Makosa 10 aliyotenda Mungu

Makosa 10 aliyotenda Mungu

Mithali 8:17 Nawapenda wale wanipendao, Na wale wanitafutao kwa bidii wataniona.
 
Naongezea tu! Kunaulazima wa kujua mambo sio kuletewa na kumeza kwa kilajambo. NDO MAANA HATUNA WATU WABUNIFU KIZAZI HIKI.ikitokea unataka undani wajambo flan unaonekana mbaya kwasababu sikuhizi vyungu vya watu vimetegeshwa seheme zenye utata.
Uko sahihi kabisa mkuu,watu wanahangaika kujua kazi lakini hawaweki jitihada zozote kumjua Mungu aliyewaumba.
Jitihada binafsi ni muhimu sana,kuna mama mmoja nilikutana naye ameumizwa roho yake hana hamu na watumishi kwa yaliyomkuta.lakini wengi wanaoletewa na kumeza hawataki kutenga muda binafsi kwa ajiri ya kujifunza kuhusu Mungu.
Trust me hatufi mara mbili,we are in death row ,muda huu kuna watu wamefiwa na ndugu zao lakini leo mimi na wewe tuko hai not by chance there is a reason for everything.
Namshukuru Mungu kwamba najitahidi kujifunza na ukitaka kujifunza soma vitabu vya dini zote,ndiyo maana nimewashauri waliko kwenye dini kwa sababu walizaliwa wakajikuta katika hizo dini wafanye kazi ya ziada.Wale mlio christians,tuziangalie njia zetu,je ukifa leo roho yako inakushuhudia utakuwa wapi?
 
kipindi ambacho wewe unaandika kumbuka kuwa kuna watu wanazikwa,kuna watu wanakata kauli yan mtoa roho ananyofoa roho kwa maumivu yasiyo na mfano,kuna watu wapo mochwali,kuna watu wanapoteza viungo,kuna wamama wajawazito wanajifungua muda huu.Mungu anasema ktk quran yeye anahkumu apendavyo.Hivyo vyote tutaviacha duniani tutakwenda kwaMungu tukiwa wenyewe.huwezi kumkosoa Mungu wewe ni kiumbe chake tena dhaifu
Kama ungejua kifo ni haki ya kimsingi ya kila chenye uhai ungeishi kwa amani sana.Kuzaa ni uamuzi wa mtu, kupoteza viungo ni ajali tu, watu wema na waovu wanapitia hayo yote.
 
Kulingana na bible dunia ina miaka isiyozidi 10000, yaana miaka 4000BC, na miaka 2000AD...ebu chakachau akili hapo.
Chamiton nisaidie hiyo refernce ya miaka 4000BC kina nani walianza kuhesabu hiyo ili tuelimishane.Nimekuwa nasoma post zako bado unahitaji kuisoma biblia sana,nitajibu maswali yako muda ukifika.Kwa sasa naomba unijuze walioanza hiyo miaka 4000bc kwenye biblia inapatikana wapi au kama ni vyanzo vingine nisaidie kwani napenda nijifunze pia kutoka kwako.
 
Kasome Luka 3:23 na kuendelea, pale walitrace ukoo wa Yesu kwanzia Yosefu back to Adam. Pale kuna jumla ya vizazi 42, kila kizazi ni miaka 100. Pia tafuta chapisho alililotoa ARC BISHOP USHER ulisome then kama una swali lingine ulete hapa. Ila fanya hayo maelezo hapo juu kwanza!
 
Sijamdhihaki nimesema kweli. Kwani kuna uongo hapo??
"Ukweli" na "uwongo" tofauti yake unaipaje ?
Hii itasaidia kukuonyesha kama ulichosema kina sifa ya kuwa "kweli" au usamehewe tu kwa kuwekeza kwenye uvivu kifikra
 
Ukweli ni kwamba nahitaji majibu juu ya hayo mambo yanayonitatiza.Kama nimewekeza uvivu kwenye fikra, ningehangaika kujiuliza hayo maswali??? maswali au majibu ni matokeo ya kufikiri.
 
Rejea kusoma tena

No fact Hapa naona ufia dini tu
Mungu yuko wazi wewe humuoni tu kwa kuwa macho yako yamepofushwa na dhambi. Pia ujue ya kwamba miaka elfu duniani ni sawa na siku moja mbinguni hv tangu kuumbwa adam hadi leo hii ndio siku ya saba na mda wowote baada ya sabato Yesu yu arejea. Ukiwa na ukimwi unazaa mtoto mwenye ukimwi kwnn dhambi ya Adam isikuhusu? Na kama tangu zama za Adam hadi leo mwanadamu yupo katika mchakato wa siku saba za mauti kwanini asivute mazingira ya kumtilia umauti? Ile dhambi ndio iliyoumba maafa yote uyaonayo na vyote vinavyofisha na kuleta magonjwa. Baada ya siku ya saba dunia na dhambi zake itapigwa kiberiti na kuwa jivu la milele na mbingu mpya na nchi mpya zitakuwepo na zitakaliwa na kuendelezwa na kizazi kipya kilichoingia kwenye safina ya mwanakondoo kukiponya na kiberiti
 
[QUOTE uid=94372 name="Aqua" post= 17095666]Trust me hatufi mara mbili,we are in death row ,muda huu kuna watu wamefiwa na ndugu zao lakini leo mimi na wewe tuko hai not by chance there is a reason for everything.[/QUOTE]
LUKA 13
1Wakati huo watu fulani walikuja, wakamweleza Yesu juu ya watu wa Galilaya ambao Pilato alikuwa amewaua wakati walipokuwa wanachinja wanyama wao wa tambiko.
2Naye Yesu akawaambia, “Mnadhani Wagalilaya hao walikuwa wahalifu kuliko Wagalilaya wengine, ati kwa sababu wameteseka hivyo?
3Nawaambieni hakika sivyo; lakini nanyi, hali kadhalika, msipotubu mtaangamia kama wao.
4Au wale kumi na wanane walioangukiwa na mnara kule Siloamu, wakafa; mnadhani wao walikuwa wakosefu kuliko wengine wote walioishi Yerusalemu?
5Nawaambieni sivyo; lakini nanyi msipotubu, mtaangamia kama wao.”
 
Mkuu usiwe mkali sana na jaribu kupunguza ukali wa maneno hata kama hauamini uwepo wa Mungu.
Pascal aliyetengeneza Pascal programming language alisema "ni bora kuamini kuna Mungu ili hata usipomkuta utakuwa hujapoteza ila ukiamini hayupo then akawepo ni hasara kwako".
Mkuu unachotakiwa kujua Mungu ana utaratibu wake ,ili atende jambo kuna taratibu unatakiwa ufuate.
Wewe unakimbilia kwa wangojwa lakini mbona kuna mambo mengi tu makanisa wanahangaika kutafuta fedha za ujenzi kujenga makanisa kwa ajiri ya kukutana na Mungu.Mungu amgeweza kutenda muujiza wakapata pesa wakajenga lakini kwa nini anaacha watu wanajenga makanisa kwa shida na kuhangaika?
Pole sana kwa yote ambayo umekuwa unaandika lakini ni kwa sababu hujui mwisho wa yote ni nini?Naamini wewe ni msomi na wasomi na wengi hapa JF wasio amini uwepo wa Mungu ni wa somi kwelikweli akiwemo Kiranga.lakini nataka nikwambie kila jambo lina wakati wake kuna mtu amekumention anataka umsaidie kuhusu ndoto aliyo ota.Mimi jambo lile naliangalia tofauti.
Njia sa Mungu si kama za mwanadamu na mawazo yake si kama mawazo yako.Tatizo hamfatilii mambo,kwa mfano tunasema Mungu ni mtakatifu,neno matakati au holy kwa kiebrania maana yake ni "separated"
The Hebrew word for holy is “qodesh” and means “apartness, set-apartness, separateness, sacredness”
Mungu yuko juu sana ya ufahamu wa mwanadamu so nilishawahi kuandika hapa ya kwamba huwezi kuprove uwepo wa Mungu kwa kutumia njia za kianadamu.Hili jibu si langu Mungu mwenyewe alitamka kupitia watumishi wake nikiwa mahali pale.
Nakupa pole kwa sababu hujui nini kinakuja mbele yako kama ambavyo wewe ukimwelezea mtu wa kijijini ambaye hajasoma hata primary athari za global warming au weapons of mass destruction hawezi kukuelewa kwani hana ufahamu wa mambo hayo.The more you become educated the less happy you become,hatujisikii vizuri wewe na wengine wa jamii yako msioamini kwamba kuna Mungu ingawa si lazima uamini ninacho amini mimi you have your rights .
Shetani ni mjanja wewe unataka kutumia elimu ya kibinadamu kuprove kwamba Mungu yupo hiyo ni sawa na gari reprove kwamba kuna mwanadamu yupo wakati mwanadamu ametengeneza gari au robot iprove kwamba kuna mtu.
Ushauri wangu kwako kuwa makini na muda mwingine ni bora kukaa kimya,wanasheria wanasema kutokujua sheria si kigezo cha mtu kusamehewa akivunja sheria.Hii principle ilianza na Mungu whether umelisikia neno lake au la utahukumiwa kwani sheria zake alisha ziandika kwenye mioyo ya wanadamu tangu zamani.Shetani hajalala ,ile njia ni nyembamba na imesomngwa na miiba,waionao ni wachache.
Ukifika muda wa Bwana kukuokoa wewe atakuokoa ,wanadamu hata wakuambie vipi hata tuelezee vipi kama muda bado utaendelea kuwa hivyo ulivyo.Nakuambia haya kwa sababu nnimemwona katika maisha yangu.
Maelezo yako yote yanaonyesha ni jinsi gani usivyofikiri.
 
1.KUMUUMBA SHETANI:
Hili lilikuwa kosa kubwa sana. Makosa yate yamechepuka kutoka hapa. Shetani anawasababishia watu maovu, then Mungu anawahukumu watu dhaifu. Hapa Mungu inambidi amkamate shetani na kumtokomeza ili maovu yaishe, kama wote wanatoshana nguvu basi wasuluhishe ogomvi wao na kupatana ili maisha yawe ya amani.

2.KUISHI MAFICHONI:
Toka enzi na enzi, Mungu amekuwa akiishi mafichoni, kwanini asijitokeze na kujionesha kwa viumbe vyake? Anaishi mafichoni kwani yeye ni Joseph Kony? Hili limepelekea watu wake kudanganywa na manabii wa uongo na kutapeliwa bure. God come from your hidings and reveal yourself to your people.

3.MAFURIKO YA WAKATI WA NUHU:
Mungu alisababisha mafuriko ili kuangamiza watu waovu na kubakiza watu wema, Yes he did, sasa waovu wa leo wametoka wapi? mbona aliuwa watu wengi bila huruma? Kama mafuriko yalikuwa ni suluhisho la maovu, Yesu na mitume walijia nini? It seems he fought effects instead of causes.

4.SAFARI YA WANA WA ISRAELI:
Mungu aliwatoa wana wa Israel kutoka Misri kwa madai ya kuwapa nchi ya ahadi, matokeo yake aliwaamuru wafanye uvamizi wa nchi za watu(mf. waamori, wamoabu na wakanani). Kwanini asingebadilisha jangwa na kuwatengenezea waisraeli nchi yao? mbona Gadaffi aliweza? Imagine waje wapuuzi hapa TZ wachukue nyumba na ardhi kwa madai kwamba wameagizwa na Mungu, ungereact vipi? WE HAVE TO BE FAIR!

5.KUTOTIMIZA AHADI YAKE KWA ABRAHAM:
Mungu alimwambia Abraham kuwa atampatia uzao wa wana wengi kama nyota za angani au mchanga wa pwani. Sasa hivi ukichanganya walio wa Abrahamu na wasiyo wa kwake bado watu hawawezi kuwa sawa na nyota au mchanga wa pwani. Ata ukijumlisha na waliokufa back to Adam. Atatimiza lini hi ahadi? je kuna muda wa kutosha? mbona watumishi wake wanasema Yesu yuu karibu kuja ili kutamatisha nyakati?

6.KUWEPO KWA MZIO(ALLERGY):
Kwanini watu wengi ambao ni wema wana allergy na vitu alivyoumba Mungu? mbona maandiko yanasema kila alichoumba Mungu ni chema? Kwanini aumbe mimea na wanyama wenye sumu kwa watu wake awapendao? au hakujua?

7.MAJANGA ASILIA:
Kama Mungu aliumba dunia ili iwe sehemu ya amani kwa watu wake na wamwabudu yeye, kwani kuna matetemeko ya nchi, vimbunga na mafuriko. Kwani anawauwa watu kikatili hivi? au haya nayo tumsingizie shetani?

8.KUUMBA VIUMBE HATARISHI:
Kwanini Mungu aumbe bacteria, virusi, fangasi na viumbe wengine wanaosababisha magonjwa na kifo? Kwanini hawa viumbe wasingefia kwenye yale mafuriko ya Nuhu ili watu wema alio wabakiza waishi kwa amani? Je hawa viumbe hatari Mungu alimwamuru Nuhu awaingize wawili wawili kwenye safina?

9.JEHANAMU NA MOTO WAKE:
Kwanini Mungu aumbe jehanamu kuteketeza waovu? Kwani hajui kusamehe? Kwanini huruma yake ina kikomo kwa shetani? Kama wewe ni mzazi, mwanao akikukosea na hajaomba msamaha, itabadilisha uhalisia kuwa yule sii mwanao? SHETANI PAMOJA NA WAOVU NI KAZI YA MIKONO YAKE, PRODUCTS OF HIS OWN MIND BEFORE CREATING THEM. So aache kuweka vinyongo na kutamani kulipiza kisasi juu ya kazi yake.

10.KASORO KWENYE MWILI WA BINADAMU:
Kwanini pawepo na mabadiliko hasi kwenye jeni za binadamu(mutation)? kwani hakujua hicho ni chanzo cha viwete??? Kidole tumbo(appendix) ni cha kazi gani? mbona hajatoa maelezo namna ya kukitumia? Na chuchu za mwanaume ni za kazi gani?

TO THE RIGHT WING OR THE LEFT WING WE ARE NEITHER, NOT EVEN AT THE MIDDLE....R.I.P MOBUTU!

===================
Kwa maneno yako haya ya kumkufuru aliyekuumba wewe,kama wewe sio Ibilisi mwenyewe basi ni mwanaye ibilisi katika umbo la kibinadamu.....Usitupotezee muda...
 
usamehewe hata shetani hajawai kosoa uumbaji wa Mungu....kazi zake hazina makosa. laiti macho ya mwanadamu yangefunguliwa kwa dakika moja tu viumbe ambavyo ungeviona sijui kama sekunde 15 ungemaliza ukiwa hai
 
HAWA NI WATU WALIOMDHIHAKI MUNGU NA KUPATWA NA MAJANGA.

1. JOHN LENNON (MUIMBAJI)

Wakati alipokuwa akihojiwa na mwandishi wa habari wa gazeti la American alinukuliwa akisema hivi "Ukristo utakufa na kutoweka duniani, siwezi kuwa na wasiwasi na hilo kwa kuwa nina uhakika nalo. Mafundisho ya Yesu yalikuwa sahihi na wala sipingi hilo ila mafundisho yale yalikuwa mepesi sana ambayo mtu yeyote anaweza kuyafundisha. Hebu angalia leo, tumekuwa maarufu hata zaidi yake (Hapo alilitaja kundi lake la muziki the beatles. Ilikuwa mwaka 1966.
Wiki moja baada ya kutamba kwamba yeye na kundi lake lilikuwa maarufu hata zaidi ya Yesu, akapigwa risasi sita na kufariki.

2. TANCREDO NEVES (RAIS WA BRAZIL)

Alisema kwamba endapo angepata kura laki tano kutoka katika uchaguzi mkuu wa Brazil na kuwa rais, hata MUNGU asingeweza kumtoa katika urais huo. Akafanikiwa, akapata kura zaidi ya hizo, akashinda uchaguzi, siku moja kabla ya kuapishwa, akafariki dunia.

3. CAZUZA (MWANAMUZIKI WA BRAZIL)

Alipokuwa katika shoo yake ndani ya jiji la Rio De Janeiro, alichukua sigara, akaanza kuivuta, akachukua nyingine na kisha kuirusha juu na kusema "Mungu, hiyo yako, chukua nawe uvute"
Alifariki akiwa na miaka 32 kwa ugonjwa wa kansa ya mapafu ambayo iliyaharibu sana mapafu yake kuliko mgonjwa yeyote yule.

4. MTENGENEZAJI WA MELI YA TITANIC.

Baada ya kutengeneza meli ya Titanic, mwanahabari akamuuliza ni kwa kiasi gani ilikuwa salama nae akajibu "Ni salama sana, haiwezi kuzama na hata Mungu hawezi kuizamisha"
Nafikiri unajua kilichotokea kuhusu Titanic.

5. BON SCOTT (MUIMBAJI)

Mwimbaji huyu ambaye alitamba miaka ya 70 alitoa wimbo wake mmoja mwaka 1979 wenye maneno haya
"Don't stop me; I'm going down all the way, down the highway to hell'.
Tarehe 19 February mwaka 1980, alikutwa amekufa baada ya kupaliwa na matapishi yake.

6. Mwanamke mmoja alikuwa akihofia sana kuhusu ulevi wa marafiki wa mtoto wake. Wakati wanataka kuondoka na gari, akamshika mtoto wake mkono garini na kumwambia "Binti yangu, Mungu awatangulie katika safari yenu" Yule binti akajibu "Gari imejaa mama, huyo Mungu labda akae kwenye boneti la gari".
Baada ya masafa fulani ya safari yao, gari lile lilipata ajali kiasi ambacho hata polisi hawakujua ni aina gani ya gari lilikuwa. Lilikuwa limebondeka sana na watu wote walikutwa wamekufa. Kilichowashangaza polisi, trey la mayai wala halikuonekana kuguswa na hakuna hata yai moja lililokuwa limevunjika na wakati gari lilibondeka mpaka kutokutambulika.

7. CHRISTINA HEWITT (MWANDISHI WA HABARI)

Huyu alikaririwa akisema hivi "Nimesoma vitabu vyote duniani, ila hakuna kitabu kibaya...kibaya na kibaya kama Biblia"
Siku chache baada ya kusema maneno hayo, mwili wake ulikutwa umeunguzwa na moto ambao haikujulikana mpaka leo ule moto ulisababishwa na nini.

8. MARILYN MONROE (MUIGIZAJI)

Huyu alifuatwa na Bill Graham na kumwambia kwamba alitumwa na Roho wa Mungu kwa ajili ya kumhubiria. Alimkaribisha ndani, akamsikiliza kwa makini, alipomaliza akasema "Simhitaji Yesu wako, unaweza kuondoka nae". Wiki moja baadae, alikutwa amekufa katika makazi yake. Polisi walijaribu kuchunguza kipi kilimuua, mpaka leo hawajapata jibu.

Kwa wale wanaotaka kujua mengi, wafungue GOOGLE na kisha kusearch haya "People who mocked GOD and died" Utasoma mengi tu.

TUKUMBUKE KUWA HAIJALISHI UTOFAUTI WETU BINADAMU WA IMANI ZETU KATIKA DINI MBALI MBALI, LAKINI MWISHO WA SIKU KILA MTU ANAKILI MUNGU YUPO NA NI MKUU NA MUWEZA WA VYOTE NA ALIUMBA VYOTE, JARIBU KUWAZA NI VIPI ALIUMBA MBINGU PASIPO NGUZO ZA KUSHIKIA, NI VIPI ALITENGANISHA ANGA NA ARDHI NA NI VIPI ALIUMBA JUA NA KULIWEKA MBALI NA MWANADAMU ILI LISIMDHULU? KITU CHA MWISHO JARIBU KUFIKILI HIYO PUMZI UNAYOVUTA SASA INATOKA WAPI? UNAPOLALA JE UNAJUA UTAAMKA? AMA UNAEZA KULALA UKAPILIZIA HUKO HUKO MOJA KWA MOJA,JE UNAFAHAMU IDADI HARISI YA MUDA WAKO WA UHAI DUNIANI? JE WEWE NI NANI HATA KUJUA ZAID YA MUNGU? JE WEWE UNAELIMU GANI KUBWA ZAID YA MUNGU? KWA LEO NIISHIE HAPA LAKIN SIKU NYINGINE NITAKUJA KUWAELEZA KISA KILICHOSABABISHA KUZAMA KWA MELI KUBWA KULIKO ZOTE DUNIANI "TITANIC"
 
Habari wana Jamii..
Kwa masikitiko makubwa nimeamua kuandika uzii huu huku nikiwa na woga na hofu ya juu kwasababu ya Mada nitakayozungumzia haikufaa kuchambuliwa maana haichambuliki na ni makosa makubwa.
Kuna bwana mmoja ndani ya chumba chetu hiki cha wanaIntelligesia aliweka uzi ukisema "MAKOSA 10 ALIYOTENDA MUNGU"
Na akayaelezea ifuatavyo:-

"(1.KUMUUMBA SHETANI
Hili lilikuwa kosa kubwa sana. Makosa yate yamechepuka kutoka hapa. Shetani anawasababishia watu maovu, then Mungu anawahukumu watu dhaifu. Hapa Mungu inambidi amkamate shetani na kumtokomeza ili maovu yaishe, kama wote wanatoshana nguvu basi wasuluhishe ogomvi wao na kupatana ili maisha yawe ya amani.

2.KUISHI MAFICHONI
Toka enzi na enzi, Mungu amekuwa akiishi mafichoni, kwanini asijitokeze na kujionesha kwa viumbe vyake? Anaishi mafichoni kwani yeye ni Joseph Kony? Hili limepelekea watu wake kudanganywa na manabii wa uongo na kutapeliwa bure. God come from your hidings and reveal yourself to your people.

3.MAFURIKO YA WAKATI WA NUHU
Mungu alisababisha mafuriko ili kuangamiza watu waovu na kubakiza watu wema, Yes he did, sasa waovu wa leo wametoka wapi? mbona aliuwa watu wengi bila huruma? Kama mafuriko yalikuwa ni suluhisho la maovu, Yesu na mitume walijia nini? It seems he fought effects instead of causes.

4.SAFARI YA WANA WA ISRAELI
Mungu aliwatoa wana wa Israel kutoka Misri kwa madai ya kuwapa nchi ya ahadi, matokeo yake aliwaamuru wafanye uvamizi wa nchi za watu(mf. waamori, wamoabu na wakanani). Kwanini asingebadilisha jangwa na kuwatengenezea waisraeli nchi yao? mbona Gadaffi aliweza? Imagine waje wapuuzi hapa TZ wachukue nyumba na ardhi kwa madai kwamba wameagizwa na Mungu, ungereact vipi? WE HAVE TO BE FAIR!

5.KUTOTIMIZA AHADI YAKE KWA ABRAHAM:Mungu alimwambia Abraham kuwa atampatia uzao wa wana wengi kama nyota za angani au mchanga wa pwani. Sasa hivi ukichanganya walio wa Abrahamu na wasiyo wa kwake bado watu hawawezi kuwa sawa na nyota au mchanga wa pwani. Ata ukijumlisha na waliokufa back to Adam. Atatimiza lini hi ahadi? je kuna muda wa kutosha? mbona watumishi wake wanasema Yesu yuu karibu kuja ili kutamatisha nyakati?

6.KUWEPO KWA MZIO(ALLERGY)
Kwanini watu wengi ambao ni wema wana allergy na vitu alivyoumba Mungu? mbona maandiko yanasema kila alichoumba Mungu ni chema? Kwanini aumbe mimea na wanyama wenye sumu kwa watu wake awapendao? au hakujua?

7.MAJANGA ASILIA:
Kama Mungu aliumba dunia ili iwe sehemu ya amani kwa watu wake na wamwabudu yeye, kwani kuna matetemeko ya nchi, vimbunga na mafuriko. Kwani anawauwa watu kikatili hivi? au haya nayo tumsingizie shetani?

8.KUUMBA VIUMBE HATARISHI
Kwanini Mungu aumbe bacteria, virusi, fangasi na viumbe wengine wanaosababisha magonjwa na kifo? Kwanini hawa viumbe wasingefia kwenye yale mafuriko ya Nuhu ili watu wema alio wabakiza waishi kwa amani? Je hawa viumbe hatari Mungu alimwamuru Nuhu again fuze wawili wawili kwenye safina?

9.JEHANAMU NA MOTO WAKE:
Kwanini Mungu aumbe jehanamu kuteketeza waovu? Kwani hajui kusamehe? Kwanini huruma yake ina kikomo kwa shetani? Kama wewe ni mzazi, mwanao akikukosea na hajaomba msamaha, itabadilisha uhalisia kuwa yule sii mwanao? SHETANI PAMOJA NA WAOVU NI KAZI YA MIKONO YAKE, PRODUCTS OF HIS OWN MIND BEFORE CREATING THEM. So aache kuweka vinyongo na kutamani kulipiza kisasi juu ya kazi yake.

10.KASORO KWENYE MWILI WA BINADAMU:>Kwanini pawepo na mabadiliko hasi kwenye jeni za binadamu(mutation)? kwani hakujua hicho ni chanzo cha viwete??? Kidole tumbo(appendix) ni cha kazi gani? mbona hajatoa maelezo namna ya kukitumia? Na chuchu za mwanaume ni za kazi gani? )"
MWISHO WA KUNUKUU.

Naomba niseme kitu japokuwa tunauhuru wa kusema chochote hebu tuwe tunajitahadhari maana wakati mwingine ulimi uliponza kichwa MUNGU si mwanadamu na MUNGU hafikiliki kilahisi jinsi hiyo. Hata kipindi cha Nuhu MUNGU baada ya kumwambia Nuhu atengeneze safina watu wengine wlikua wakimcheka Nuhu kwa kile alichokuwa akifanya na hata kipindi cha mvua kilipokaribia aliwaita waingie ila walikataa na ku mkashfu vilevile lakini mwisho wake wote tunafahamu ilikuaje.
TUKUMBUKE KUWA HAIJALISHI UTOFAUTI WETU BINADAMU WA IMANI ZETU KATIKA DINI MBALI MBALI, LAKINI MWISHO WA SIKU KILA MTU ANAKILI MUNGU YUPO NA NI MKUU NA MUWEZA WA VYOTE NA ALIUMBA VYOTE, JARIBU KUWAZA NI VIPI ALIUMBA MBINGU PASIPO NGUZO ZA KUSHIKIA, NI VIPI ALITENGANISHA ANGA NA ARDHI NA NI VIPI ALIUMBA JUA NA KULIWEKA MBALI NA MWANADAMU ILI LISIMDHULU? KITU CHA MWISHO JARIBU KUFIKILI HIYO PUMZI UNAYOVUTA SASA INATOKA WAPI? UNAPOLALA JE UNAJUA UTAAMKA? AMA UNAEZA KULALA UKAPILIZIA HUKO HUKO MOJA KWA MOJA,JE UNAFAHAMU IDADI HARISI YA MUDA WAKO WA UHAI DUNIANI? JE WEWE NI NANI HATA KUJUA ZAID YA MUNGU? JE WEWE UNA ELIMU GANI KUBWA ZAID YA MUNGU?.
Sasa hebu ngoja nitoe mfano mdogo wa watu waliowahi kutoa kufuru kwa Mungu kwa kujiona wao wanajua zaid na ni wajuzi zaid ya MUNGU halafu tutajifunza kupitia hapo

HAWA NI WATU WALIOMDHIHAKI MUNGU NA KUPATWA NA MAJANGA.

1. JOHN LENNON (MUIMBAJI)

Wakati alipokuwa akihojiwa na mwandishi wa habari wa gazeti la American alinukuliwa akisema hivi "Ukristo utakufa na kutoweka duniani, siwezi kuwa na wasiwasi na hilo kwa kuwa nina uhakika nalo. Mafundisho ya Yesu yalikuwa sahihi na wala sipingi hilo ila mafundisho yale yalikuwa mepesi sana ambayo mtu yeyote anaweza kuyafundisha. Hebu angalia leo, tumekuwa maarufu hata zaidi yake (Hapo alilitaja kundi lake la muziki the beatles. Ilikuwa mwaka 1966.
Wiki moja baada ya kutamba kwamba yeye na kundi lake lilikuwa maarufu hata zaidi ya Yesu, akapigwa risasi sita na kufariki.

2. TANCREDO NEVES (RAIS WA BRAZIL)

Alisema kwamba endapo angepata kura laki tano kutoka katika uchaguzi mkuu wa Brazil na kuwa rais, hata MUNGU asingeweza kumtoa katika urais huo. Akafanikiwa, akapata kura zaidi ya hizo, akashinda uchaguzi, siku moja kabla ya kuapishwa, akafariki dunia.

3. CAZUZA (MWANAMUZIKI WA BRAZIL)

Alipokuwa katika shoo yake ndani ya jiji la Rio De Janeiro, alichukua sigara, akaanza kuivuta, akachukua nyingine na kisha kuirusha juu na kusema "Mungu, hiyo yako, chukua nawe uvute"
Alifariki akiwa na miaka 32 kwa ugonjwa wa kansa ya mapafu ambayo iliyaharibu sana mapafu yake kuliko mgonjwa yeyote yule.

4. MTENGENEZAJI WA MELI YA TITANIC.

Baada ya kutengeneza meli ya Titanic, mwanahabari akamuuliza ni kwa kiasi gani ilikuwa salama nae akajibu "Ni salama sana, haiwezi kuzama na hata Mungu hawezi kuizamisha"
Nafikiri unajua kilichotokea kuhusu Titanic.

5. BON SCOTT (MUIMBAJI)

Mwimbaji huyu ambaye alitamba miaka ya 70 alitoa wimbo wake mmoja mwaka 1979 wenye maneno haya
"Don't stop me; I'm going down all the way, down the highway to hell'.
Tarehe 19 February mwaka 1980, alikutwa amekufa baada ya kupaliwa na matapishi yake.

6. Mwanamke mmoja alikuwa akihofia sana kuhusu ulevi wa marafiki wa mtoto wake. Wakati wanataka kuondoka na gari, akamshika mtoto wake mkono garini na kumwambia "Binti yangu, Mungu awatangulie katika safari yenu" Yule binti akajibu "Gari imejaa mama, huyo Mungu labda akae kwenye boneti la gari".
Baada ya masafa fulani ya safari yao, gari lile lilipata ajali kiasi ambacho hata polisi hawakujua ni aina gani ya gari lilikuwa. Lilikuwa limebondeka sana na watu wote walikutwa wamekufa. Kilichowashangaza polisi, trey la mayai wala halikuonekana kuguswa na hakuna hata yai moja lililokuwa limevunjika na wakati gari lilibondeka mpaka kutokutambulika.

7. CHRISTINA HEWITT (MWANDISHI WA HABARI)

Huyu alikaririwa akisema hivi "Nimesoma vitabu vyote duniani, ila hakuna kitabu kibaya...kibaya na kibaya kama Biblia"
Siku chache baada ya kusema maneno hayo, mwili wake ulikutwa umeunguzwa na moto ambao haikujulikana mpaka leo ule moto ulisababishwa na nini.

8. MARILYN MONROE (MUIGIZAJI)

Huyu alifuatwa na Bill Graham na kumwambia kwamba alitumwa na Roho wa Mungu kwa ajili ya kumhubiria. Alimkaribisha ndani, akamsikiliza kwa makini, alipomaliza akasema "Simhitaji Yesu wako, unaweza kuondoka nae". Wiki moja baadae, alikutwa amekufa katika makazi yake. Polisi walijaribu kuchunguza kipi kilimuua, mpaka leo hawajapata jibu.

Kwa wale wanaotaka kujua mengi, wafungue GOOGLE na kisha kusearch haya "People who mocked GOD and died" Utasoma mengi tu.

NIMALIZE KWA KUSEMA KWAMBA ULIMI ULIMPONZA KICHWA, SIUNGI MKONO HOJA AMA THREAD ZA NAMNA ILE ZA KUMCHAMBUA MUNGU HEBU TUWE NA KIKOMO. AMA KABLA HUJAANZA KUMKOSOA MUNGU TUFAHAMISHE HASWA JUU YA ELIMU YAKO NA TAALUMA YAKO IKIWA WEWE NI PROFESA AMA MTAALAMU WA ELIMU YA JUU ZAID KUMZID MUNGU HUENDA UKAWA NA NAFASI YA KUMKOSOA IKIWA HUNA TAFADHARI USIJARIBU.

MUNGU hana damu na nyama hata ashindane na mwanadamu wala MUNGU hafi soma katika biblia kitabu cha Mwanzo 6:3, lakini pia Angalia usije siku moja ukafanya dhambi iliyokuu maana haitasameheka kamwe soma katika kitabu cha Marko 3:28-30 na Luka 12:10
 
Mkuu ebu shughulisha kidogo akili yako umeongea Pointless kabisa hio mifano imekwisha sambaza sana wana propaganda wa dini aka wafia dini hamna lolote nyie kama Mungu angekuwepo angeingamiza America ambapo nusu ya taifa lile ni wasiomuamini na kumejaa starehe za kila namna. Mungu nu kwa maskini haswa afrika kwa nia ya kujifariji mnajitoa akili sana kuliko hata hao walio waletea hizo imani kwa nia ya kuwatawala
 
Back
Top Bottom