Makosa 10 aliyotenda Mungu

Makosa 10 aliyotenda Mungu

Wewe hata tukikutana barabarani huwezi kunijua wala mimi kukujua wewe.

Hapo ulipo huwezi kujua kama mimi ni KE au ME, mrefu au mfupi, mweusi au mweupe mzee au kijana au mtoto, kimsingi hujui chochote kuhusu mimi kwahiyo nyamaza kuigiza kana kwamba unanifahamu sana kiasi cha kujua nilikuwa mkristo[ambalo kwangu ni tusi la kukosa akili]

Watu mnabahatisha mambo msiyokuwa na uhakika nayo halafu mkiitwa matahira mnamind.
Hahaha povu lote kisa tu umeambiwa ulikuwa mkristo! mnanishangaza sana kwani cha ajabu ni kipi kama ulikuwa mkristo hadi utokwe povu?

Hutaki kuambiwa kuwa ulikuwa mkristo wala hutaki kujulikana ulikuwa una amini nini hapo kabla,sijui hata unaogopa nini.
 
Nina shida gani mimi? shida ina maanisha jambo lingine nisilolijua?

Tatizo siyo kuamini bali kuelewa.
Hahaha...nyie hizo stress zenu zitawau.

Et tatizo sio kuamini bali kuelewa,kuna mambo kibao ambayo sayansi haijaeleza au haina maelezo ila hali hiyo haizuii watu kuamini sayansi,ila kwenye kuamini Mungu unataka kila utakalo jisikia kuuliza unataka upewe jibu tena ulitakalo wewe na endapo utakosa jibu ndiyo sababu et kutoamini Mungu.

Yani ni stress tu zinawasumbua.
 
Hahaha povu lote kisa tu umeambiwa ulikuwa mkristo! mnanishangaza sana kwani cha ajabu ni kipi kama ulikuwa mkristo hadi utokwe povu?

Hutaki kuambiwa kuwa ulikuwa mkristo wala hutaki kujulikana ulikuwa una amini nini hapo kabla,sijui hata unaogopa nini.
Kama nimetoa povu basi jua ni kwa sababu wewe unatokwa uchafu.

Unabwabwaja maneno bila kuwa na facts, eti nilikuwa mkristo.........una bahatisha tu kama mnavyobahatisha kusema Mungu yupo.

Ukiwa challenged unasema ni povu....ni sawasawa na kuwa challenge viongozi wa dini lazima waseme ni kufuru.
Kuongea chochote bila kuwa na evidence ni ujuha wa hali ya juu kabisa.
 
Hahaha...nyie hizo stress zenu zitawau.

Et tatizo sio kuamini bali kuelewa,kuna mambo kibao ambayo sayansi haijaeleza au haina maelezo ila hali hiyo haizuii watu kuamini sayansi,ila kwenye kuamini Mungu unataka kila utakalo jisikia kuuliza unataka upewe jibu tena ulitakalo wewe na endapo utakosa jibu ndiyo sababu et kutoamini Mungu.

Yani ni stress tu zinawasumbua.
Halafu nilishagundua wewe ni mweupe sana kwenye sayansi. Unaichukulia sayansi kama dini vile.

Kwenye hii post umeshindwa kutofautisha vitu viwili, scientific theory & scientific principle.

Swala la uwepo wa Mungu lilitakiwa kuwa ni scientific hypothesis to be tested. Cha kushangaza mnalichukulia kana kwamba ni fundamental truth ilihali halina evidence yoyote.....
 
1.KUMUUMBA SHETANI:
Hili lilikuwa kosa kubwa sana. Makosa yate yamechepuka kutoka hapa. Shetani anawasababishia watu maovu, then Mungu anawahukumu watu dhaifu. Hapa Mungu inambidi amkamate shetani na kumtokomeza ili maovu yaishe, kama wote wanatoshana nguvu basi wasuluhishe ugomvi wao na kupatana ili maisha yawe ya amani.

2.KUISHI MAFICHONI:
Toka enzi na enzi, Mungu amekuwa akiishi mafichoni, kwanini asijitokeze na kujionesha kwa viumbe vyake? Anaishi mafichoni kwani yeye ni Joseph Kony? Hili limepelekea watu wake kudanganywa na manabii wa uongo na kutapeliwa bure. God come from your hidings and reveal yourself to your people.

3.MAFURIKO YA WAKATI WA NUHU:
Mungu alisababisha mafuriko ili kuangamiza watu waovu na kubakiza watu wema, Yes he did, sasa waovu wa leo wametoka wapi? mbona aliuwa watu wengi bila huruma? Kama mafuriko yalikuwa ni suluhisho la maovu, Yesu na mitume walijia nini? It seems he fought effects instead of causes.

4.SAFARI YA WANA WA ISRAELI:
Mungu aliwatoa wana wa Israel kutoka Misri kwa madai ya kuwapa nchi ya ahadi, matokeo yake aliwaamuru wafanye uvamizi wa nchi za watu(mf. waamori, wamoabu na wakanani). Kwanini asingebadilisha jangwa na kuwatengenezea waisraeli nchi yao? mbona Gadaffi aliweza? Imagine waje wapuuzi hapa TZ wachukue nyumba na ardhi kwa madai kwamba wameagizwa na Mungu, ungereact vipi? WE HAVE TO BE FAIR!

5.KUTOTIMIZA AHADI YAKE KWA ABRAHAM:
Mungu alimwambia Abraham kuwa atampatia uzao wa wana wengi kama nyota za angani au mchanga wa pwani. Sasa hivi ukichanganya walio wa Abrahamu na wasiyo wa kwake bado watu hawawezi kuwa sawa na nyota au mchanga wa pwani. Ata ukijumlisha na waliokufa back to Adam. Atatimiza lini hi ahadi? je kuna muda wa kutosha? mbona watumishi wake wanasema Yesu yuu karibu kuja ili kutamatisha nyakati?

6.KUWEPO KWA MZIO(ALLERGY):
Kwanini watu wengi ambao ni wema wana allergy na vitu alivyoumba Mungu? mbona maandiko yanasema kila alichoumba Mungu ni chema? Kwanini aumbe mimea na wanyama wenye sumu kwa watu wake awapendao? au hakujua?

7.MAJANGA ASILIA:
Kama Mungu aliumba dunia ili iwe sehemu ya amani kwa watu wake na wamwabudu yeye, kwanini kuna matetemeko ya nchi, vimbunga na mafuriko. Kwanini anawauwa watu kikatili hivi? au haya nayo tumsingizie shetani?

8.KUUMBA VIUMBE HATARISHI:
Kwanini Mungu aumbe bacteria, virusi, fangasi na viumbe wengine wanaosababisha magonjwa na kifo? Kwanini hawa viumbe wasingefia kwenye yale mafuriko ya Nuhu ili watu wema alio wabakiza waishi kwa amani? Je hawa viumbe hatari Mungu alimwamuru Nuhu awaingize wawili wawili kwenye safina?

9.JEHANAMU NA MOTO WAKE:
Kwanini Mungu aumbe jehanamu kuteketeza waovu? Kwani hajui kusamehe? Kwanini huruma yake ina kikomo kwa shetani? Kama wewe ni mzazi, mwanao akikukosea na hajaomba msamaha, itabadilisha uhalisia kuwa yule sii mwanao? SHETANI PAMOJA NA WAOVU NI KAZI YA MIKONO YAKE, PRODUCTS OF HIS OWN MIND BEFORE CREATED THEM. So aache kuweka vinyongo na kutamani kulipiza kisasi juu ya kazi yake.

10.KASORO KWENYE MWILI WA BINADAMU:
Kwanini pawepo na mabadiliko hasi kwenye jeni za binadamu(mutation)? kwani hakujua hicho ni chanzo cha viwete??? Kidole tumbo(appendix) ni cha kazi gani? mbona hajatoa maelezo namna ya kukitumia? Na chuchu za mwanaume ni za kazi gani?

TO THE RIGHT WING OR THE LEFT WING WE ARE NEITHER, NOT EVEN AT THE MIDDLE....R.I.P MOBUTU!

===================

Kasome kumbukumbu la torati 29:29
Ndipo uanze kubishana na MUNGU
 
Kasome kumbukumbu la torati 29:29
Ndipo uanze kubishana na MUNGU
Unataka nikasome kile kitabu kinachoanza na nyoka anayeongea, then bikira aliyepata mimba bila bwana na mwishowe dragon lenye vichwa vinne?

Nana mwenye muda wa kusoma kitabu che mikanganyiko isiyokipa logic?
 
Msimjibu kwa hamaki, wekweni maandiko, na hili nadhani waaslam wana fursa sana ya kujitwalia kondoo huyu hawa ndio huwa ma Amir baada ya kuelimishwa kumbukeni hata akina Hamza walikua makafiri kabla
 
Kama nimetoa povu basi jua ni kwa sababu wewe unatokwa uchafu.

Unabwabwaja maneno bila kuwa na facts, eti nilikuwa mkristo.........una bahatisha tu kama mnavyobahatisha kusema Mungu yupo.

Ukiwa challenged unasema ni povu....ni sawasawa na kuwa challenge viongozi wa dini lazima waseme ni kufuru.
Kuongea chochote bila kuwa na evidence ni ujuha wa hali ya juu kabisa.
Sasa umeni challenge nini Mimi? halafu hata ukiwachallange hao viongozi wa dini ndiyo uthibitisho wa kuwa hakuna Mungu?

Halafu et kuongea kitu bila evidence ni ujuha,lakini hapo hapo ukiombwa evidence ya kusema hakuna mungu huna lakini usemi kuwa ni ujuha.

Na kama unaona mie nabwabwaja tu basi sema basi ulikuwa unaamini nini nini kabla ya kuingia mkumbo wa kuwa atheist,mbona hutaki kusema jambo dogo tu hili kuliko kutumia nguvu kupinga hili jambo.
 
Nimekuchallenge kwa kukwambia uweke ushahidi wa kuwa mimi nilikuwa mkristo kama ulivyosema lakini ukashindwa.

Kazi ya kuprove uwepo wa Mungu ni ya Theists maana Atheist hahitaji kutoa negative proof.....Hivi nikikwambia kuwa kuna Chemical element inaitwa Tanzanium halafu ukadai ushahidi, je ni mimi niliyesema kuna hiyo element ninayetakiwa kutoa ushahidi wa uwepo wake au ni wewe uliyedai ushahidi?

Hivi ni lazima kila mtu awe muumini au apitie hatua ya kuwa muumini?........Ni sawa sawa na mimi nikwambie watoto wanazaliwa uchi bila nguo then wanavalishwa nguo halafu wewe ubishe kwa kusema kabla wao hawajavalishwa nguo walikuwa wanavaa nini?
 
Wewe ni mpuuzi sana,hizo akili zako ndo upumbavu wa Mungu
Kumbe Mungu naye ana upumbavu? asante kwa kunifahamisha, sasa nimeelewa kwanini alitenda haya makosa.

Itakuwa ni sababu ya upumbavu wake.
 
Halafu nilishagundua wewe ni mweupe sana kwenye sayansi. Unaichukulia sayansi kama dini vile.

Kwenye hii post umeshindwa kutofautisha vitu viwili, scientific theory & scientific principle.

Swala la uwepo wa Mungu lilitakiwa kuwa ni scientific hypothesis to be tested. Cha kushangaza mnalichukulia kana kwamba ni fundamental truth ilihali halina evidence yoyote.....
Hahaha...sasa ni nani ambaye huwa analeta habari za sayansi katika hizi mada? na ndiyo maana hata hoja zenu humu kupinga mungu ni hoja za kuifanya jambo la imani ya mungu ni kama sayansi na ndiyo maana mnang'ang'ani hakuna ushahidi wa uwepo wa mungu kwa sababu aina ya ushahidi muutakao ni kama wa kisayansi.
 
Hivi bila sayansi maisha yangekuwepo kweli?
Hakuna ubishi kuwa hata kama Mungu angekuwepo, sayansi ingekuwa bora kuliko Mungu maana sayansi ina msaada mkubwa kwa watu kuliko Mungu.
 
11. Kuchelewa kuja Afrika kwa Waafrika. Mpaka watu wengine wakatuletea "dini" zao na madhila zao vilevile.
 
Back
Top Bottom