Barya
JF-Expert Member
- May 5, 2012
- 949
- 1,196
HakikaUngeweka kwanza makosa yako ingekuwa vizuri.
HakikaUngeweka kwanza makosa yako ingekuwa vizuri.
Unajua kusoma?Wewe ushasema Mungu angekuwepo huu ulimwengu usingekuwepo,sasa hata ukithibitishiwa Mungu na huu ulimwengu utauzungumziaje tena?
Ad hominem fuckery.
Hujasoma Marekani hata kukuelezea habari zangu mzigo.
Acha shobo, sitaki shombo kwenye chombo.
Hujathibitisha Mungu yupo.
Acha uongo Shetani hajaumbwa. wakati mtu kwenye familia kazaliwa akiwa mwema huwezi sema familia imemzaa mwizi. swala rahisi tu hapo. usipotoshe
Ni wewe ndiye unayesema huu ulimwengu usingekuwepo kama Mungu angekuwepo,kwa maana huu ulimwengu upo kwa sababu Mungu hayupo.Unajua kusoma?
Wewe unayetaka kuthibitisha Mungu yupo ndiye una kazi ya kuelezea inakuwaje Mungu yupo, halafu huu ulimwengu nao upo.
Sasa unataka kunipa kazi hiyo mimi?
Wwewe unasema 1 + 1 ni 5.
Mimi nakwambia hiyo hesabu imekosewa, base ten math 1 + 1 = 2.
Wwewe unashikilia 1 + 1 = 5.
Nakwambia thibitisha 1 + 1 = 5, huwezi.
Halafu unaniuliza "wewe ushasema 1 + 1 haiwezi kuwa 5, sasa hata nikikuthibitishia 1 + 1 = 5, hilo jibu utalizungumziaje tena"
Nakwambia thibitisha kwanza, halafu mengine tuongee baada ya kuthibitisha.
Na kuelezea inakuwaje 1 +1 = 5 ni sehemu ya uthibitisho wako, usinipe kazi hiyo mimi, mimi sijasema 1 +1 = 5.
Kuelezea inakuwaje Mungu huyo yupo na ulimwengu huu upo ni sehemu ya uthibitisho wako, usinipe kazi hiyo mimi.
Thibitisha Mungu yupo.
Usilete mazingaombwe ya kunitaka mimi nithibitishe kitu ambacho sikikubali.
Duh! basi hata hii Jf nayo atakuwa aliumba yeye Mungu?Inategemea reference yako ni nini, reference yangu inaniambia Mungu aliumba kila kila kitu kilichomo duniani na ulimwengu, maana yake mpaka shetani.
wewe sema kama hakuumbwa alitokelezeaje?
watu ka ninyi ndo mnatuleteaga majanga hapa nchini, uchumi wananchi wanalia, kutekanatekana,kuana na kutishana tishana1.KUMUUMBA SHETANI:
Hili lilikuwa kosa kubwa sana. Makosa yate yamechepuka kutoka hapa. Shetani anawasababishia watu maovu, then Mungu anawahukumu watu dhaifu. Hapa Mungu inambidi amkamate shetani na kumtokomeza ili maovu yaishe, kama wote wanatoshana nguvu basi wasuluhishe ugomvi wao na kupatana ili maisha yawe ya amani.
2.KUISHI MAFICHONI:
Toka enzi na enzi, Mungu amekuwa akiishi mafichoni, kwanini asijitokeze na kujionesha kwa viumbe vyake? Anaishi mafichoni kwani yeye ni Joseph Kony? Hili limepelekea watu wake kudanganywa na manabii wa uongo na kutapeliwa bure. God come from your hidings and reveal yourself to your people.
3.MAFURIKO YA WAKATI WA NUHU:
Mungu alisababisha mafuriko ili kuangamiza watu waovu na kubakiza watu wema, Yes he did, sasa waovu wa leo wametoka wapi? mbona aliuwa watu wengi bila huruma? Kama mafuriko yalikuwa ni suluhisho la maovu, Yesu na mitume walijia nini? It seems he fought effects instead of causes.
4.SAFARI YA WANA WA ISRAELI:
Mungu aliwatoa wana wa Israel kutoka Misri kwa madai ya kuwapa nchi ya ahadi, matokeo yake aliwaamuru wafanye uvamizi wa nchi za watu(mf. waamori, wamoabu na wakanani). Kwanini asingebadilisha jangwa na kuwatengenezea waisraeli nchi yao? mbona Gadaffi aliweza? Imagine waje wapuuzi hapa TZ wachukue nyumba na ardhi kwa madai kwamba wameagizwa na Mungu, ungereact vipi? WE HAVE TO BE FAIR!
5.KUTOTIMIZA AHADI YAKE KWA ABRAHAM:
Mungu alimwambia Abraham kuwa atampatia uzao wa wana wengi kama nyota za angani au mchanga wa pwani. Sasa hivi ukichanganya walio wa Abrahamu na wasiyo wa kwake bado watu hawawezi kuwa sawa na nyota au mchanga wa pwani. Ata ukijumlisha na waliokufa back to Adam. Atatimiza lini hi ahadi? je kuna muda wa kutosha? mbona watumishi wake wanasema Yesu yuu karibu kuja ili kutamatisha nyakati?
6.KUWEPO KWA MZIO(ALLERGY):
Kwanini watu wengi ambao ni wema wana allergy na vitu alivyoumba Mungu? mbona maandiko yanasema kila alichoumba Mungu ni chema? Kwanini aumbe mimea na wanyama wenye sumu kwa watu wake awapendao? au hakujua?
7.MAJANGA ASILIA:
Kama Mungu aliumba dunia ili iwe sehemu ya amani kwa watu wake na wamwabudu yeye, kwanini kuna matetemeko ya nchi, vimbunga na mafuriko. Kwanini anawauwa watu kikatili hivi? au haya nayo tumsingizie shetani?
8.KUUMBA VIUMBE HATARISHI:
Kwanini Mungu aumbe bacteria, virusi, fangasi na viumbe wengine wanaosababisha magonjwa na kifo? Kwanini hawa viumbe wasingefia kwenye yale mafuriko ya Nuhu ili watu wema alio wabakiza waishi kwa amani? Je hawa viumbe hatari Mungu alimwamuru Nuhu awaingize wawili wawili kwenye safina?
9.JEHANAMU NA MOTO WAKE:
Kwanini Mungu aumbe jehanamu kuteketeza waovu? Kwani hajui kusamehe? Kwanini huruma yake ina kikomo kwa shetani? Kama wewe ni mzazi, mwanao akikukosea na hajaomba msamaha, itabadilisha uhalisia kuwa yule sii mwanao? SHETANI PAMOJA NA WAOVU NI KAZI YA MIKONO YAKE, PRODUCTS OF HIS OWN MIND BEFORE CREATED THEM. So aache kuweka vinyongo na kutamani kulipiza kisasi juu ya kazi yake.
10.KASORO KWENYE MWILI WA BINADAMU:
Kwanini pawepo na mabadiliko hasi kwenye jeni za binadamu(mutation)? kwani hakujua hicho ni chanzo cha viwete??? Kidole tumbo(appendix) ni cha kazi gani? mbona hajatoa maelezo namna ya kukitumia? Na chuchu za mwanaume ni za kazi gani?
TO THE RIGHT WING OR THE LEFT WING WE ARE NEITHER, NOT EVEN AT THE MIDDLE....R.I.P MOBUTU!
===================
Nacheka sana bro. Hapo bila shaka walikutana MAPIPA na MIFUNIKO,unadhani nani angemfunua mwenzake.Wewe kwanza jibu shutuma za kudanganya umma wa JF, kwamba "ulizawadiwa" alama kubwa ya A+, na profesa wako wa falsafa wakati ukiwa masomoni huko Marekani, ulisema ulikonga moyo wa huyo profesa pale ulipomshushia "nondo" za kupinga UWEPO WA MUNGU, na akakuzawadia hiyo alama NJE YA CHUMBA cha mtihani (akakuambia usifanye mtihani wa falsafa) kwa sababu hoja zako za kuthibitisha kutokuwepo kwa mungu zipo juu ya uwezo wao (beyond their understanding).
Kiranga, hiyo ilikuwa ni kauli yako (ninayoweza kukumbuka) na humu ndani imo.
Kwa sababu hii nayo ilikuwa ni moja ya utetezi wako kupinga Uwepo wa Mungu, ndiyo maana ninaishikilia kwamba uitolee maelezo (ifafanue) kwani imekaa vibaya sana, na kama uliteleza basi siyo dhambi kujikosoa kwani hakuna binadamu mkamilifu.
Vinginevyo hii inakuweka katika mazingira ya watu kukutambua hulqa zako yaani inatupasa kuchunguza kwa makini kila andiko lako kwa sababu "you are unreliable and untrustworthy"-- humu jf, kuna takriban watu wa aina mbalimbali zaidi ya 400,000.unatakiwa kuchunga kila unachoandika ukizingatia kuwa uwepo wa Mungu unagusa sensibilities za watu wengi mno ukilinganisha na Atheists ambao mpo wachache.
Wewe huelewi kwamba kufundisha haswa kunaendana na kujadiliana.Nacheka sana bro. Hapo bila shaka walikutana MAPIPA na MIFUNIKO,unadhani nani angemfunua mwenzake.
Hapo walikutana wajinga tupu,unafikiri kuna nini zaidi ya kujazana ujinga.
Kama hoja zenyewe ndio hizo anazozileta humu basi,daah hakuna wajinga duniani kuliko watu hawa.
Hasomi mtu falsafa isipokuwa atafisidika kwa akili yake. Laiti wangekuwa wasomaji na watafiti wapembuzi ningewapa vitabu vya tangu na tangu wakasome na wangefaidika sana,tatizo marejeo yao ni google.
Mtu kama Kiranga kwangu mimi sisi wa kujadiliana nae,ni kumfundisha tu.
Asante sana kwa hili............
Duh! basi hata hii Jf nayo atakuwa aliumba yeye Mungu?
Wewe mimi nimeamua kukifundisha sasa.Wewe huelewi kwamba kufundisha haswa kunaendana na kujadiliana.
Juha.
Hujathibitisha Mungu yupo.
Huwezi kuthibitisha kwamba Mungu yupo.
Hutaweza kuthibitisha Mungu yupo
Kwa sababu hayupo.
Kama unabisha, thibitisha kwamba Mungu yupo.
Unajua kusoma?
Wewe unayetaka kuthibitisha Mungu yupo ndiye una kazi ya kuelezea inakuwaje Mungu yupo, halafu huu ulimwengu nao upo.
Sasa unataka kunipa kazi hiyo mimi?
Wwewe unasema 1 + 1 ni 5.
Mimi nakwambia hiyo hesabu imekosewa, base ten math 1 + 1 = 2.
Wwewe unashikilia 1 + 1 = 5.
Nakwambia thibitisha 1 + 1 = 5, huwezi.
Halafu unaniuliza "wewe ushasema 1 + 1 haiwezi kuwa 5, sasa hata nikikuthibitishia 1 + 1 = 5, hilo jibu utalizungumziaje tena"
Nakwambia thibitisha kwanza, halafu mengine tuongee baada ya kuthibitisha.
Na kuelezea inakuwaje 1 +1 = 5 ni sehemu ya uthibitisho wako, usinipe kazi hiyo mimi, mimi sijasema 1 +1 = 5.
Kuelezea inakuwaje Mungu huyo yupo na ulimwengu huu upo ni sehemu ya uthibitisho wako, usinipe kazi hiyo mimi.
Thibitisha Mungu yupo.
Usilete mazingaombwe ya kunitaka mimi nithibitishe kitu ambacho sikikubali.
Logical non sequitur.Nacheka sana,sisi ndio maana huwa tuna waona nyinyi wajinga msio jielewa.
Tukiwa ambia hesabu ni mambo ya kufikirika na makubaliano ya wana mahesabu ambayo kiuhalisia hayawezi kufanya lolote,msidhani kwamba sisi hesabu hatuzijui.
Nilikuonyesha ujinga wako katika somo la mantiki,na ninataka nikuonyeshe ujinga wako katika somo la hesabu.
Pili,niliwahi kukuelezea kuwa huna ujuzi wa kutoa mifano kwa uwiano sawia. Sasa ni ajabu kutoa mfano wa kimahesabu kwa suala ambalo liko wazi na lisilohusiana na mambo ya kimahesabu.
Nimerudi hapa kwa sababu umeleta hoja ya kimahesabu,sasa nataka kukuonyesha ya kuwa hesabu tunazijua sana.
Ulipo muuliza huyo bro hapo juu kuhusu 1+1=5. Hesabu hii kimahesabu ina wezekana bro.
Kama ninaweza ku prove 1=2 na 0=1, iweje nishindwe ku prove 1+1=5 ?
Sasa huoni kwamba unawachoresha wana mahesabu ?
Ona hapa chini :
1+1+0=5
Kama 1=2 na 0=1,bila shaka ;
2+2+1=5
Sasa hapo nini cha ajabu ?
Muache ujinga bro...........
Kwa kuwa unapenda kunukuu aya za Qur'an basi Allah alijua na hakukosea pale aliposema:-
ربما يود الذين كفرا لو كانوا مسلمين
Rrubamaa yawaddu KAFARUU lau kaanuu muslimiin.
Yaani;- Huenda ikawa Makafiri wanatamani wangekuwa WAISLAMU. (15:2)
Asro nomaa kama unatamani kuwa Muislamu unakaribishwa tu.
Kuhusu Mungu kakutana wapi na Mtume Muhammad (saw), ni kwamba nyie "Atheists" akili zenu siku zote zinawaza "physical visualizing" tu mkipelekwa kwenye "spiritual visualizing" mnachanganyikiwa kabisa, nyinyi mlitaka Mungu akutane na Nabii wake kama jinsi nyinyi mnavyokutana na waganga wenu wa kishirikina?!!😁😁. Au mlitaka Mungu awe na ofisi fulani kama zile za vyama vya siasa??😁😁, akili zenu ndogo kweli 😁😁.
Mungu huwasiliana na Manabii wake kupitia malaika mkuu Jibril (Gabriel).
Naona somo umeanza kulielewa sasa. Huku unapotak kupaingia najua huwezi kutoka nikitaka kujadiliana na wewe kuhusu mambo ikhtilaafat za wanazuoni.
Mimi mwenyewe ni Shafii kwa madhehebu ya kifikihi.
Nachotaka mimi useme haki sio unapayuka.
Naona unataka turudi nisipopataka,sababbi wewe unajinadi ya kuwa unaujua Uislamu hali ya kuwa ukweli ulivyo ni kinyume chake.
Ina maana hujui hata nini maana ya Utume mpaka useme mapadri walimpa utume ?
Ujinga mzigo sana. Soma,nasema tena soma.
Nipo.....
Nacheka sana. Bro haya mambo tumeyafanya kitambo ndio maana nakwambia.Logical non sequitur.
Ume force 1=2 bila proof.
Unaweza ku prove 1 = 2 ?
Unataka JF nzima ikuone unalazimisha 1 = 2 ?
Vizuri mno na hapa bado naendelea kuisoma. Na vitabu nilivyovisoma naweza kukuorodheshea hapa chini nikiona kuna haja ya kufanya hivyo.Umesoma historia ya Muhammad?
Kaka hili swali silikwepi,na hapa nakufundisha ujue adabu za kijadiliana na adabi za kielimu. Miongoni mwa adabu za elimu ni haramu kuongea jambo ambalo huna elimu nalo.Hata mimi nashukuru unaanza kuelewa
Hili swali unalikwepa nini maana ya shairi?
Ila bro unachekesha sana,hesabu unazozitegemea wewe zinakubali hilo.Logical non sequitur.
Ume force 1=2 bila proof.
Unaweza ku prove 1 = 2 ?
Unataka JF nzima ikuone unalazimisha 1 = 2 ?
Umilazimisha 1 = 2 sikushangai.
Hiyo ni contradiction.
Wewe hata Mungu unayemuamini ninwa contradiction.
Unaabudu contradiction.
Siwezi kushangaa ukilqzimisha 1 = 2.
A= B.
In fact, anything = anything.
Anything = everything.
Sasa andika kwa kuchanganya herufi tuone kama tutaelewana hapa.
Unaelewa ukisema 1 = 2 unakubali Mungu hayupo?