Aqua
JF-Expert Member
- Jul 23, 2012
- 1,657
- 1,235
Kwa hiyo mkuu hapo unajiona umemaliza yaani umeshinda.Fikiria hii wewe ukiongea ana kwa ana na kipofu je hiyo ni uso kwa uso au si uso kwa uso?Jibu swali langu la msingi.View attachment 378318
ana kwa ana manake uso kwa uso, sasa kama Musa hakuweza kuuona uso wa Mungu, waliwezaje kuongea ana kwa ana?
maana ya ana kwa ana >>>> Search results for ana kwa ana in Swahili | KamusiGOLD