Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,579
- 161,433
Mungu hamdhihaki Mtu, wala yeye hadhihakiwi
Hivi hizi ndio akili zako??? Unasema kufa??? mbona kila mtu atakufa tu kama hao ulio wataja??? BTW hapo umeona kuna dhihaka kwa Mungu??? mwisho tumia akili yako kuzalisha kitu kipya coz hapo nimeona marudio tu from A-Z.Habari wana Jamii..
Kwa masikitiko makubwa nimeamua kuandika uzii huu huku nikiwa na woga na hofu ya juu kwasababu ya Mada nitakayozungumzia haikufaa kuchambuliwa maana haichambuliki na ni makosa makubwa.
Kuna bwana mmoja ndani ya chumba chetu hiki cha wanaIntelligesia aliweka uzi ukisema "MAKOSA 10 ALIYOTENDA MUNGU"
Na akayaelezea ifuatavyo:-
"(1.KUMUUMBA SHETANI
Hili lilikuwa kosa kubwa sana. Makosa yate yamechepuka kutoka hapa. Shetani anawasababishia watu maovu, then Mungu anawahukumu watu dhaifu. Hapa Mungu inambidi amkamate shetani na kumtokomeza ili maovu yaishe, kama wote wanatoshana nguvu basi wasuluhishe ogomvi wao na kupatana ili maisha yawe ya amani.
2.KUISHI MAFICHONI
Toka enzi na enzi, Mungu amekuwa akiishi mafichoni, kwanini asijitokeze na kujionesha kwa viumbe vyake? Anaishi mafichoni kwani yeye ni Joseph Kony? Hili limepelekea watu wake kudanganywa na manabii wa uongo na kutapeliwa bure. God come from your hidings and reveal yourself to your people.
3.MAFURIKO YA WAKATI WA NUHU
Mungu alisababisha mafuriko ili kuangamiza watu waovu na kubakiza watu wema, Yes he did, sasa waovu wa leo wametoka wapi? mbona aliuwa watu wengi bila huruma? Kama mafuriko yalikuwa ni suluhisho la maovu, Yesu na mitume walijia nini? It seems he fought effects instead of causes.
4.SAFARI YA WANA WA ISRAELI
Mungu aliwatoa wana wa Israel kutoka Misri kwa madai ya kuwapa nchi ya ahadi, matokeo yake aliwaamuru wafanye uvamizi wa nchi za watu(mf. waamori, wamoabu na wakanani). Kwanini asingebadilisha jangwa na kuwatengenezea waisraeli nchi yao? mbona Gadaffi aliweza? Imagine waje wapuuzi hapa TZ wachukue nyumba na ardhi kwa madai kwamba wameagizwa na Mungu, ungereact vipi? WE HAVE TO BE FAIR!
5.KUTOTIMIZA AHADI YAKE KWA ABRAHAM:Mungu alimwambia Abraham kuwa atampatia uzao wa wana wengi kama nyota za angani au mchanga wa pwani. Sasa hivi ukichanganya walio wa Abrahamu na wasiyo wa kwake bado watu hawawezi kuwa sawa na nyota au mchanga wa pwani. Ata ukijumlisha na waliokufa back to Adam. Atatimiza lini hi ahadi? je kuna muda wa kutosha? mbona watumishi wake wanasema Yesu yuu karibu kuja ili kutamatisha nyakati?
6.KUWEPO KWA MZIO(ALLERGY)
Kwanini watu wengi ambao ni wema wana allergy na vitu alivyoumba Mungu? mbona maandiko yanasema kila alichoumba Mungu ni chema? Kwanini aumbe mimea na wanyama wenye sumu kwa watu wake awapendao? au hakujua?
7.MAJANGA ASILIA:
Kama Mungu aliumba dunia ili iwe sehemu ya amani kwa watu wake na wamwabudu yeye, kwani kuna matetemeko ya nchi, vimbunga na mafuriko. Kwani anawauwa watu kikatili hivi? au haya nayo tumsingizie shetani?
8.KUUMBA VIUMBE HATARISHI
Kwanini Mungu aumbe bacteria, virusi, fangasi na viumbe wengine wanaosababisha magonjwa na kifo? Kwanini hawa viumbe wasingefia kwenye yale mafuriko ya Nuhu ili watu wema alio wabakiza waishi kwa amani? Je hawa viumbe hatari Mungu alimwamuru Nuhu again fuze wawili wawili kwenye safina?
9.JEHANAMU NA MOTO WAKE:
Kwanini Mungu aumbe jehanamu kuteketeza waovu? Kwani hajui kusamehe? Kwanini huruma yake ina kikomo kwa shetani? Kama wewe ni mzazi, mwanao akikukosea na hajaomba msamaha, itabadilisha uhalisia kuwa yule sii mwanao? SHETANI PAMOJA NA WAOVU NI KAZI YA MIKONO YAKE, PRODUCTS OF HIS OWN MIND BEFORE CREATING THEM. So aache kuweka vinyongo na kutamani kulipiza kisasi juu ya kazi yake.
10.KASORO KWENYE MWILI WA BINADAMU:>Kwanini pawepo na mabadiliko hasi kwenye jeni za binadamu(mutation)? kwani hakujua hicho ni chanzo cha viwete??? Kidole tumbo(appendix) ni cha kazi gani? mbona hajatoa maelezo namna ya kukitumia? Na chuchu za mwanaume ni za kazi gani? )"
MWISHO WA KUNUKUU.
Naomba niseme kitu japokuwa tunauhuru wa kusema chochote hebu tuwe tunajitahadhari maana wakati mwingine ulimi uliponza kichwa MUNGU si mwanadamu na MUNGU hafikiliki kilahisi jinsi hiyo. Hata kipindi cha Nuhu MUNGU baada ya kumwambia Nuhu atengeneze safina watu wengine wlikua wakimcheka Nuhu kwa kile alichokuwa akifanya na hata kipindi cha mvua kilipokaribia aliwaita waingie ila walikataa na ku mkashfu vilevile lakini mwisho wake wote tunafahamu ilikuaje.
TUKUMBUKE KUWA HAIJALISHI UTOFAUTI WETU BINADAMU WA IMANI ZETU KATIKA DINI MBALI MBALI, LAKINI MWISHO WA SIKU KILA MTU ANAKILI MUNGU YUPO NA NI MKUU NA MUWEZA WA VYOTE NA ALIUMBA VYOTE, JARIBU KUWAZA NI VIPI ALIUMBA MBINGU PASIPO NGUZO ZA KUSHIKIA, NI VIPI ALITENGANISHA ANGA NA ARDHI NA NI VIPI ALIUMBA JUA NA KULIWEKA MBALI NA MWANADAMU ILI LISIMDHULU? KITU CHA MWISHO JARIBU KUFIKILI HIYO PUMZI UNAYOVUTA SASA INATOKA WAPI? UNAPOLALA JE UNAJUA UTAAMKA? AMA UNAEZA KULALA UKAPILIZIA HUKO HUKO MOJA KWA MOJA,JE UNAFAHAMU IDADI HARISI YA MUDA WAKO WA UHAI DUNIANI? JE WEWE NI NANI HATA KUJUA ZAID YA MUNGU? JE WEWE UNA ELIMU GANI KUBWA ZAID YA MUNGU?.
Sasa hebu ngoja nitoe mfano mdogo wa watu waliowahi kutoa kufuru kwa Mungu kwa kujiona wao wanajua zaid na ni wajuzi zaid ya MUNGU halafu tutajifunza kupitia hapo
HAWA NI WATU WALIOMDHIHAKI MUNGU NA KUPATWA NA MAJANGA.
1. JOHN LENNON (MUIMBAJI)
Wakati alipokuwa akihojiwa na mwandishi wa habari wa gazeti la American alinukuliwa akisema hivi "Ukristo utakufa na kutoweka duniani, siwezi kuwa na wasiwasi na hilo kwa kuwa nina uhakika nalo. Mafundisho ya Yesu yalikuwa sahihi na wala sipingi hilo ila mafundisho yale yalikuwa mepesi sana ambayo mtu yeyote anaweza kuyafundisha. Hebu angalia leo, tumekuwa maarufu hata zaidi yake (Hapo alilitaja kundi lake la muziki the beatles. Ilikuwa mwaka 1966.
Wiki moja baada ya kutamba kwamba yeye na kundi lake lilikuwa maarufu hata zaidi ya Yesu, akapigwa risasi sita na kufariki.
2. TANCREDO NEVES (RAIS WA BRAZIL)
Alisema kwamba endapo angepata kura laki tano kutoka katika uchaguzi mkuu wa Brazil na kuwa rais, hata MUNGU asingeweza kumtoa katika urais huo. Akafanikiwa, akapata kura zaidi ya hizo, akashinda uchaguzi, siku moja kabla ya kuapishwa, akafariki dunia.
3. CAZUZA (MWANAMUZIKI WA BRAZIL)
Alipokuwa katika shoo yake ndani ya jiji la Rio De Janeiro, alichukua sigara, akaanza kuivuta, akachukua nyingine na kisha kuirusha juu na kusema "Mungu, hiyo yako, chukua nawe uvute"
Alifariki akiwa na miaka 32 kwa ugonjwa wa kansa ya mapafu ambayo iliyaharibu sana mapafu yake kuliko mgonjwa yeyote yule.
4. MTENGENEZAJI WA MELI YA TITANIC.
Baada ya kutengeneza meli ya Titanic, mwanahabari akamuuliza ni kwa kiasi gani ilikuwa salama nae akajibu "Ni salama sana, haiwezi kuzama na hata Mungu hawezi kuizamisha"
Nafikiri unajua kilichotokea kuhusu Titanic.
5. BON SCOTT (MUIMBAJI)
Mwimbaji huyu ambaye alitamba miaka ya 70 alitoa wimbo wake mmoja mwaka 1979 wenye maneno haya
"Don't stop me; I'm going down all the way, down the highway to hell'.
Tarehe 19 February mwaka 1980, alikutwa amekufa baada ya kupaliwa na matapishi yake.
6. Mwanamke mmoja alikuwa akihofia sana kuhusu ulevi wa marafiki wa mtoto wake. Wakati wanataka kuondoka na gari, akamshika mtoto wake mkono garini na kumwambia "Binti yangu, Mungu awatangulie katika safari yenu" Yule binti akajibu "Gari imejaa mama, huyo Mungu labda akae kwenye boneti la gari".
Baada ya masafa fulani ya safari yao, gari lile lilipata ajali kiasi ambacho hata polisi hawakujua ni aina gani ya gari lilikuwa. Lilikuwa limebondeka sana na watu wote walikutwa wamekufa. Kilichowashangaza polisi, trey la mayai wala halikuonekana kuguswa na hakuna hata yai moja lililokuwa limevunjika na wakati gari lilibondeka mpaka kutokutambulika.
7. CHRISTINA HEWITT (MWANDISHI WA HABARI)
Huyu alikaririwa akisema hivi "Nimesoma vitabu vyote duniani, ila hakuna kitabu kibaya...kibaya na kibaya kama Biblia"
Siku chache baada ya kusema maneno hayo, mwili wake ulikutwa umeunguzwa na moto ambao haikujulikana mpaka leo ule moto ulisababishwa na nini.
8. MARILYN MONROE (MUIGIZAJI)
Huyu alifuatwa na Bill Graham na kumwambia kwamba alitumwa na Roho wa Mungu kwa ajili ya kumhubiria. Alimkaribisha ndani, akamsikiliza kwa makini, alipomaliza akasema "Simhitaji Yesu wako, unaweza kuondoka nae". Wiki moja baadae, alikutwa amekufa katika makazi yake. Polisi walijaribu kuchunguza kipi kilimuua, mpaka leo hawajapata jibu.
Kwa wale wanaotaka kujua mengi, wafungue GOOGLE na kisha kusearch haya "People who mocked GOD and died" Utasoma mengi tu.
NIMALIZE KWA KUSEMA KWAMBA ULIMI ULIMPONZA KICHWA, SIUNGI MKONO HOJA AMA THREAD ZA NAMNA ILE ZA KUMCHAMBUA MUNGU HEBU TUWE NA KIKOMO. AMA KABLA HUJAANZA KUMKOSOA MUNGU TUFAHAMISHE HASWA JUU YA ELIMU YAKO NA TAALUMA YAKO IKIWA WEWE NI PROFESA AMA MTAALAMU WA ELIMU YA JUU ZAID KUMZID MUNGU HUENDA UKAWA NA NAFASI YA KUMKOSOA IKIWA HUNA TAFADHARI USIJARIBU.
MUNGU hana damu na nyama hata ashindane na mwanadamu wala MUNGU hafi soma katika biblia kitabu cha Mwanzo 6:3, lakini pia Angalia usije siku moja ukafanya dhambi iliyokuu maana haitasameheka kamwe soma katika kitabu cha Marko 3:28-30 na Luka 12:10
maswali yanabiwa ifatavyoHabari wana Jamii..

2 Petro 2:5 naye hakujizuia kuuadhibu ulimwengu wa kale,+ bali alimlinda Noa, mhubiri wa uadilifu,+ akiwa salama pamoja na wengine saba+ alipoleta gharika+ juu ya ulimwengu wa watu wasiomwogopa Mungu;Duuh hii Kali ya mwaka mkuu NUhu alipojenga safina aliwakaribisha watu wakakataa???
Hebu weka wazi hayo umeyatoa wapi
maswali yanabiwa ifatavyo
1.Yehova Mungu aliumba malaika wakamilifu wakiwa na uhuru(utashi) wa kuchagua kama wewe na mimi lakini malaika mmoja alikuza tamaa ya kutaka kuabudiwa kama viumbe wengine ndio akawa mpinga enzi kuu ya Mungu akaitwa shetani.
2.Mungu haishi mafichoni ila ametoa muda wa shetani kushibitisha dai lake kwamba binadamu wanaweza kujiongoza wenyewe lakini mpaka sasa tumejaribu kila aina ya utawala bado ukosefu wa haki, magonjwa, vifo, amani ya akili, chuki n.k. tumeshindwa kuviondoa.Hivi karibuni atawaaribu shetani na waovu wote.
3.Tukumuke vizur baada ya malaika fulani kuasi na kuja kuzaa na wanabinadamu na kuzaa watoto wenye nguvu mno kuliko binadamu Yehova Mungu aliona uasi mkubwa dunia na hivyo akamwagiza Nuhu kujenga safina na ilichukua miaka 40 tangu kuanza kujenga na kuja kwa gharika pia Nuhu walipewa jukumu la kuonya watu kugeuza njia zao mbaya muda wote huu lakini watu waliwacheka sana NDIYO HATA LEO KABLA WATU WATAWACHEKA SANA WATU WA YEHOVA.Yesu alikuja kutukomboa wewe na mimi na tuweze kupata baraka nzuri ya kuishi milele.Yesu ni fidia na damu yake ni fidia ya kutokomboa na kifo.
4.Yehova siku zote anatimiza ahadi zake Safari ya wanaisraeli ni ahadi aliyopewa Ibrahimu hapo kabla hivyo Mungu alikuwa anatimiza ahadi zake.Watu wote waliondolewa ni wale walikuwa wanaabu miungu ya uongo na pia ni fundisho kwamba Mungu anajaki watu wake
na anayo Nguvu nyingi zaidi.
5.Yehova siku zote hutimiza ahadi zake.
6.Baada ya dhambi kila kitu kilikuwa adui wa binadamu lakini Katika paradisho kila kitu kitakuwa rafiki wa binadamu.Soma kitabu cha Isaya.
7.Dunia nzima inatwakaa chini ya yule mwovu hivyo ni vigumu sana kuwa salama kwa sababu shetani hana uwezo wala hawajaliwa watu.
8.Yehova hakuumba viumbe fulani vizuru watu isipokuwa watu walipocha kufuata kanun zake mfano mzuri kutokuwa na usafi wa kimaadili watu wanapata ukimwi.Pia katika siku za mwisho Yesu alitabiri magonjwa yangezuka ambayo hayakuwepo awali.Leo magonjwa mengi yanagunduliwa.
9.Jehanamu ya moto haipo huo ni uongo unaoenezwa na shetani na watu wake na fundisho hilo ninamshushia Mungu heshima SOMA HAPA.
10.Wote tumirithi dhambi lakini Yesu kwa kipindi kifupi alikuwapo hapa dunia alionyesha upendo wa Yehova Mungu wa kuwaponya vipofu na viwete.Hivyo pia katika paradiso hakutakuwa na wenye kasoro tena
Mashahidi wa Yehova wengependa kujifunza Biblia pamoja nawe uelewe vizur kumuhusu YEHOVA Mungu tembelea hapa
ndio sisi hatutambuliki kama wakirsto wa dini za uongo amabao wanafundisha falsafa badala ya biblia takatifu sisi ndio wakristo wa kweli ndio maana tupo tofaut na dini zote za uongoHv unajua nyie mnaojiita mashahidi Wa yehova hamtambuliki kama ni wakristo. Refer kitu kinaitwa cults
Alafu sijaona ulichojibu
pia kutona nilichojibu hakifuti post yangu wataelewa wengine wenye akili zinataka kuelewa wale ambao wanajua Mungu ni mwenye haki sikuzoteHv unajua nyie mnaojiita mashahidi Wa yehova hamtambuliki kama ni wakristo. Refer kitu kinaitwa cults
Alafu sijaona ulichojibu
cults=dhehebuHv unajua nyie mnaojiita mashahidi Wa yehova hamtambuliki kama ni wakristo. Refer kitu kinaitwa cults
Alafu sijaona ulichojibu