Makosa 10 aliyotenda Mungu

Makosa 10 aliyotenda Mungu

Kabla ya kunirehemu ajibu maswali yangu kwanza!!!
LoL... majibu yako yananichekeshaje.... ngoja nimtumie my Bf nae ana misimamo kama yako ......

ila mie ngoja niendelee kuamini Mungu yupo. the more you question the more confusion kwakweli
 
LoL... majibu yako yananichekeshaje.... ngoja nimtumie my Bf nae ana misimamo kama yako ......

ila mie ngoja niendelee kuamini Mungu yupo. the more you question the more confusion kwakweli
Hongera kwa kuwa na BF mwenye akili...hawawezi kumtapeli maana hadanganyiki...watu walijitengenezea Mungu kwenye zile zama za technologia duni ila kwenye hii technology era Mungu hana application tena.
 
kama majibu yangu ni ya kutengeneza, obviously maswali yako pia ni ya kutengeneza.

jingine ujaribu kuwa mstarabu, kama unaleta thread ambayo una majibu tayari hiyo thread yako haitufai kwani ulichoamini hakitobadilika, weka mada watu wachangie sasa ww watu wakichangia una crash answers zao manake nn?
 
Sija crush post ya mtu, ni kwamba sipo tayari kukubali majibu mepesi kwa maswali mazito.Pili hata kama unafahamu kitu, usisite kuuliza ili kulinganisha majibu na kuchagua jibu lililo sahihi.
 
Hongera kwa kuwa na BF mwenye akili...hawawezi kumtapeli maana hadanganyiki...watu walijitengenezea Mungu kwenye zile zama za technologia duni ila kwenye hii technology era Mungu hana application tena.
Who has told you God needs application to get known as the matter of fact the only manual book to take any one to God is Bible and it's accurate and Amen.

About the technology to wipe out God here you may sound meaningful if you will put it open in which appropriation the technology overcomes the Great God though i may agree with you and obviously is the fulfilliment of the apocalypse in the book of revelation that at endtime human skills will rise and people will focus on world things and there shall be the decline of God's glory that is straight and true predicted by the Bible way longtime ago.

But to say in medieval time people believed in God because of lack of technology is insane. What was the big aspect people of medieval trusted in God for that's nowadays has been replaced by the modern technologies?
 
Me nilifikiri lengo lako kuleta mada hiyo hapa, ulitutaka tushirikishane peoples from different displine. Sasa nashangaa sana kwa nn ukatae kile watu wamepost wakiamini ndivyo, coz mtu hawezi kukurupuka tu ajipostia kujibu kitu asichokuwa na uhakika nacho.
 
Huyu threader unajua hajielewi me personally nilizipangua hoja zake basing on Bible and biology doctrines lakini alizibishia kwa hoja za kijinga ambazo hazina kichwa wala mguu na kama ni mtu mwelewa kidogo tu utamuonea huruma sema tu ndio aina ya vijana wanaozalishwa na education systems zetu tunasikitika tu basi.

Na hii ndio picture kamili ni kwa kiasi gani vijana wanaozalishwa na educational institutions zetu walivyo weupe.
 
Una argument nzuri, kwa haraka haraka umeshapata jibu ila hujui usimame wapi. Jamii inayo kuzunguka bado ni mwiba au kikwazo kwako. Mfano kama bado ujaoa basi harusi yako itafata taratibu za kidini japokuwa wewe moyoni na kifikra, dini au uwepo wa Mungu sio kipaumbele muhimu.
 
Huyu threader unajua hajielewi me personally nilizipangua hoja zake basing on Bible and biology doctrines lakini alizibishia kwa hoja za kijinga ambazo hazina kichwa wala mguu na kama ni mtu mwelewa kidogo tu utamuonea huruma sema tu ndio aina ya vijana wanaozalishwa na education systems zetu tunasikitika tu basi.

Na hii ndio picture kamili ni kwa kiasi gani vijana wanaozalishwa na educational institutions zetu walivyo weupe.
Hivi wewe ni comedian au??? Nani amekuambia mimi ni muhanga wa huo mfumo mbovu wa elimu??? Unafikiri shule ni Tanzania tu, au Afrika peke yake??? unasema ulipangua hoja zangu kwa kutumia Bibilia na Bayolojia??? Hivi kweli kama sijui kitu ndio iwe sababu ya kudanganywa??? Yaani unakuja na traditional answers bado unategemea mimi nikubali....Siyo kama nakataa majibu, hapana!! sipendi majibu ya kupangwa...labda ni kweli ulijibu ila kutokana na reply kuwa nyingi sikuona majibu yako...sasa nijibu haya maswali mawili tu,
1. Kwanini shetani aliumbwa.
2. Kazi ya chuchu za mwanaume.
Unaweza kujibu kwa kutumia aidha bayolojia au bibilia.
 
Kushiba ni kubaya sana!!!......Wewe kijana unamdhihaki Mungu kisa unakula na kushiba vizuri na una afya njema ya kuingia kwenye mitandao ya kijamii????
Mi ningependa akajibiwa kwa biblia au kolowani mana kuuliza sio ujinga anataka kuelewa ila naona watu mnajizungushazungusha tu
 
kama upendo umemwelemea angeua shetani ila sio kiumbe alichokitolea jasho kukiumba. au ameshindwa kumuua shetani?
Nooo,
Hes so wise GAAAD

Let the tares and wheat grows together.
Mathayo 13:29-30
[29]Akasema, La; msije mkakusanya magugu, na kuzing’oa ngano pamoja nayo.

[30]Viacheni vyote vikue hata wakati wa mavuno; na wakati wa mavuno nitawaambia wavunao, Yakusanyeni kwanza magugu, myafunge matita matita mkayachome; bali ngano ikusanyeni ghalani mwangu. Mfano wa Punje ya Haradali

Our God is so wise.

Mathayo 13:29-30,37-41
[29]Akasema, La; msije mkakusanya magugu, na kuzing’oa ngano pamoja nayo.
[30]Viacheni vyote vikue hata wakati wa mavuno; na wakati wa mavuno nitawaambia wavunao, Yakusanyeni kwanza magugu, myafunge matita matita mkayachome; bali ngano ikusanyeni ghalani mwangu. Mfano wa Punje ya Haradali
[37]Akajibu, akasema, Azipandaye zile mbegu njema ni Mwana wa Adamu;
[38]lile konde ni ulimwengu; zile mbegu njema ni wana wa ufalme; na yale magugu ni wana wa yule mwovu;
[39]yule adui aliyeyapanda ni Ibilisi; mavuno ni mwisho wa dunia; na wale wavunao ni malaika.
[40]Basi, kama vile magugu yakusanywavyo na kuchomwa motoni; ndivyo itakavyokuwa katika mwisho wa dunia.
[41]Mwana wa Adamu atawatuma malaika zake, nao watakusanya kutoka katika ufalme wake machukizo yote, na hao watendao maasi,
 
Back
Top Bottom