenye jeni za binadamu(mutation)? kwani hakujua hicho ni chanzo cha viwete??? Kidole tumbo(appendix) ni cha kazi gani? mbona hajatoa maelezo namna ya kukitumia? Na chuchu za mwanaume ni za kazi gani?

TO THE RIGHT WING OR THE LEFT WING WE ARE NEITHER, NOT EVEN AT THE MIDDLE....R.I.P MOBUTU!

===================
UTAKUFAGA KWA TABU SANA.
 
'Utakufaga' ndio kitu gani? wewe utakufa kwa starehe?

Mbona wafia dini hofu yenu ipo centered kwenye kifo?
anyway ...huwa sio muongeaji wala mwenye kutaka mabishano yakijinga.....

Chakipekee nikwamba "" Kila goti litapigwa mbele zake basi,,, wewe ruka uwezavyo, kimbia ,,paaa....Fanya utakalo ,,,Ila Mungu akisema amesema sio kigeu geu ....nalazima utapiga goti mbele zake tuu Noway out ,,sanasana unaweza kujifariji tu for dis time" hahahahah
 
1.KUMUUMBA SHETANI:
Hili lilikuwa kosa kubwa sana. Makosa yate yamechepuka kutoka hapa. Shetani anawasababishia watu maovu, then Mungu anawahukumu watu dhaifu. Hapa Mungu inambidi amkamate shetani na kumtokomeza ili maovu yaishe, kama wote wanatoshana nguvu basi wasuluhishe ugomvi wao na kupatana ili maisha yawe ya amani.

2.KUISHI MAFICHONI:
Toka enzi na enzi, Mungu amekuwa akiishi mafichoni, kwanini asijitokeze na kujionesha kwa viumbe vyake? Anaishi mafichoni kwani yeye ni Joseph Kony? Hili limepelekea watu wake kudanganywa na manabii wa uongo na kutapeliwa bure. God come from your hidings and reveal yourself to your people.

3.MAFURIKO YA WAKATI WA NUHU:
Mungu alisababisha mafuriko ili kuangamiza watu waovu na kubakiza watu wema, Yes he did, sasa waovu wa leo wametoka wapi? mbona aliuwa watu wengi bila huruma? Kama mafuriko yalikuwa ni suluhisho la maovu, Yesu na mitume walijia nini? It seems he fought effects instead of causes.

4.SAFARI YA WANA WA ISRAELI:
Mungu aliwatoa wana wa Israel kutoka Misri kwa madai ya kuwapa nchi ya ahadi, matokeo yake aliwaamuru wafanye uvamizi wa nchi za watu(mf. waamori, wamoabu na wakanani). Kwanini asingebadilisha jangwa na kuwatengenezea waisraeli nchi yao? mbona Gadaffi aliweza? Imagine waje wapuuzi hapa TZ wachukue nyumba na ardhi kwa madai kwamba wameagizwa na Mungu, ungereact vipi? WE HAVE TO BE FAIR!

5.KUTOTIMIZA AHADI YAKE KWA ABRAHAM:
Mungu alimwambia Abraham kuwa atampatia uzao wa wana wengi kama nyota za angani au mchanga wa pwani. Sasa hivi ukichanganya walio wa Abrahamu na wasiyo wa kwake bado watu hawawezi kuwa sawa na nyota au mchanga wa pwani. Ata ukijumlisha na waliokufa back to Adam. Atatimiza lini hi ahadi? je kuna muda wa kutosha? mbona watumishi wake wanasema Yesu yuu karibu kuja ili kutamatisha nyakati?

6.KUWEPO KWA MZIO(ALLERGY):
Kwanini watu wengi ambao ni wema wana allergy na vitu alivyoumba Mungu? mbona maandiko yanasema kila alichoumba Mungu ni chema? Kwanini aumbe mimea na wanyama wenye sumu kwa watu wake awapendao? au hakujua?

7.MAJANGA ASILIA:
Kama Mungu aliumba dunia ili iwe sehemu ya amani kwa watu wake na wamwabudu yeye, kwanini kuna matetemeko ya nchi, vimbunga na mafuriko. Kwanini anawauwa watu kikatili hivi? au haya nayo tumsingizie shetani?

8.KUUMBA VIUMBE HATARISHI:
Kwanini Mungu aumbe bacteria, virusi, fangasi na viumbe wengine wanaosababisha magonjwa na kifo? Kwanini hawa viumbe wasingefia kwenye yale mafuriko ya Nuhu ili watu wema alio wabakiza waishi kwa amani? Je hawa viumbe hatari Mungu alimwamuru Nuhu awaingize wawili wawili kwenye safina?

9.JEHANAMU NA MOTO WAKE:
Kwanini Mungu aumbe jehanamu kuteketeza waovu? Kwani hajui kusamehe? Kwanini huruma yake ina kikomo kwa shetani? Kama wewe ni mzazi, mwanao akikukosea na hajaomba msamaha, itabadilisha uhalisia kuwa yule sii mwanao? SHETANI PAMOJA NA WAOVU NI KAZI YA MIKONO YAKE, PRODUCTS OF HIS OWN MIND BEFORE CREATED THEM. So aache kuweka vinyongo na kutamani kulipiza kisasi juu ya kazi yake.

10.KASORO KWENYE MWILI WA BINADAMU:
Kwanini pawepo na mabadiliko hasi kwenye jeni za binadamu(mutation)? kwani hakujua hicho ni chanzo cha viwete??? Kidole tumbo(appendix) ni cha kazi gani? mbona hajatoa maelezo namna ya kukitumia? Na chuchu za mwanaume ni za kazi gani?

TO THE RIGHT WING OR THE LEFT WING WE ARE NEITHER, NOT EVEN AT THE MIDDLE....R.I.P MOBUTU!

===================
Hatutajua Mambo mengi kama hatutahoji na kudadisi,Na hakika kama si mtu wa kuhoji na kudadisi utabaki kuwa na Maarifa finyu.

Shukran kwa kuleta uzi,Nadhani Believers waliowengi haswa wa bara la Afrika huwa ni Waoga wa kuuliza maswali kwa wanaowafunza,wanaothubutu kuuliza wanaambiwa wanakufuru.

Hapa wengi wanachokifanya ni "Argumentum da Hominem"-yaani Argument against the Man.Binafs nishakutana na wengi Ana kwa Ana "face to face" lakini wengi wao ni kutoa kauli za vitisho na Matusi wachache sana wanaweza kudebate kwa utulivu,na hii ni kwa sababu 99% bara la afrika wengi wao wamerithi kutoka kwa wazazi wao kama mzazi alikuwa Mkristo naye anajikuta Mkristo vivyo hivyo kwa Uislam.

Mimi nasubiri Swali namba moja lipate jibu.
 
Mkuu siongezi chochote kwenye maneno yako.

Yapo sawa kabisa, niseme tu ukweli kuwa hapa JF ni waumini wa dini wasiozidi kumi niliokutana nao wanaoweza ku argue logically na kwa kutumia open mind.
Wengi wao nawachukulia kama 'thought transporter'. Wao hawazalishi fikra zinazohitajika kwenye mjadala bali wana express fikra za viongozi wao wa dini na matokeo yake ni kwamba karibia wote wanasema kitu kimoja ambacho kwa kiasi kikubwa hakiendani na uhalisia.

Najitahidi kukabiliana nao kwa kiasi ila wapo wenye uelewa mdogo wa kukera zaidi ambao inanilazimu kuwapotezea ili kujiepusha na migogoro isiyo na maana.
Tangu nibandike huu uzi hakuna aliyetoa hoja za kuridhisha zaidi ya uoga, hukumu na vitisho.
 
Sawa-sawa Mkuu,
Naona Ushawatambua vyema ni hii kwa kiasi kikubwa inatafsri Jamii yetu Njisi ilivyo na kuhakikishia Mtaani ni hivyo hivyo nimekumbana nao.
Atheists walio wengi huwa wanaulelewa wa Mambo mengi sana-sana katika ulimwengu huu na hii ni kutokana na hulka ya kudadisi na kuhoji Mambo mbalimbali,Na Jamii isiyopenda kuhoji na kudadisi hii Jamii imekwisha kufa.
Believers wamezungukwa na kitu kinachoitwa "Fear"

Kuna bwana mmoja hapa alikuwa anaitwa Bluray Jamii Forum 2009 hata Sijui yuko wapi, aisee huyu Jamaa alikuwa moto wa kuotea mbali alikuwa anafahamu Mambo mengi aliwachachana vibaya mno watu wa zabibu iliyochacha(Theists).

--------Heshima kwako Mkuu Chamilton--------------
 
Hatutajua Mambo mengi kama hatutahoji na kudadisi,Na hakika kama si mtu wa kuhoji na kudadisi utabaki kuwa na Maarifa finyu.

Shukran kwa kuleta uzi,Nadhani Believers waliowengi haswa wa bara la Afrika huwa ni Waoga wa kuuliza maswali kwa wanaowafunza,wanaothubutu kuuliza wanaambiwa wanakufuru.

Hapa wengi wanachokifanya ni "Argumentum da Hominem"-yaani Argument against the Man.Binafs nishakutana na wengi Ana kwa Ana "face to face" lakini wengi wao ni kutoa kauli za vitisho na Matusi wachache sana wanaweza kudebate kwa utulivu,na hii ni kwa sababu 99% bara la afrika wengi wao wamerithi kutoka kwa wazazi wao kama mzazi alikuwa Mkristo naye anajikuta Mkristo vivyo hivyo kwa Uislam.

Mimi nasubiri Swali namba moja lipate jibu.
Mkuu hakuna Uhuru usio na mipaka ndiyo ipo hivyo duniani na si kwamba masuala ya kuhusu Mungu tu ndiyo yanaonekana hayana uhuru wa kuhojiwa. Ila tatizo atheist anataka aulize kila jambo atakalojisikia na anataka lazima apatiwe majibu ya maswali yote.

Chengine wanafikiri masuala ya dini hayahitaji elimu hivyo kujadiliana nao hapa ni sawa na kubishana na mtu ambaye hajui lakini anasema hataki kuongopewa.

Mfano mleta mada anaorodhesha et makosa ya mungu,halafu anasema kosa la kwanza et mungu kuumba Shetaniwakati hakuna hata kitabu kimoja cha dini kilichosema mungu aliumba shetani ila ukimwambia hapo analeta ubishi.
 
Sawa-sawa Mkuu,
Naona Ushawatambua vyema ni hii kwa kiasi kikubwa inatafsri Jamii yetu Njisi ilivyo na kuhakikishia Mtaani ni hivyo hivyo nimekumbana nao.
Atheists walio wengi huwa wanaulelewa wa Mambo mengi sana-sana katika ulimwengu huu na hii ni kutokana na hulka ya kudadisi na kuhoji Mambo mbalimbali,Na Jamii isiyopenda kuhoji na kudadisi hii Jamii imekwisha kufa.
Believers wamezungukwa na kitu kinachoitwa "Fear"

Kuna bwana mmoja hapa alikuwa anaitwa Bluray Jamii Forum 2009 hata Sijui yuko wapi, aisee huyu Jamaa alikuwa moto wa kuotea mbali alikuwa anafahamu Mambo mengi aliwachachana vibaya mno watu wa zabibu iliyochacha(Theists).

--------Heshima kwako Mkuu Chamilton--------------
Kama ni hivyo kuna haja ya kupima mchango wao hapa duniani hao atheists.

Lakini pia atheists wengi humu huwa hawapendi kuwa challenge misimamo yao hiyo ila wanataka wao tu ndiyo wakuhoji na kukuuliza maswali muda wote.
 
Mkuu hakuna Uhuru usio na mipaka ndiyo ipo hivyo duniani na si kwamba masuala ya kuhusu Mungu tu ndiyo yanaonekana hayana uhuru wa kuhojiwa. Ila tatizo atheist anataka aulize kila jambo atakalojisikia na anataka lazima apatiwe majibu ya maswali yote.

Chengine wanafikiri masuala ya dini hayahitaji elimu hivyo kujadiliana nao hapa ni sawa na kubishana na mtu ambaye hajui lakini anasema hataki kuongopewa.

Mfano mleta mada anaorodhesha et makosa ya mungu,halafu anasema kosa la kwanza et mungu kuumba Shetaniwakati hakuna hata kitabu kimoja cha dini kilichosema mungu aliumba shetani ila ukimwambia hapo analeta ubishi.
Aha,
Katika Maswali aliyoyaorodhesha Mleta Uzi,Swali gani umelijibu na kulitolea Maelezo vyema..?
 
Anisamehe kwa lipi? yaani kuhoji ni kosa?
Matatizo yetu ndo udhaifu wetu, kwa mtu kama wewe kukushangaa ni jambo la kawaida lisilohitaji hata sababu, ninyi ndo mnaosababisha baadhi ya watawala kusingizia matumizi mabaya ya uhuru wa kujieleza, kuhoji na kusikilizwa kukandamizia watu, kiufupi: labda wewe ulikuwa unamuhoji nani? Kwa lengo gani?
 
Mkuu intelligence siyo universal human trait!..........Kama hujaelewa kitu wewe tulia tu uone wanachokifanya walioelewa.
 
Nashukuru kama unajua si universal human trait na ndio mana nikakwambia MUNGU amekusamehe yeye naye akielewa hivyo.

Ndugu, siku zote hoja uambatana na hitaji la ufafanuzi, mijadala na shauku ya kuelewa zaidi. Wewe umetoa taarifa kama wanazotoa wapashaji.
SWALI: Hiyo juu (taarifa), umetoa kwa misingi na lengo gani? Au ulihitaji watu waridhike kuikuta humu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom