Makosa 10 aliyotenda Mungu

Makosa 10 aliyotenda Mungu

Hivi hizi ndio akili zako??? Unasema kufa??? mbona kila mtu atakufa tu kama hao ulio wataja??? BTW hapo umeona kuna dhihaka kwa Mungu??? mwisho tumia akili yako kuzalisha kitu kipya coz hapo nimeona marudio tu from A-Z.
Hizo si akili zangu ila nimejaribu kutumia kiasi kidogo tu cha hekima kugundua kwamba sehemu unayotaka kuelekea si kuzuri, angalau ungesema huwa unajiuliza hayo maswali nikwanini iko hivyo au ilikua hivyo tungekuja hapa tungekupa majibu instead wewe umepost as if unafeel proud kwamba unaelewa zaid na unaelimu kiasi cha kukosoa mienendo ya Mungu, aise wewe ni mwanadamu bado hata chembe ya kiungu huna thus Mungu sio size yako hata utake ku challenge nae, kama ungetaka majibu ya maswali ungeuliza ili ufahamishwe tena hata mimi mwenyewe ningekupatia majibu yote maana kwa mambo yako yote 10 sijaona swali lenye utata hapo, ila naona tu vile ulivyokurupuka na kutaka kuonesha u professor JF. tuliza akili halafu omba usaidiwe mimi nitakupatia majibu yako yote, afu wala hapana swali hapo, ukituliza akili ukataka msaada nitafute nitakusaidia majibu na labda kwa juu juu tu nikwambie kwamba Mungu hashindwi kumkamata shetani na kumuadhibu kwanza hata kipindi alipohasi mbinguni na kutupwa chini Mungu wala hakushughulika ni Malaika watiifu wa Mungu walipambana nae sasa kama malaika tu walimshinda je Mungu angeshughulika? na wala Mungu hawaadhibu watu wadhaifu kwa maana mtu amepewa uwezo na mamlaka ya kumshinda shetani na kazi zake zote sasa hap watu si dhaifu sema wamekosa maarifa ya kutumia na kudai ahadi zao walizopewa na Mungu.
Mungu haishi Mafichoni maana kabla Adamu na Hawa hawajatenda dhambi alikua akija na kuzungumza nao bustani ya Edeni na hata sasa Mungu hajajificha bali sisi dhambi zetu ndo zimefanya tusimuone Mungu.
Kama ulikua hujui dhambi ndio chanzo cha mabaya yote dhambi ndio imeleta kifo, Mungu hakuumba mwanadamu afe...haikua mpango wa Mungu kifo ni uchaguzi wa mwanadamu kwa kutokutii, hakuna cha Allege wala nini Mungu haumbi mtu na Allegy, kama kuna kiumbe chochote unachokijua wewe kua ni hatarishi basi kuanzia leo utambue kwamba Mwanadamu ndio boss wa viumbe vyote na ndio mtawala wao na hiyo ndio origin yenyewe.
Halafu hiyo Jehanamu na Moto wala haviwahusu wanadamu wala havikuwekwa ajili ya mwanadamu yeyote, ni kwaajili ya Lucifer na Malaika wenzake waliohasi nae, mwanadamu ni kihele hele chake akishikwa maskio akakubali nae ataishia motoni.... Mungu hashindwi kumcontrol mwanadamu kama robot ili afanye yale atakayo,Mungu anataka mtu aamue mwenyewe na amtumikie kwa upendo wake mwenyewe toka moyoni, kwa akili zote, roho yote na Nguvu zote.

Sasa ukituliza akili na ukataka kupata majibu ya hivyo vituko vyako nitakujibu tena kwa usahihi na kwa kina
 
Kazi za Mungu hazipimiki kwa akili za kibinadamu. tena kwa vigezo vinavyoashiria mtoa mada kapiga kiloba.kizazi cha wasioamini,hadi mwone ishara?
 
Embu mjibu sasa, maana inaonekana imani yake imepungua au ni ndogo. Hivyo mjibu maswali yake aliyouliza ili umjenge kiimani.
nitashukuru kama utamjibu kwa ufasaha kabisa na pia itakuwa ni faida kwa wote hapa jamvini
 
Ngoja niende msikitini kwanza.. Maana sasa.. Hofu ya mungu imemalizika kwa baadhi ya wanadamu..
KILA JAMBO ALILOLIUMBA MWENYEZI MUNGU KTK ULIMWENGU WA MBINGU NA ARDHI... LINA MAKUSUDI YAKE.... na ukizama sana kwenye vitabu vya kiimani.. Utakuta makosa yote hayo ndg muandishi uliyoyabainisha yana maana ktk kuwasilisha ujumbe na namna ya kimfumo wa kiimani ktk maisha yetu...na kumuabudu ALLAH kama anavyotutaka tumuabudu yeye.....
 
Mungu uwa hakosei na ndo mana kila jalibu analokupa uwa anaweka mlango wake
 
Hivi kile kizazi kilichotokana na uzao wa malaika na binadamu kipo kwa sasa?
 
mwanadamu ndio alikwa chimbuko la dhambi baada ya kukiuka maagizo ya Mungu pale edeni lkn bado kwa dhambi hiyo aliona afanye nn ili amuokoe tena mwanadamu tunaona ndio akamtoa mwanaye Yesu akaja akawa kafara ya dhambi zetu kwa hiyo dhambi sio Mungu alisababisha ila ni mwanadamu hivi hata hayo Mungu aliyoyatenda ww bado naona makosa???
 
Nimeogopa sana kwani kitendo cha ku mu query Mungu?? niutovu wanidhamu..kwanza ujiulize ulikujaje na ukawa hapo ulipo wewe ulikuwa Manii na kukutana manii ya mwanamke ukaumbwa ujioni kama wewe ni mkosefu??Naomba kwa mataifa yote "Eee Mungu tuonee huruma kwa sisi viumbe dhaifu ambao tunahoji ukamilifu wako Baba wakati sisi hata Sisimizi mdudu mdogo, hatuwezi kumtengeneza! Mungu tusamehe sisi wazazi, na watu wote Duniani, wenye uzao tulio wazaa viumbe ambao ni dhahifu mpaka kuhoji uwepo wako! Nomba utusamehe Mungu na sema AMINA" Wote tuseme AMINA Natuombe kila mtu kwa nafasi yake na imani yake Mungu atuepushe na kikombe hiki!.
 
Nakuunga mkono! Kama Mungu aliumba Adam na Eva wawili tu weupe wakazaana. Uzao wao ukawa mweupe, sasa sisi waafrika weusi tulitoka wapi? Ukiuliza unaambiwa unakufuru!
nahitaji kujua wapi kwenye biblia imeandikwa Adamu na Hawa walikuwa weupe kama hujui kitu acha kupotosha.
 
Hapo namba moja ndo napata wasi wasi sana.. Mungu wetu ni mkuu na aliumba kila kitu yaan tunaamin/tunaaminishwa kuwa shetani pia aliumbwa na Mungu.
Ila pia tunaambiwa yeye ndo anajua kila kitu maana yake kilichopo,kilichopita na kitakachotokea mbele huko... Sasa ilikuaje akaanza kumuumba shetani huku akijua huyo shetani atakua kikwazo katika utawala wake? Kwa kua yeye ni mkuu mbona ilikua simple tu pale shetani alipozingua angemkamata sweka rumande huko au tia moto aondoe hiyo roho ya laana..

Mimi sio mpinga Mungu wala mpagani.. Ila nahoji tu ili kujua zaidi kuhus Mungu wetu tunaemuabudu....
kwanza shetani akuumbwa kuwa shetani hilo ujue ujio wa jina shetani ni baada ya yeye kumuhasi Mungu shetani kabla ya kushushwa na kuwa shetani alikuwa kiumbe mzuri sana mbele za Mungu kutokana na maandiko yanamzungumzia hapo mwanzo alikuwa Malaika wa sifa unaambiwa hapakuwa na malaika mwingine mwenye hicho kipawa lkn kama vile ilivyo kwa binadamu wa leo ukifanikiwa unajaa sifa na kumkufuru muumba wako ndicho kilichotokea kwa shetani baada ya kujaa sifa na kuona anauwezo hata wa kumzidi Mungu ndio kafanya mpango wa kumuasi Mungu ashukuriwe Mungu yeye huzitambua nia zetu kabla ya sisi kuzitenda ndipo akamshusha kuzimu.
 
Back
Top Bottom