Makosa 10 aliyotenda Mungu

Makosa 10 aliyotenda Mungu

Rejea post # 3060 utaona mwenyewe.....
Hamuna proof hapo. Nina shaka hata kama unaelewa maana ya proof.

Wewe ni punguani.

Unalazimisha 1=2 kama unavyolazimisha Mungu yupo.

Vyote huwezi ku prove.
 
Hamuna proof hapo. Nina shaka hata kama unaelewa maana ya proof.

Wewe ni punguani.

Unalazimisha 1=2 kama unavyolazimisha Mungu yupo.

Vyote huwezi ku prove.
Nacheka sana. Wewe unaweza hata kujikataa.

Sasa tusiende kitoto au kama vijana wa kijiweni.

Swali linasema nionyeshe 1=2. Kwanza kaa ukijua hizo ni namba wala si machungwa kwa maana as variables fulani.

Pili,hujakosoa wapi nimekosea na uwezo huo huna. Sababu nimechunga kanuni zote za mahesabu.

Sasa narudi kwako bro,onyesha ni kwanini unasema sija prove chochote ?

Sitaki habari za oooh huwezi kadhaa mara ooh huja prove hapo. Nataka hoja za kielimu.
 
Sina pa kukosoa kwa sababu hata ku prove hujaanza.

Mathematical proof inafanywa kwa mathematical equations.

Sio longolongo.
 
Hamuna proof hapo. Nina shaka hata kama unaelewa maana ya proof.

Wewe ni punguani.

Unalazimisha 1=2 kama unavyolazimisha Mungu yupo.

Vyote huwezi ku prove.

Kaka usipende kupoteza muda na kuuliza maswali ya kijinga. Nani asie jua maana ya proof ?

Kosoa ithibati yangu juu ya ukweli wa hiyo mathematical statement.

Nasubiri jibu.....
 
Sina pa kukosoa kwa sababu hata ku prove hujaanza.

Mathematical proof inafanywa kwa mathematical equations.

Sio longolongo.
Bro ina maana hujaona mathematical equations kwenye attachment yangu hapo post # 3060....?
 
Hakuna anayeweza kuthibitisha Mungu mjuzibwa yote, mwenye uwezo wote na uoendo wote yupo.

Kwa sababu Mungu huyo hayupo.

Na kama mtu anabisha, athibitishe huyo Mungu yupo.
Wewe unataka uthibitishiwe Mungu mjuzi wa yote,upendo wote na uwezo wote? Au unataka uthibitishiwe Mungu mjuzi wa yote,upendo wote,uwezo wote HALAFU tena uthibitishiwe kuwa Mungu huyo ndiyo kaumba huu ulimwengu?
 
Yeyote yule.
 
Bro ina maana hujaona mathematical equations kwenye attachment yangu hapo post # 3060....?
Hiyo hesabu niliifanya nikiwa form one.

Ina makosa, ina division by zero. It is an old and tired trick, a mathematical sleight of hand.

Kwenye hesabu hakuna division by zero.

If a= b, then a-b =0.

Unapo cancel (a-b) both sides, umefanya division by (a-b) both sides.

But a-b = 0, umefanya division by zero, kitu ambacho hakiruhusiwi katika hesabu

Ndiyo maana unaweza kuwachota wajinga wasiojua hesabu kwamba ume prove 1=2.

Ukifanya hesabu ya divison by zero kwenye algebra, any number is equal to any number, ndiyo maana hairuhusiwi.

Acha kukariri.
screenshot_20181011-123809-jpeg.894545
 
Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote aliyeuumba ulimwengu huu, hayupo. Ni dhana potofu tu.

Ni dhana potofu kwa sababu ina contradiction. Contradiction ni kitu kujipinga chenyewe kwa namna ambayo haiwezekaniki kuwa katika uhalisi wa ukweli. Mathalani, nikisema pembetatu haiwezi kuwa duara na duara haliwezi kuwa pembetatu katika Euclidean geometry, halafu nikasema kuna pembetatu ambayo ni duara hapo hapo, katika Euclidean geometry, pembetatu hiyo ambayo ni duara hapo hapo haiwezi kuwepo, dhana ya kuwepo kwa hiyo pembetatu ambayo hapo hapo ni duara ina contradiction. Hivyo pembetatu duara hiyo haiwezi kuwepo.

Mungu naye ni kama pembetatu duara.

Upande mmoja tunaambiwa ana uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote (pembetatu). Upande mwingine tunaambiwa kauumba ulimwengu huu unaoweza kuwa na mabaya, licha ya ujuzi wake wote, uwezo wake wote na upendo wake wote (duara).

Kwa nini hakuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezi kutokea? Ulimwengiu huo ungekuwa logically consistent na upendo wake. Usingekuwa na contradiction.

Huu ulimwengu tunaouona, ambao mabaya yanaweza kutokea, unam contradict huyo Mungu.

Kuamini Mungu huyo yupo, ni sawa na kuamini kwamba kuna pembetatu ambayo hapo hapo ni duara katika Euclidean geometry planes.

Haipo, haiwezi kuwepo, kwa sababu ina an inherrent contradiction.

Mungu huyo naye hayupo kama hiyo pembetatu duara.

Kwa sababu dhana ya kuwepo kwake ina an inherrent contradiction.
exactly wallah
 
Yeyote yule.
Yeyote yule ndio nini?au haujaelewa swali?

Unataka uthibitishiwe Mungu mwenye upendo wote,ujuzi wote na upendo wote? Au unataka uthibitishiwe Mungu mwenye uwezo wote,ujuzi wote na upendo wote Halafu uthibitishiwe Mungu huyo ndio kaumba ulimwengu huu?

Hapo kuna kuthibitishiwa uwepo wa Mungu mwenye upendo,ujuzi na uwezo wote,na kuna kuthibitishiwa Mungu huyo kuwa ndiye aliyeumba huu ulimwengu.
 
Thibitisha vyote unavyoweza.

Najua huwezi chochote sitaki kukufunga uzio.
 
Ndugu yangu Oltung'anyi.,

Unaposema kuwa "hakuna baba Mokaze bila Mokaze", hiyo ni kauli tata (ambiguous sentence) ambayo inahitaji ufafanuzi ili ieleweke, na mimi nitakusaidia kuifafanua, mfano Baba mokaze anaitwa Rashid, kwa hiyo unaposema hakuna baba Mokaze bila Mokaze kwa maana ya Rashid, hapo siyo kweli, kwani Rashid atabaki kuwa Rashid regardless of Mokaze yaani Mokaze na Rashid ni entities mbili tofauti (personification) na Rashid alikuwepo kabla ya Mokaze, Lakini ukisema hakuna Baba Mokaze bila Mokaze kwa maana ya Majina (identification) kwamba Baba Mokaze ndiye alimzaa Mokaze, hapo upo sahihi.

Na mimi ninamzungumzia Mungu kama "independent entity" (nafsi inayojitegemea) na siyo identification ya majina. Naye Mungu alikuwepo kabla ya chochote na atabaki kuwepo hata baada ya vyote kuondoka.

Unauliza tena swali lilelile kwamba;- " katika hali yako (yangu) ya kutokuwepo kipi hasa kipo"---- labda hapo ungefafanua, kipi kipo wapi??, lakini lazima ujue tunazungumzia juu ya "medium" ya hapa duniani, hivyo tunaposema kuwepo kwa kitu maana yake ni kuwepo hapa duniani tunapoishi na si mahali pengine.

Sasa katika hali ya mtu kutokuwepo, vitu na watu wanakuwepo/watakuwepo, mfano kabla hujazaliwa (hukuwepo) lakini dunia na vilivyomo ilikuwepo, wazazi wako walikuwepo, na tunaona kila siku ndugu na jamaa zetu wakifariki na sisi pia tutafariki (kutokuwepo) lakini "they leave behind" dunia na vilivyomo na watu nk.vikiwepo.

Hivyo kuwepo na kutokuwepo kwetu hakuna mahusiano/effect yoyote na kuwepo au kutokuwepo kwa vitu vingine.

Bottom line:- Mungu yupo na kuwepo kwake haku athiriwi na kuwepo au kutokuwepo kwa vitu vingine isipokuwa hivyo vitu vinaonyesha "utambulisho" wa Mungu kwa sababu ni yeye aliyeviumba na Yeye alikuwepo kabla vitu hivyo kuwepo.

Ndugu yangu Oltung'anyi tafakari sana juu ya maneno hayo.
Asante ndugu yangu kwa majibu yako. Ila, nafikiri bado hatujaelewana mahali. Kama wewe usingekuwepo, unadhani ni kwa namna gani ungetambua kuwa Rashid (Baba Mokaze) yupo? Pili, uwepo wako ndio unaokusaidia kujua kuwa dunia ilikuwepo na itaendelea kuwepo hata baada ya kutokuwepo kwako. Msingi wa yote haya ni hali yako ya kuwepo.

Kwa hiyo kila kitu kinaanza na uwepo wako. Mungu mwenye uwezo hakuweza hata kujitambulisha kwako kabla ya wewe kuwepo. Hii inamaana kuwa, kama si kuwepo kwako, kusingekaa kuwepo kwa Mungu na dunia kwa ujumla. Uwepo wako ndio wenye thamani kuliko kitu chochote kile. Ndio maana tuna wajibu wa kulinda uhai kwa kila hali.
 
Umeona mtu analazimisha 1=2 kwa division by zero?

No wonder mtu kama huyu anaamini Mungu wa contradiction!
una mwambia mtu thibitisha kama kuna Mungu muweza wa yote .Mwenye upendo kwa wote " na mjuzi wa yote".... Ajabu mtu badala ya kujibu hoja anaanza kuleta mahubiri.. hapa ndipo palipo nifanya niache kufanya debate na hawa watu
 
Anakwambia Mungu yupo, kwa sababu namuamini.

Hahaaaaa!
 
Thibitisha vyote unavyoweza.

Najua huwezi chochote sitaki kukufunga uzio.
Kwa kauli hiyo maana yake unakubali kuwa inawezekana kuwepo Mungu mwenye uwezo wote,ujuzi wote,upendo wote Na hali ya kuwa na huu na ukawepo?
 
Kwa kauli hiyo maana yake unakubali kuwa inawezekana kuwepo Mungu mwenye uwezo wote,ujuzi wote,upendo wote Na hali ya kuwa na huu na ukawepo?
Unaelewa kwamba ukisema inawezekana hapohapopia umesema inawezekana isiwezekane?

Wewew thibitisha Mungu yupo, ukithibitisha sina budi kukukubalia.

Thibitisha.
 
Back
Top Bottom