Makosa 10 aliyotenda Mungu

Makosa 10 aliyotenda Mungu

Mkuu Hivo vitu vyote unavyojaribu kutoa mifano Science imevielezea vyema sana kwa kweli sijifikiri hata nikupe uchambuzi kuwa Pumzi tunayovuta na inayofanya tusurvive ni oxygen science ya primary kabisa, Mungu wako hadhibitishikiki kiaina yoyote Sasa ukitolea mifano vitu kama simu naweza kukuchambulia A to Z sasa ww niambie Mungu anafafanaje anaishi wapi?
Ok nimekuelewa mmkuu kwa bahat mbaya mimi sio mtaalamu wa sayansi na ww unaamini katika sayansi ni ngumu sana kukushawishi
 
Ok nimekuelewa mmkuu kwa bahat mbaya mimi sio mtaalamu wa sayansi na ww unaamini katika sayansi ni ngumu sana kukushawishi
Science sio imani mkuu mana kuamini ni fikra ambazo inaweza kuwa kweli au lah je unaamini ukirusha jiwe juu linarudi chini au Ndo uhalisia kuwa jiwe lazima lirudi chini likirushwa juu hii sio imani mkuu ndio uhalisia hauhitaji kuamini au lah bari ndo reality
 
Mungu alupatia uhuru usio na mipaka: Uhuru wa kumwamini na kutomwamini inategemea unautimia vipi. Zaburi moja husema kuwa mpumbavu husema hakuna Mungu yani kuwa kila kitu ulimwenguni kipo tu bila mwanzo wake
 
Waebrania 3:12
[12]Angalieni, ndugu zangu, usiwe katika mmoja wenu moyo mbovu wa kutokuamini, kwa kujitenga na Mungu aliye hai.
 
Mungu hajawahi kuwa na makosa akili za binadamu haziwez kufikia akili ya Mungu .

naona nyuz nying za kumfanya Mungu ni inferior zipo nying ila kumbuka kuna mungu ambaye we ndo mfuas wa akil za binadam
 
nimekuja kushtuka watu wanaomuamini MUNGU ni watu wa waoga wa maswali pengine sababu wapo kwenye dini zao by default hawajui hili wala lile wanakua wakubwa ndo wanshtuka wao ni wakristo/waislamu. Na sio kwamba hawana majibu tu ni kwamba majibu yanayowajia kichwani wanaona kabisa yana uwalakini. na dini zenu zimekataza kuwahukumu watu ila nashangaa huku mnatoa laana tu na kumtishia kifo muandishi je hiyo kwenu sio dhambi? ila kama niliyoyasema ni uongo natoa nafasi kila mtu atoe majibu yake hapa uone yanavyokinzana.
 
USIMDHIHAKI MUNGU HATA KIDOGO, huwezi kufanya conclusion ya kuwa hakuna Mungu kwa kufanya reference ya kitabu kimoja cha DINI, wakati duniani Kuna DINI nyingi sana, UISLAM, BAHAYI, HINDI, nk na bado huwezi kusema Mungu hayupo wakati kunasayari nyingi sana ULIMWENGUNI,vipi kuhusu viumbe wanaoishi sayari nyingine wanamuabudu Nani ? Inamaana wewe unaakili nyingi sana kuliko watu wote wanaomuabudu MUNGU ALIYE HAI, TANZANIA, AFRICA, DUNIANI na SAYARI ZINGINE. Embu achana na hii habari ya MUNGU BABA, ongea kitu kingine.
Yaani natamani aje mtu amjibu huyu jamaa(CHAMITON) kwa facts (Mimi sina) lakini naona wote wanakoment ni wale wale, sijui watu elimu ya dini hatuna au hizo bible na Quran watu tunamezeshwa tu!?
 
Najibu swali lako la 2 mungu aliongea na wana isarael pale mlimani wakiwa na kiongozi wao musa sauti yake ilipelekea watu waogope kumsikiliza ndipo walipo mwambia musa awe ana ongea naye kwa niaba yao ni uongo kusema mungu aja wahi kujitokeza kwa watu wake pia mungu alikuwa ana tembea kwenye bustani ya edeni
 
Najibu swali lako la nne ikumbukwe kulikuwa na njia rahisi ya kuwa fikisha wana wa israel nchi ya ahadi lakini mungu aliwapitisha jangwani lengo nikutaka wamwamini kwani licha ya kuwa jangwani aliweza kuwalisha kuwapa maji na mengine mengi sababu kuu ya kuwapa nchi za watu ilikuwa ni kuwapima imani ikumbukwe wale waapelelezi walio tumwa kwenda kupeleleza wali waogopa kwa kusema ni watu wenye nguvu kuliko wao ila karebo na joshua walikuwa na imani kuwa mungu ange washindia na waka pata kibali machoni pa mungu kuona kanani
 
Kushindwa kujibu haya maswali ni ushahidi tosha kuwa watu hawana uelewa juu ya haya mambo ya kiimani.....bado najiuliza watu wanafundishaje mambo wasiyoyajua???...mtu kwakuwa ni kiongozi wa dini akiulizwa jambo ambalo hajui anaanza kulaani na kuhukumu....kama hujui kaa kimya, omba ufundishwe...viongozi wengi wa kidini wanafanya mabo matano ambayo ni muhimu kwao kujipatia pesa na umaarufu....wanachokifanya ni

1.Kuita watu, mf njoo uokoke, atakama ulitenda dhambi miaka yote, leo unakuwa kiumbe kipya na kupokelewa na Mungu utakuwa mbarikiwa wa Mungu.

2.Wanawachanganya watu ktk mafundisho(confusion), ukitafakari ulichofundishwa kwenye Imani kwa mwaka mzma utagundua hamna kitu kipya ulichojifunza, mengi ni marudio tu ambayo ni confusion.

3.VITISHO: viongozi wengi wa dini wanatumia laana, mateso ya dunia, na moto wa kiama kama silaha ya kutisha waamini.Hapa wamefanikiwa sana kufunga akili za watu hasa ile sehemu inayo husika na kufikiri na kuuliza simply kwakuwa watu wanaogopa mabaya yasiwapate.Lakini hivi vyote ni probability tu, vyaweza kumpata yeyote hata hao viongozi pia.''tumepewa mamlaka ya kufunga na kufungua lolote''...mbona msifungie mabaya na kufungua mema???

4.Kuwaambia watu mambo wayapendayo.Hawa watu wanajua binadamu anapenda nini na hapendi nini, kwahiyo wananenea watu vitu +ve ambavyo vingine haviwezikutokea mf mwaka huu nimeona gari kwenye maisha yako ilihali mnenewa hana kazi ya kujipatia hata 100.

5.Kujikusanyia pesa, wao wanaita sadaka, fungu la 10 au michango ya kuendeleza dini

N:B kauli mbiu yao ni
1.Call them.
2.Confuse them.
3.Terrify them.
4.Talk their likes.
5.Empty thier wallets.
 
Najibu swali lako la 2 mungu aliongea na wana isarael pale mlimani wakiwa na kiongozi wao musa sauti yake ilipelekea watu waogope kumsikiliza ndipo walipo mwambia musa awe ana ongea naye kwa niaba yao ni uongo kusema mungu aja wahi kujitokeza kwa watu wake pia mungu alikuwa ana tembea kwenye bustani ya edeni
Kwanini Babako hatumii vitisho pindi mkutanapo??? kwanini awatishe watu wake???
 
Najibu swali lako la nne ikumbukwe kulikuwa na njia rahisi ya kuwa fikisha wana wa israel nchi ya ahadi lakini mungu aliwapitisha jangwani lengo nikutaka wamwamini kwani licha ya kuwa jangwani aliweza kuwalisha kuwapa maji na mengine mengi sababu kuu ya kuwapa nchi za watu ilikuwa ni kuwapima imani ikumbukwe wale waapelelezi walio tumwa kwenda kupeleleza wali waogopa kwa kusema ni watu wenye nguvu kuliko wao ila karebo na joshua walikuwa na imani kuwa mungu ange washindia na waka pata kibali machoni pa mungu kuona kanani
Hili ni jibu la hovyo kabisa, haliendani na swali!!!
 
Nimeipenda hii post,tafadhari jibuni maswali sio kashfa tuu na mitusi kama ya instagram
 
Kumbuka huyu ni mungu na si binadamu kama mimi na baba yangu wa kibinadamu yeye ni mkuu kumbuka musa alikuwa ana ongea na mungu ana kwa ana isipo kuwa akuweza kumuona uso
 
Mkuu...
Inaonekana wewe ni shabiki wa Kendrick...
Kuna wimbo wa Kendrick anaonekana kama yuko barabarani anatembea alafu kuna watu wanafariki anachofanya yeye ni kurap na kuziangalia zile pipo zilizofariki...
Unaweza kunitajia jina la huo wimbo mkuu..!
Yeah..mi ni mpenzi wa nyimbo zake..unfortunately siifahamu hiyo video..
 
Kumbuka huyu ni mungu na si binadamu kama mimi na baba yangu wa kibinadamu yeye ni mkuu kumbuka musa alikuwa ana ongea na mungu ana kwa ana isipo kuwa akuweza kumuona uso
Screenshot_2016-08-09-09-12-08-1.png

ana kwa ana manake uso kwa uso, sasa kama Musa hakuweza kuuona uso wa Mungu, waliwezaje kuongea ana kwa ana?
maana ya ana kwa ana >>>> Search results for ana kwa ana in Swahili | KamusiGOLD
 
Back
Top Bottom