4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 11,301
- 12,952
Wana Mungu jf ,amani ya Bwana ikawe juu yenu.
Nyie mliopata viti kwa hila , sio mda wa kuleta drama ambazo hazina msingi, bila kujali wewe ni nani utakufa kwa mateso makubwa sana , leo ati mtu yupo pale kwa hila alafu unajitutumua , Taifa lazima lishinde kwa hila za kipuuzi ,tueshimiane , hili Taifa sio la baba yetu au mama zetu ,bali ni la watz wenyewe .
Kuna siku itafika mtajuta, na sio mda.
Kuwa pale sio kwamba upo na akili sana ,tueshimiane .
Unatamka funga watu kama ni kweli kwa miezi sita , wewe umefungwa na nani ?
Tueshimiane,
Viongozi wandamizi wa Taifa hili leo wako wapi ,ipo kesho na huwezi jua nani atakuzika ,dunia duara