Tz mbongo
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 15,096
- 8,902
Tatizo sio kuthibitisha kuwepo Mungu,tatizo msingi wa hoja yako kusema hakuna Mungu ni kuwepo huu ulimwengu kwa maana haiwezekani kuwepo huyo Mungu na huu ulimwengu kwa pamoja.Unaelewa kwamba ukisema inawezekana hapohapopia umesema inawezekana isiwezekane?
Wewew thibitisha Mungu yupo, ukithibitisha sina budi kukukubalia.
Thibitisha.
Ndiyo maana nikakwambia kuna kuthibitishiwa kuwepo huyo Mungu na pili kuthibitishiwa huyo Mungu kuwa ndiye kaumba huu ulimwengu.