Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 85,992
- 146,310
Hahahahahaha,Kwa kuchunga adabu za kielimu hili suala la 1=2. Kiukweli haliwezekani kwa makubaliano ya wana hesabu hali kadhalika katika uhalisia pia haliwezekani.
Katika hili bro Kiranga uko sahihi.
Kwa hili nakiri wazi kabisa nimekosea.
Nipo......
Umekosea wapi?
Umejuaje kwamba umekosea?
Gadeeemu, unataka kunigawanyia kwa zero hapa?
Yani hapa ungekuwa unajibizana na kichwa tepetepe.mtu angeshakukubalia, au angekupinga bila ya kujua kosa liko wapi.
Tatizo lako hesabu unazotaka kunilisha tango la pori leo mimi nimezifanya nikiwa na miaka 14.Form one Tambaza.
Huku nikimsoma Isaac Asimov, Arthur C Clarke, Robert A Heinlein, H.G Wells and the like.
Ushawahi hata kuyasikia majina hayo?
Leo unataka kunilisha matango pori kwa hesabu nilizozifanya at 14?
Unaelewa kwamba contradiction inayokataza 1=2 ndiyo hiyo hiyo inayokataza kuwepo kwa Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote?
Unaelewa Mungu huyo ni singularity sawa sawa na singularity ya division by zero?