Mi naamini yupo Allah, ushahidi ni kuwepo kwangu Mimi na ww na binadamu wengine mimea wanyama milima na bahari nk, naamini kuna aliyeumba hvi vitu ukiangalia namna vinavyofitiana na kutegemeana."usione vyaelea ujue vimeumbw" yeye ndie wakuamua atutumiaje iwe tunaridhika au hapana, hatasheria ya nchi Si wote wazipenda MF mwizi hapendi sheria inayokataza kuiba, mzinzi hapendi sheria inayozuia kutembea na wanafunzi. chukulia bila kuwepo kwa hizi kanuni za kiungu au za nchi tungeishije? Yaani kubaka, kuiba ruksa ni nguvu zako tu kama wanyama, binadamu tumepewa taratibu na Mungu sababu ya utashi mkubwa tulopewa tofauti na viumbe wengine, yeye anajua ni kwani mengine katufunulia na mengine hapana, tens kafunua kwa awamu yaani torati, zaburi, injiri na qurani, mtoa mada ni mwanazuoni anayefikilisha akili na kutafuta majibu ya maswali magumu, je kama ungeweza soma Qur'an ya waislamu, sikiliza mawaidha ya mashekhe YouTube naamini utaweza pata majibu kwa lengo la kujifunza na sikwambii kwa lengo la kusilimu as elimu haina mipaka. Ujue maksai nae hujiuliza sana kwanini mwanadamu anamulimisha sana mashambani na huona kama anateswa bila sababu, kwako mtoa maada!!! Kama aliweza kumuumba shetani, akaangamiza watu wa nuhu nk Hakika anauwezo%. Ni bora kutafta maarifa kwa juhudi zaidi ili upate kumwamini maana kufa ni lazima hata uishi miaka mingi, kwa mambo makubwa aliyoyafanya ikiwa ni pamoja na uliyoyaorodhesha kama makosa bila shaka unaamini ukuu na uweza wake hvyo hekima na uchaguzi wa maneno umzungumziapo yatupasa tuishike. Lengo la kuubwa sisi ni tupate kumuabudu yeye, ng'ombe uliyemfuga lengo akupe maziwa wewe hatakama hajui maziwa yanakusaidia nn we. Naamini Mungu anamengi tusiyoyajua ndio ametutaka tumuamini kwa nafsi zetu maana mengi hatuyajui,