Makosa 10 aliyotenda Mungu

Makosa 10 aliyotenda Mungu

hii concept ya utatu mtakatifu inawachanganya wakristo wengi, ukisikiliza wahuburi utaskia wanasema Yesu mwana wa Mungu, baada ya dakika mbili tatu utaskia Yesu ni Mungu, sasa mtu huyohuyo Mungu, huyohuyo mwana wa Mungu!!! na ndo maana wakristo wengi wameona ili kuepuka huo mchanganyo ni bora wamuhalalishe Yesu kama Mungu, hakuna anaemkumbuka Mungu halisi, kwao Yesu ndo mpango mzima.

ukiskiliza pia kwa umakini utaona hata hizo nafsi tatu zenyewe zimepunguzwa otomatikali na kuwa nafsi mbili, yani Mungu mwana na Mungu Roho Mtakatifu, Mungu Baba hutokuja kumsikia kamwe katika maombezi, na ujue kwamba kila mkristo na wachungaji wote kwa ujumla wanapotamka neno Mungu, wanamaanisha Yesu, yani Mungu mwana. Huyo mungu Baba anaonekana hana kazi kabisa ya kufanya..

utasikia "nakukemea katika jina la Yesu", utasikia "karibu Roho mtakatifu", ila kamwe hutasikia karibu Mungu Baba, au nakukemea katika jina la Yahweh, jina ambalo huwezi kumsikia mkristo akilitumia.

mbaya zaidi ni pale mchungaji anaposoma neno kutoka kitabu cha agano la kale, akiwa anatoa tafakari utaskia "KATIKA NENO HILI YESU ANAMAANISHA...." kana kwamba Yesu ndo aliandika Agano la kale, si kufuru hii?

na wengine wamediriki kwenda mbali na kusema Yesu ndo alieumba huu ulimwengu.. mpaka kufikia steji hii unaona kabisa wameshamfutilia mbali Mungu Baba, yani hana alilofanya lolote lile.. NI KUKUFURU KABISA.

Wakristo wamedata na Yesu mpaka wanamsahau mkuu wa wakuu.. Sala ya NASADIKI YA KANISA KATOLIKI INASEMA "Nasadiki kwa Mungu baba Mwenyezi, Muumba wa mbingu na nchi, na vitu vyote vinavyoonekana na visivyoonekana."
halafu unakuta kataahira flani humu kanasema Yesu ndo alifanya uumbaji.

kwa kumalizia ni kwamba, utatu mtakatifu sio utatu mtakatifu tena, ni upili mtakatifu, yani Yesu na Roho mtakatifu..
Kwa wakristo wengi Yule Mungu baba hana mpango tena hawezi hata kutoa pepo..

watajitetea kwamba Mungu baba alimpa mamlaka yote Yesu, kana kwamba Yesu alikua hana mamlaka, na hata Yesu alipopewa hayo mamlaka, Mungu baba hakubakiwa na mamlaka yoyote, WHICH MAKES HIM SEEM POWERLESS.

Unaweza kusema Mungu baba yupo tu pale kuukamilisha utatu mtakatifu, ila ukifikiria zaidi utaona HE IS NOT EVEN THERE, BECAUSE HE'S DYSFUNCTIONAL, hakuna hata mkristo mmoja anaemtumia kwa jambo lolote, wao na Yesu, Yesu na wao, na roho mtakatifu mwenyewe anatumika kama BACKUP yani PLAN B, Yesu ndo mpango mzima!!!

Hatari sana wakristo, mnakufuru bila kujijua.
ukiwabishia yesu sio Mungu wanakuambia kafungue Yohana 1:1. inayosema"hapo zamani kulikuwa na neno na neno alikuwa kwa Mungu na neno pia ni Mungu" baas hapo ndio kabisaa wakristo huwaaambii kitu
Lakini muda huo huo yesu nae anasema napaa kwenda kwa baba yangu nanyi ni baba yenu kwa Mungu wangu nanyi Mungu wenu sasa ikiwa Yesu ndiye Mungu anakwenda kwa Mungu yupi???
kuna andiko yesu anasema yeye ni mtu lakini hakuna andiko linalosema yeye ni Mungu
 
2013:
jifunze kutafakari.. unavyofanya reference kutoka kwenye bible unazidi kujionyesha huna uwezo wa kufikiri.

napenda tujadili kwa kutumia akili tulizopewa, na kuchekecha mambo kwa njia ya tafakari mkuu, kwa namna hii ntaanza kukupuuza.
 
hance mtanashati:
kwa namna moja au nyingine unaweza kuona sometimes tatizo lipo kwa watoa tafakari na sio biblia, ukisoma LUKA 24 kuanzia mstari wa 13 Utaona kuna hadithi ya wale watu waliokua wanaenda kijiji cha Emau..

na mstari wa LUKA 24:19 unasema "akawauliza, mambo gani? wakamwambia, mambo ya Yesu wa Nazareti, aliyekuwa mtu nabii, mwenye uwezo katika kutenda na kunena mbele za Mungu na watu wote."

unaona kabisa hawa watu wa israeli walimtambua Yesu kama nabii..
wakristo wanaibishia hadi biblia, hatari sana.
 
Kwa akili zako nadhani usamehewe tuu. Mungu wetu wa mbinguni huwa hakosei hata siku moja hata sekunde, kila kitu kinasababu yako kufanyika ila utubu mapema.
 
Sasa mbona post yako haiendani na mada??? kama una majibu nipe...kama huna basi kaa kimya na siyo kuhukumu akili zangu!
 
Bora nimehukumu akili kwa mtazamo wako kuliko ningekuhukumu wewe mwenyewe.
 
Kwa akili zako nadhani usamehewe tuu. Mungu wetu wa mbinguni huwa hakosei hata siku moja hata sekunde, kila kitu kinasababu yako kufanyika ila utubu mapema.
hapo umeeandika yake au yako..? kama ni yake niambie Mungu anasababu gani kufanyika/sababu ya kuwepo kwa Mungu..?
 
Mungu hakumuumba shetani!

Aliumba malaika ,baada ya kuasi ndo akaitwa shetani!
 
2013:
naona umejikita zaidi kwenye upagani, ingawa point yangu kubwa ilikua inazungumzia IMPOSSIBILITY ya waislamu na wakristo kuungana kiimani kwa sababu ndani ya hizo imani wanaamini vitu viwili tofauti .
Ni sawa kabisa wakristo na waislamu sio imani sawa ziko opppsit sana.

Wanaosema ziko sawa ni lugha ya kidiplomasia wanatumia
 
2013:
jifunze kutafakari.. unavyofanya reference kutoka kwenye bible unazidi kujionyesha huna uwezo wa kufikiri.

napenda tujadili kwa kutumia akili tulizopewa, na kuchekecha mambo kwa njia ya tafakari mkuu, kwa namna hii ntaanza kukupuuza.
Bila source itakua argument Hewa. After all, Mimi na wewe hatuna uwezo sawa wa kutafakari. Istoshe Sijui background yako na how critical you really are. Inanibidi nitumie chanzo chenyewe kama benchmark kwanza

Tukiona kuna zaidi ..may be tutaanza Ku-argue katika level moja.
Unless kama hauko.comfortable,.ilq kujua asili ni vyema kusema.waliotangulia.
 
Yaani tumshukuru Yesu,laa sivyo Mungu angeshatumaliza,coz Mungu hana mzaa,ndo maana alifyeka baadhi ya vizazi lkn baada ya Yesu kumwaga damu,ndipo rehema/neema imetufunika ht kuweza kudhihaki nk.lkn grace period ina muda pia!
 
MAJIBU YA MASWALI YAKO MATATU YA MWANZO

1.KUMUUMBA SHETANI:
Hili lilikuwa kosa kubwa sana. Makosa yate yamechepuka kutoka hapa. Shetani anawasababishia watu maovu, then Mungu anawahukumu watu dhaifu. Hapa Mungu inambidi amkamate shetani na kumtokomeza ili maovu yaishe, kama wote wanatoshana nguvu basi wasuluhishe ogomvi wao na kupatana ili maisha yawe ya amani.

KATIKA SWALI LAKO HILI NAOMBA UTAMBUE YAFUATAYO:-

MISINGI YA FALME KATIKA ULIMWENGU WA ROHO

Tangu milele hapakua na falme mbili zinazopingana bali ufalme wa Mungu baba peke yake muumba wa mbingu na nchi na vyote vinavyoonekana na visivyoonekana Mwa1:1. Visivyoonekana ni malaika watakatifu walio mbele zake wakimtumikia katka makundi tofauti tofauti kama ifuatavyo:-

Ø Malaika wakuu-kuna wenye uhai wanne ambao wako mbelle ya kiti cha enzi ufu 4:1-11

Ø Malaika walinzi-yakiogozwa a malaika Michael Dan 10:13

Ø Malaika wa uponyaji-likiongozwa na malaika Rafael Tob3:17

Ø Kundi linguine ni la malaika wajumbe wa Mungu linaloongozwa na malaika Gabriel Dan8:16 &9:21

Ø Kuna maserafi hawa pia wako mbele ya kiti cha enzi cha Mungu baba Isa 6:1-3.

CHANZO CHA UFALME WA UPINZANI AU SHETANI-Ni kutoka katika kundi la malaika wanaoitw makerubi, kudi hili liliogozwa na malaika aayeitwa lucifel, huyu alimhasi Mungu kutokana na uzuri wake alopewa na Mungu pia alikuwa kiongozi wa kikundi cha kusifu na kuabudu (praise and worship) hivyo baada ya kuasi/kunajisi akatimuliwa/akafukuzwa mbinguni pamoja na wale wote waliomtii. Na kwa kuwa alishanajisi, mahala pake pia kule mbinguni paliondoshwa pamoja naye na ule uweza wa kubadilikabadilika sura. (Ufunuo 21:27) Hakuna kilicho najisi kitakachoona/kugusa mbingu.

SIFA ZA MAKERUBI-Ni malaika wa kipekee wenye sura nne kama ifuatavyo:-

i. uso wa binadamu

ii. . Ng’ombe au mifugo ya aina mbalimbali(representing all domestic animals)

iii. . Kama tai ndege wa angani na

iv. .Simba representing all wild animals(ezek1:10)

Baada ya Lucifer kufukuzwa mbinguni alianzisha ufalme wake unaopinga kufanyika mapenzi ya Mungu na kuwazuia wale wanaomtii Mungu wasimtii wawe waasi kama yeye Mwa3:15 “Nami nitaweka uadui kati yako na huyo mwanamke, na kati ya uzao wako na uzao wake. Huo utakuponda kichwa na wewe utamponda kisigino” Kutokana na maelekeo ya kutenda dhambi yaliyoko ndani ya mwanadamu, shetani anayatumia maelekeo hayo maelekeo ya kutenda dhambi yaliyoko ndani ya mwanadamu kuwafanya watu kuwa watumwa wa dhambi kwa kuwa imeandikwa “Yesu akawajibu Amini amini nawaamia kila atendaye dhambi ni mtumwa wa dhambi”(Yoh. 8:34). Kwa sababu hiyo kila mtu atambue ya kwamba yupo kwenye mapambano na shetani daima mpaka mwisho wa maisha yake hapa duniani. Shetani anawatumia mawakala wake kuwadanganya na kuwashawishi watu kumuasi Mungu na kumtii yeye na ia yake ni kuwatawala watu wote ulimwenguni na kuhakikisha anawapata wote ikiwezekana awaingize kwenye utawala wake wamtumikie hapa duniani na hatimaaye kwenye makao yake makuu ambako ni jehenamu. Vita hii ni kali sana kwa mwanadam anayempenda Mungu hakubali kutawaliwa na shetani, anapambana vikali ili amshinde shetani na kuipata ile ahadi ya uzima wa milele hivyo basi hali hiyo ya mapambao kati ya wanadamu na shetani ndiyo inaitwa VITA VYA KIROHO

Ndugu yangu tambua kwamba shetani hana lolote mbele ya muumba wake na anamwamini Mungu ila hashiki amri na maagizo yake kumbuka pale bustanin, shetani alichokifanya ni kugeuza maagizo ya Mungu. Mungu alisema MKILA MTAKUFA, shetani yeye akawambia HAKIKA HAMTAKUFA. Maandiko matakatifu yanatuonesha wazi kuwa shetani anamwamini Mungu ila kutii sharia na maagizo kama nilivyosema hataki (Yak. 2:19) “Wewe waamini ya kuwa Mungu ni mmoja; watenda vema. Mashetani nao waamini na kutetemeka

HIVI NDIVYO LUCIFER ALIVYOKUA KABLA YA KUASI Ezekiel chapter 28

28:13 Thou hast been in Eden the garden of God; every precious stone was thy covering, the sardius, topaz, and the diamond, the beryl, the onyx, and the jasper, the sapphire, the emerald, and the carbuncle, and gold: the workmanship of thy tabrets and of thy pipes was prepared in thee in the day that thou wast created.

28:14 Thou art the anointed cherub that covereth; and I have set thee so: thou wast upon the holy mountain of God; thou hast walked up and down in the midst of the stones of fire.

28:15 Thou wast perfect in thy ways from the day that thou wast created, till iniquity was found in thee.

28:16 By the multitude of thy merchandise they have filled the midst of thee with violence, and thou hast sinned: therefore I will cast thee as profane out of the mountain of God: and I will destroy thee, O covering cherub, from the midst of the stones of fire.

28:17 Thine heart was lifted up because of thy beauty, thou hast corrupted thy wisdom by reason of thy brightness: I will cast thee to the ground, I will lay thee before kings, that they may behold thee.

28:18 Thou hast defiled thy sanctuaries by the multitude of thine iniquities, by the iniquity of thy traffick; therefore will I bring forth a fire from the midst of thee, it shall devour thee, and I will bring thee to ashes upon the earth in the sight of all them that behold thee.

28:19 All they that know thee among the people shall be astonished at thee: thou shalt be a terror, and never shalt thou be any more.

HAYA NDIYO MAPINDUZI ALIYOPANGA/ ALIYAKUSUDIA LUCIFER KUYAFANYA Isaya 14

14:13 Lucifer alisema moyoni mwake “nitapanda mpaka minguni,nitakiinua kiti changu juu kuliko nyota za Mungu; nami nitaketi juu ya mlima wa makutano, katika pande za mwisho za kaskazini.

14:14 nitapaa kupita vimo vya mawingu, nitafanana na yeye Aliye juu”

ANGALIZO:

Mungu ni mwenye haki kwa viumbe wake wote ndo maana anaitwa Hakimu wa HAKI, kitu anachokifaya shetani anatumia sharia na kanuni za ulimwengu wa roho kututishia kwa kubweka kama mbwa asiyekua na meno kwenda kutushtakia ile hali hati ya mashtaka Kristo Yesu alishamg’aya shetani na ikatundikwa juu ya msalaba wake

NB: Nyoka alikubali kumpa shetani lifti (msaada wa kumfikia mwanamke) kwa kua alikua mwelevu saa lakini tazama mwisho wake leo ni kula vumbi tu.

2.KUISHI MAFICHONI:
Toka enzi na enzi, Mungu amekuwa akiishi mafichoni, kwanini asijitokeze na kujionesha kwa viumbe vyake? Anaishi mafichoni kwani yeye ni Joseph Kony? Hili limepelekea watu wake kudanganywa na manabii wa uongo na kutapeliwa bure. God come from your hidings and reveal yourself to your people.

Kufuatana na taratibu na kanuni ambazo Mungu ameziweka ni mwiko kwa mtu mwenye dhambi kutaka mashauri kwake bila kutubia dhambi alizonazo kwanza Mwa3:24 Basi Mungu akamfukuza huyo mtu akaweka upande Makerubi upande wa mashariki wa bustani ya Edeni, na upanga wa moto uliogeuka huko na huko, kuilinda njia ya mti wa uzima. Lakini ukumbuke vizuri kabla ya kutenda dhambi mtu aliongea na alikua anamuona Mungu live akiwatembelea bustanini Mwa 3:8. Hivyo basi utakatifu wa Mungu hauruhusu yeyote mwenye dhambi amuone kabla ya toba.

Isa 59:1&2”Tazama mkono wa Mungu haukupunguka, hata asiweze kuokoa wala sikio lake si zito, hata lisiweze kusikia. Lakini maovu yenu yamewafarakanisha ninyi na Mungu wenu, na dhambi zimeuficha uso wake msiuone, hata hataki kusikia ”.

Kama unataka kuamiani hayuko mafichoni uamini na kumkiri Yesu kwa kinywa chako kuwa ni Bwana na mwokozi wa maisha yako, na kuamini moyoni mwako kuwa Mungu alimfufua katika wafu utaokoka (Rum10:9) uhalali wako wa kumilki na kutawala kama kusudi la Mungu kukuumba utarejeshewa na kumuona Mungu katika ulimwengu wa roho na atakuonesha yupi nabii wa ukweli na yupi nabii wa uongo

3.MAFURIKO YA WAKATI WA NUHU:
Mungu alisababisha mafuriko ili kuangamiza watu waovu na kubakiza watu wema, Yes he did, sasa waovu wa leo wametoka wapi? mbona aliuwa watu wengi bila huruma? Kama mafuriko yalikuwa ni suluhisho la maovu, Yesu na mitume walijia nini? It seems he fought effects instead of causes.

Kweli kabisa ndugu yangu after causes there’s effects hata wanafizikia wamesema “To every action there is an equal and opposite reaction” Uelewe kwamba unapokwenda kinyume na amri za Mungu na maagizo yake wewe ni muasi na umetenda dhambi, hivyo basi kizazi kile kiliteketea kwa gharika wakati wa mzee Nuhu badae wakati wa Ibrahim wakateketea kwa moto watu wa sodoma the same ata kizazi hiki kimewekwa akiba kwa moto. Haya yote yanafanyika kwa makusudi ili watu wajifunze taratibu na kuamua toka mioyoni mwao kipi cha kufuata kati ya Baraka na laana au uzima na mauti. Nyakati zote hizo walitumwa wajumbe wa Mungu (Manabii) ili kuonya, kukemea na kufundisha juu ya ufalme wa Mungu ambao ni wa Amani, haki na furaha (Rum14:17) “Maana ufalme wa Mungu si kula na kunywa bali ni haki na Amani na furaha katika Roho Mtakatifu”

WATU WAOVU WAMETOKA WAPI

Kama nilivyokuambia katika swali lako la kwanza kuna mapambano makuu au vita ya kiroho kati ya mwanadamu na shetani, ambapo wale wanaomtii shetani ndo hao walio waovu wa leo utawasikia wamewanajisi watoto wadogo, wako guest house wanaita show time na kupiga picha za uchi,wafiraji, watukanaji, waabudu sanamu, wachawi, washirikina n.k
Malaika wa ulinzi walikuwa wa kulinda nini wakati hapakuwa na Adui?
Malarial wa uponyaji wa kuponya nini? Mungu alipanga kuje kutokee hayo? Au wenyewe kwa wenyewe waliitaji uponyaji wa nini?

JIBU
Kumbuka mwanzo hayakuwapo matabaka hayo ya malaika lakini immediately baada uhasi/unajisi wa shetani, ndo Mungu akaweka utaratibu huo wa malaika katika matabaka coz kulikua na vita ambayo hadi leo inaendelea kati ya mwanadamu na shetani, huku shetani akitaka kumwangusha.
Malaika wa ulinzi -huwalinda wanadamu dhidi ya Ibilisi
kut 23:20 " Tazama, mimi namtuma malaika aende mbele yako, ili akulinde njiani na kukupeleka mpaka mahali pale nilipokutengezea."
Malaika wa uponyaji -kuwaponya watu soma kitabu cha tobit
 
Back
Top Bottom