Makosa 10 aliyotenda Mungu

Makosa 10 aliyotenda Mungu

usitumie maandiko mzee tumia uwezo wako wa kufikiri.. wewe unaona ni sahihi kujiua ili mtoto wako apone, au sahihi ni kumuua adui ili uishi kwa amani na mtoto wako? tumia akili hizo reference weka pembeni, onyesha uwezo wako wa kupambanua.
 
Naona waafrica sasa wameanza kuwaza kama wa mangaribi....ndio kuelekea uchumumi wa viwanda nini.
 
Lugha ya malkia achana nayo tu unajichoresha
Mkuu hawa watu wanaiga kila kitu ingawa wanakosea hadi kuiga...kaiga utamaduni wa watu na kuaribu bure...badala wajibu maswali wanapost mataptap tu.
 
Mungu alijua kuwa shetani ataasi na alimuumba kwa sababu ya upendo wake. Na siku alipoasi na yeye alipewa mda mrefu wa kujutia maovu yake lakini shetani hakufanya hivyo na ikabidi atimuliwe lakini pamoja na hayo Mungu hakumnyanganya uwezo na nguvu ya kimalaika. Madai ya shetani ni kuwa Mungu ni katili hana huruma wala upendo. Mungu aliacha kumteketeza ili kupisha upendo na huruma zake mbele ya raia wa mbinguni na wa ulimwengu ili wathibishe hayo madai. Ndo maana shetani na wafuasi wake wanatanua mpk Leo
Nimefurai ulivyo jibu ila je hakuna vifungu kuthibitisha unachosema? Maana bila vifungu inakuwa hadithi tu
 
Nimefurai ulivyo jibu ila je hakuna vifungu kuthibitisha unachosema? Maana bila vifungu inakuwa hadithi tu
Kwa miaka kadhaa sasa nimekuwa nikiomba kupewa proof, sio mistari tu ya kuamini, kwamba mungu yupo.

Hakuna aliyeweza kunipa proof.
 
Ukiwaita wanatoa Zaka ni Wapumbavu maana yake umemtukana aliyeagiza watoe fungu kumi yaani Mungu !
Kwa hiyo wewe Mshenzi una ujasiri wa kumtukana Mungu kuwa ni zaidi ya Wapumbavu wanaotoa Zaka ?

QUOTH="CHARMILTON, post: 17184447, member: 292576"]Wanaotoa fungu la kumi ni wapumbavu sana, yaani kama unamshahara wa 1M kila mwezi utoe 100,000...kwa mwaka 1.2M kuwapelekea hao mamwinyi wanaojiita religious leaders...hivi mwisho wa hizo pesa ni nini??? maana hatujawahi kumwona huyo Mungu anayepelekewa akiwa anafanya shopping Dubai, akiwa anajaza petrol kwenye range yake petrol station...au akiwa supermarket akinunua vitu vya gharama kwajili ya familia yake. Zamani fungu la kumi lilichomwa moto na moshi ukapaa juu ila leo linaingia kwenye a/c zao...imagine 1.2M/year kwa miaka 20 ni 24M, kama anawatu 100 wenye mshahara wa 1M ndani ya miaka 20 anayo 480M kwenye fungu la kumi tu, achana na michango pamoja na sadaka nyingine.Hawasaidii watu zaidi ya kuwanyonya na kuwatisha kwa illusion hell fire...THIS IS BULLSHIT.[/QUOTE]
 
ACHENI UONGO NA USHETANI WENU ! TANGU LINI ASKOFU KAKOBE KANUNUA PRADO ?
UTAJIRI WA MALI NA FEDHA WA BABA ASKOFU KAKOBE UKO WAZI KWA WATU KULIKO HATA MAGUFULI.


UOTE="Twiniestar, post: 17183951, member: 54642"]Thanks mkuu, hua ninafikiria pale waheshimiwa sana wachungaji wanapokomalia fungu la 10 huku mishipa imewasimama as if wamezifanyia kazi. Kwamba unamtolea Mungu wakati namuona kabisa Kakobe anainunulia prado mi hua sielewi kwa kweli. Na usipotoa unaonekana muasi, hakuna hata mmoja kati ya wanaokuhukumu anaekumbuka kwamba hilo kanisa analosali nalo lilianzishwa kwa uasi in the sense that mchungaji/askofu aliwahi kua wa kanisa fulani wakashindwana (mara nyingi sababu ya maslahi) na yeye akaanzisha kanisa lake. Mifano iko mingi tu ya watu kujipumbaza na kupumbaza wenzao kwa kisingizio cha Mungu, ifike mahala kijiko kiitwe kijiko tu kama kilivyo. Asilimia kubwa watu wanaenda kwenye nyumba za ibada just to find a place to belong, na wanatoa sadaka ili wajisikie kwamba wamefanya kitu chema walau katika mlima wa vitu vibaya wanavyovifanya.[/QUOTE]
 
Ukiwaita wanatoa Zaka ni Wapumbavu maana yake umemtukana aliyeagiza watoe fungu kumi yaani Mungu !
Kwa hiyo wewe Mshenzi una ujasiri wa kumtukana Mungu kuwa ni zaidi ya Wapumbavu wanaotoa Zaka ?

QUOTH="CHARMILTON, post: 17184447, member: 292576"]Wanaotoa fungu la kumi ni wapumbavu sana, yaani kama unamshahara wa 1M kila mwezi utoe 100,000...kwa mwaka 1.2M kuwapelekea hao mamwinyi wanaojiita religious leaders...hivi mwisho wa hizo pesa ni nini??? maana hatujawahi kumwona huyo Mungu anayepelekewa akiwa anafanya shopping Dubai, akiwa anajaza petrol kwenye range yake petrol station...au akiwa supermarket akinunua vitu vya gharama kwajili ya familia yake. Zamani fungu la kumi lilichomwa moto na moshi ukapaa juu ila leo linaingia kwenye a/c zao...imagine 1.2M/year kwa miaka 20 ni 24M, kama anawatu 100 wenye mshahara wa 1M ndani ya miaka 20 anayo 480M kwenye fungu la kumi tu, achana na michango pamoja na sadaka nyingine.Hawasaidii watu zaidi ya kuwanyonya na kuwatisha kwa illusion hell fire...THIS IS BULLSHIT.
[/QUOTE]Kama mkipokea fungu la kumi mnalichoma moto na kisha moshi kupaa juu kama mlivyoagizwa, basi mnafanya jambo la hekima na hongereni.Lakini kama mkishapokea fungu la kumi mnalitupia kwenye akaunti zenu, basi mnafanya jambo la kipuuzi...sasa Ndugu nyie mnafanya jambo lipi??? la hekima au la kipuuzi???.
 
Magu alisema wale walioimba 'wana imani na nani sijui' angewatimua wote siku hiyo hiyo... Mimi nasema kama ningelikuwa Mungu pindi tu kidole chako kinabonyeza kitufe cha kupost hapo hapo ningekugeuza senene!!

Unafanya dhihaka kama hizi na bado uko hai! Aisee Mungu ana uvumilivu wa hali ya juu sana... Mwacheni Mungu aitwe Mungu!!
hahahah kwahyo jamaa angelikufa kabla ya kupost
 
M/mungu hakosei! Yuko perfect...sisi binaadamu ndiyo hukosea maana hatujatimia (imperfect)!!!
 
MUNGU HAKOSEI. Ukiona unaweza namna hii ujue wewe ujakamilika na ndiyo mwenye makosa
 
Nachofurahia hii thread itawaunganisha wakristu na waislam, wapagan ndo watakuwa kivyao
Screpa, hakuna mtu anaeishi kwa amani kama mpagani, kwanza hana bifu na mtu, yani mkristo rafiki yake, muislam rafiki yake..
na kumbuka huwezi kumuunganisha muislam na mkristo, viongozi wao wameshawafundisha kuchukiana so usitarajie hata siku moja muislam na mkristo kushikamana na kufanya jambo la imani kwa umoja..

maana mkristo anasema Yesu ndio Mungu, kitu ambacho muislam anaona ni matusi ya hali ya juu. na pia mkristo hakubali kwamba kuna majini wema na wabaya, mafundisho ya kikristo yanasema jini ni kiumbe kilichomuasi Mungu, kwa hio hakiwezi kuwa chema hata kidogo, hata kama huyo jini atakufumbulia mambo usioyajua, mkristo anasema hamna wema hapo ni unafiki, anakuchota akili..

sasa pakishafikia steji hii utaona wa mbagala anarudi kwao mbagala, wa ubungo anarudi kwao ubungo, ule umoja walotaka kuujenga ndo ushakufa.

Humu humu kwenye thread unapoona wewe kwamba wakristo na waislam wanaweza kuungana eti kwa sababu pande zote mbili zimeona mtoa mada amekufuru, mitazamo ya hao wafia dini upo hivi..

1. MKRISTO ANAONA HUYU MTOA MADA NI SAWA TU NA HAO WAABUDU MAJINI (ndivyo wanavyowaita, kila mtu anajua) KWAMBA WOTE HAWAMJUI MUNGU

2. MUISLAM ANAONA HUYU MTOA MADA NI SAWASAWA TU NA HAWA MAKAFIRI WAKRISTO MAANA HAWAMUABUDU ALLAH, WANAMUABUDU BINADAMU MWENZAO, YANI YESU.

Kila mtu anaona chake ndio sahihi, cha mwenzake batili. Hatari sana.
 
Back
Top Bottom