Makosa 10 aliyotenda Mungu

Makosa 10 aliyotenda Mungu

Aqua:
umenena vizuri, kwamba roho huwa inaweza kuwa kwenye form yoyote, kwa maana hio roho haina umbo, so haiwezi kuwa na uso.

na pia umesema hili neno "roho ya Mungu" kwa maana hio Mungu anayo roho, sasa kama Mungu ana roho na yeye mwenyewe ni roho huoni kama haileti maana?
mtu au kitu chochote ambacho kina uso basi na umbile pia lipo, kwa hio Mungu analo umbile, na roho ndani yake. na hapo ndipo lile neno la hakuna aliewahi kuuona uso wa Mungu linapotimia.
Tafuta post zangu nilipoongelea mambo ya body,mind and soul,soma ufunuo 4:5(kuna roho saba za Mungu) zinaongelewa utachanganyikiwa zaidi.Mambo ya Mungu si "one stop" huwezi pitia mara moja ukaelewa utapotea nimeshakuambia.Unahitaji muda kujifunza,kama nilivyokwambia ni ngumu kukufundisha kwa kutype na hapa unabahati typying speed yangu iko safi otherwise ungekuwa unajibiwa baada ya masaa.
Nikuulize swali jingine la kukuchanganya zaid tunasema Mungu yupo kila mahali,lakini pia tunasema amekaa mahali pa juu palipoinuka kwenye kiti chake cha enzi.Naye akasema mtanijengea nyumba gani kwani duniani ndiko ninakoweka miguu yangu na mbinguni ndipo palipo na kiti changu cha enzi.Tunasema roho wa Bwana anaishi nadani yetu,je Mungu ana roho ngapi ambazo zitawatoshwa wote wanaomwamini?
Kwa akiri za kibinadamu haiwezekani huyohuyo Mungu akae ndani ya watu na awepo kila mahari na awepo mbinguni.Pia kwa akili za kibinadamu ni ngumu roho moja ikae kwa watu wengi at the same time.Narudia tena unahitaji mafunzo,lakini ujue lisilowezekana kwa wanadamu kwa Mungu linawezekana.
Mwulize Jimema na wewe sasa nakuambia ,huwezi weka maji kwenye glass ilyo na maji tayari.Ni lazima utoe maji yaliyomo ili uweze kuweka maji mengine.For you to receive a new knowledge/perception about God your should remove the existing one.
 
Aqua:
ulianza vizuri unamaliza kwa mikwara na kujisifia. tuishie hapo maana hakuna ulichonifundisha hapo juu.. mimi nipo tayari kudadavua na sio kumezeshwa.. kwa kifupi tufanye umeshinda maana umeshapanic.
 
Aqua:
ulianza vizuri unamaliza kwa mikwara na kujisifia. tuishie hapo maana hakuna ulichonifundisha hapo juu.. mimi nipo tayari kudadavua na sio kumezeshwa.. kwa kifupi tufanye umeshinda maana umeshapanic.
Mkuu mimi sipo hapa kushindana,niko hapa kuelimishwa kwa kadri ninavyojua.Nimekuwa nakuuliza uko mkoa gani haujibu?
Roho yako ni ya thamani,nimekuwa nafuatilia haya mambo nilipata shida mwanzoni kama wasomi wengine nami nikiwa kama msomi.siku zilivyozidi kwenda Mungu akawa ananisaidia nimjue yeye pamoja na njia zake.Kuna watu wanavipaji vya kuongea na hutumia biblia hii kuwapotosha wakristo majina kwani wamegundua hawalijui neno vizuri.
Watu wengi hawafuatilii vitu kwa undani lakini huwezi kujua kitu ukiwa nje,hata wapelelezi wanapotafuta taarifa ni lazima wajichanganye eneo husika kama hakuna means zingine.Sasa the only place to learn about christianity you have to connect yourself with christians.Tofauti na hili utapata elimu ya upotoshaji na kipindi hiki elimu za upotoshaji ni nyingi.
 
maswali yanabiwa ifatavyo
1.Yehova Mungu aliumba malaika wakamilifu wakiwa na uhuru(utashi) wa kuchagua kama wewe na mimi lakini malaika mmoja alikuza tamaa ya kutaka kuabudiwa kama viumbe wengine ndio akawa mpinga enzi kuu ya Mungu akaitwa shetani.

2.Mungu haishi mafichoni ila ametoa muda wa shetani kushibitisha dai lake kwamba binadamu wanaweza kujiongoza wenyewe lakini mpaka sasa tumejaribu kila aina ya utawala bado ukosefu wa haki, magonjwa, vifo, amani ya akili, chuki n.k. tumeshindwa kuviondoa.Hivi karibuni atawaaribu shetani na waovu wote.

3.Tukumuke vizur baada ya malaika fulani kuasi na kuja kuzaa na wanabinadamu na kuzaa watoto wenye nguvu mno kuliko binadamu Yehova Mungu aliona uasi mkubwa dunia na hivyo akamwagiza Nuhu kujenga safina na ilichukua miaka 40 tangu kuanza kujenga na kuja kwa gharika pia Nuhu walipewa jukumu la kuonya watu kugeuza njia zao mbaya muda wote huu lakini watu waliwacheka sana NDIYO HATA LEO KABLA WATU WATAWACHEKA SANA WATU WA YEHOVA.Yesu alikuja kutukomboa wewe na mimi na tuweze kupata baraka nzuri ya kuishi milele.Yesu ni fidia na damu yake ni fidia ya kutokomboa na kifo.

4.Yehova siku zote anatimiza ahadi zake Safari ya wanaisraeli ni ahadi aliyopewa Ibrahimu hapo kabla hivyo Mungu alikuwa anatimiza ahadi zake.Watu wote waliondolewa ni wale walikuwa wanaabu miungu ya uongo na pia ni fundisho kwamba Mungu anajaki watu wake
na anayo Nguvu nyingi zaidi.

5.Yehova siku zote hutimiza ahadi zake.

6.Baada ya dhambi kila kitu kilikuwa adui wa binadamu lakini Katika paradisho kila kitu kitakuwa rafiki wa binadamu.Soma kitabu cha Isaya.

7.Dunia nzima inatwakaa chini ya yule mwovu hivyo ni vigumu sana kuwa salama kwa sababu shetani hana uwezo wala hawajaliwa watu.

8.Yehova hakuumba viumbe fulani vizuru watu isipokuwa watu walipocha kufuata kanun zake mfano mzuri kutokuwa na usafi wa kimaadili watu wanapata ukimwi.Pia katika siku za mwisho Yesu alitabiri magonjwa yangezuka ambayo hayakuwepo awali.Leo magonjwa mengi yanagunduliwa.

9.Jehanamu ya moto haipo huo ni uongo unaoenezwa na shetani na watu wake na fundisho hilo ninamshushia Mungu heshima SOMA HAPA.

10.Wote tumirithi dhambi lakini Yesu kwa kipindi kifupi alikuwapo hapa dunia alionyesha upendo wa Yehova Mungu wa kuwaponya vipofu na viwete.Hivyo pia katika paradiso hakutakuwa na wenye kasoro tena

Mashahidi wa Yehova wengependa kujifunza Biblia pamoja nawe uelewe vizur kumuhusu YEHOVA Mungu tembelea hapa

Kwahiyo wewe unaona Mungu ni Wawakristo tu?

Maana 100% ya hoja zako umetumia doctrine za kikristo,nusu ya dunia iliyobaki ambayo haijawahi kusikia ukristo ni takataka?

Kwanini usijenge hoja zako kwa kutoku-base kwenye particular DINI?

Wana Wasraeli ni wanadamu kama walivyo Wakwere au Wamang'ati au Wamakonde,kwanini huyo Mungu wako wewe anajidhihirisha kwa hao tu?Huu ni ubaguzi.

Hebu tujibie hoja zetu hapa bila kutumia bias ya dini yako
 
In the beginning Man created God. Na hyo mifano ya watu maarufu unaosema wamekufa kisa kumdhihaki Mungu,Si kweli coz vifo vyao medically viko explained.
 
Nilidhani mimi ndio mwenye dhambi kibubu kumbe kuna watu wako hivi. Eeh MUngu uturehemu
 
MUNGU atabaki kuwa MUNGU tu hana mfano wake na hadhihakiwi kumbukeni hekima ya mwanadamu ni upumbavu kwa Mungu!
 
MUNGU atabaki kuwa MUNGU tu hana mfano wake na hadhihakiwi kumbukeni hekima ya mwanadamu ni upumbavu kwa Mungu!

Ww unapingana na bibilia sasa

Natumfanye mwanadamu kwa mfano wetu, kwa mfano Wa mungu akaumwa mwanaume kwa mfano Wa mungu akaumbwa mwanamke
 
Umeandika maelezo marefu sana ila hakuna point hata moja
Na hao uliowataja wamekufa tu kama anavyokufa mtu mwingine yoyote yule
 
nimecheka jamani hii mada asee,kwamba kidole tumbo na chuchu zina kazi gani?😀
 
Ni kweli Mungu atabaki Kuwa Mungu, ukitaka kuchunguza zaidi yatakupata yaliyowapata
 
Kwahiyo wewe unaona Mungu ni Wawakristo tu?

Maana 100% ya hoja zako umetumia doctrine za kikristo,nusu ya dunia iliyobaki ambayo haijawahi kusikia ukristo ni takataka?

Kwanini usijenge hoja zako kwa kutoku-base kwenye particular DINI?

Wana Wasraeli ni wanadamu kama walivyo Wakwere au Wamang'ati au Wamakonde,kwanini huyo Mungu wako wewe anajidhihirisha kwa hao tu?Huu ni ubaguzi.

Hebu tujibie hoja zetu hapa bila kutumia bias ya dini yako
Umeniwahi mkuu...
Ngoja tusubiri majibu..!
 
Mbona wanapatikana Albino kutoka kwa wazazi weusi?
Kwa hiyo ilitokea "albino weusi" wakakusanyika Africa! Albinism is spread all over the world, why this "black albinism is localised?
Mbona wanapatikana Albino kutoka kwa wazazi weusi?
Kwa hiyo "albino weusi" walikuwa walitokana na white ikatokea maajabu wakawa localized in Africa; i.e ina maana (white x white= "black albino") ---------walitokana na white parents and they became localized in Africa.
 
Mimi Mungu ninaye mwamini na kumwabudu hana makosa labda wa kwako.
 
Back
Top Bottom