hii nchi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Tulikaa Kimya kwa POLEPOLE, Tukikaa Kimya kwa NCHIMBI, nawahakikishia, Hii NCHI itaongozwa Kifaulme !! Mpaka Lissu anamuulizia!¡

    Mpaka Lissu anamuulizia, Nchimbi hajaamua kukaa kimyaa kama Machawa wanavyojaribu kutuaminisha. Nilitegemea, Vyama vyote vya Upinzan, viungane, viulize NCHIMBI Yuko wapi??. Dr Nchimbi, alikua ni Makamo wa Rais, kweli Watanganyika tumeshindwa mtafuta Mtanganyika mwenzetu??. Kweli Kanisa...
  2. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Hii nchi ni kama jalala

    Juzi nimenunua headphones za JBL nikauziwa bei ndogo sana, nilidhani nimewachapa ila kumbe ni copy na nilijua hilo ila nikikausha tu.. Hazina quality ya aina yoyote. Imenifikirisha sana. Nikiangalia product nyingi bongo ni kama tuna consume makapi tu. Hakuna ubora katika kila kitu...
  3. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Gen Z ndio watakao leta mabadiliko

    Ukweli usemwe tu, Millenial wameishia kuwa wahanga wa program za kibepari kutoka kwa mababi zetu. Bado wanaimani potofu, bado hawana uhuru wa kifikra.. Ila sisi, Gen Z tumeibuka na kuanza ku question system, tunaquestion mifumo ya kikatiba, siasa na dini. Ni kwasababu tumeshuhudia millenial...
  4. Trainee

    JamiiForums Tanzania Hii nchi kuna mambo wewe unajua yamebaki stori lakini kumbe kuna maeneo ukienda unakuta watu wanayaishi bado!

    Mtandao na internet Kuna maeneo Bado watu wanajitega kwa ajili ya kupiga simu na kuingia internet Tigo na kujimwambafai kote Kuna maeneo Bado ni bilabila Barabara na uchukuzi Kuna maeneo Tanzania hii hii kipindi cha mvua wanakata muingiliano/mawasiliano ya kutoka na kuingia mpaka mvua...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Hivi hii nchi hatuna wazalendo wenye nyadhifa za juu kwenye majeshi yetu?

    Maana wazalendo tusiokuwa na uwezo wowote wa kulazimisha mabadiriko tukipaza sauti tunalazimishwa kujiuzulu, au kupotezwa. Sasa nauliza huko kwenye majeshi yetu hatuna wazalendo ambao hawawezwi kupotezwa wala kulazimishwa kujihuzulu wanapopaza sauti ya kulinda mali za watanganyika? Captain Tesha...
  6. Waterloo

    JamiiForums Tanzania 2030 Kuna watu watakimbia hii nchi. Hifadhini maneno haya

    Wezi na wabadhirifu wa Mali ya umma, mafisadi na familia zao, matajiri wa dili ambao kwa awamu hii wanatamba wajiandae. Mapema 2030 watahama na Mali zao kutaifishwa. Huyu Samia kitakachomlinda ni katiba hii mbovu ila akijichanganya tukapata katiba yenye meno na yeye atavuna alichopanda.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Bila Rais Samia hii nchi ingejifia kitambo sana,Rais bora kuwahi kutokea kwenye Taifa hili

    Rais samia ndiyo Rais bora kuwahi kutokea kwenye Taifa hili na nina uhakika bila yeye hii nchi ingejifia kitambo sana Rais samia kipenzi cha wanyonge na kiboko ya wapizani na nina uhakika wapinzani wanampenda na kumkubali sana Muda mfupi Rais samia amejenga miundombinu mingi sana...
  8. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Hii nchi vipi, imekuaje Kila Kona ni malalamiko na vilio?

    Aisee imekaaje hii, mbona Kila kitu kimekua hovyo. Vilio Kila Kona imekaaje hii?
  9. R

    JamiiForums Tanzania Hii nchi ngumu sana

    Hii nchi ngumu sana! Tanganyika ukitaka kuiona basi ni hapo TAMISEMI - ila sasa tumeletewa DC huyu Mohamed Hasan Moyo ambaye kwa mujibu wa taarifa ni mzanzibari! Isitoshe kumbe ni baba watoto wa Wanu na ndo mume wa kwanza - Mchengerwa ni mume namba mbili! Yaani mmekosa nchi nzima mtu wa kumweka...
  10. O

    JamiiForums Tanzania Hii nchi ya Ghana mambo yake kama haipo Africa vile

    Ghana wapo kwenye mchakato wa kupitisha Sheria ya kuwaruhusu wananchi wenye uraia nchi nyingine(diaspora) kuwa na fursa ya kugombea ubunge na kuwa na haki ya kuteuliwa nafasi ya uwaziri! Cha ajabu nchi yetu diaspora haruhusiwi hata kumiliki shamba kwenye nchi yake ya asili! Hivi changamoto hasa...
  11. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kama tunavyowaambia CCM hii nchi sio yenu peke yenu. Vivyo hivyo na CHADEMA hamna hatimiliki ya Ukweli na Demokrasia peke yenu

    Hamjambo! 1. Bado tunawekana Sawa. Tunazungumza. Ili mambo yakae sawa. 2. Kuna vitabia vya ajabuajabu ndani ya nchi yetu. Tabia ya kujimilikisha mambo ambayo hayamilikiwi na yeyote. Mambo ya wote kundi na genge Fulani linahodhi na kujimilikisha. Hiya ni dhulma. 3. Ukweli, uzuri, uponyaji...
  12. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Kwa Hali hii, nchi itafakari kuhusu Maisha ya Raia Wake

    Juzi nilienda hospital moja ya serikali. Baada ya mlolongo mrefu wa huduma za hapa na pale, hatimae nikaelekezwa ilipo duka la dawa la hospital nkaenda kununua hapo. Nikiwa hapo katika foleni ya kununua dawa Kuna wagonjwa waliokuwa mbele yangu na wengine pembeni yangu ambao walishindwa kumudu...
  13. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Picha: Hii nchi kila mtu tapeli

    Weka comment nzuri inayoendana na Siasa itakayo maanisha hii picha. Mshindi namwekea bundle
  14. O

    JamiiForums Tanzania Tukubaliane sasa hii nchi haina Wazee bali Wahuni waliozeeka

  15. blogger

    JamiiForums Tanzania Hii Nchi kama unaweza kuhama haama. Na kamwe usirudi tena

    Yani ni Bora ukajipoteza kabisa Msikilizeni hapa Mwigulu alivyojibu swali hili la msingi kabisa. Nimechoka.😓😓
  16. 4

    JamiiForums Tanzania Makonda usitishe watu hapa , hii nchi sio ya baba yako au mama yako ,chunga kauli zako

    Wana Mungu jf ,amani ya Bwana ikawe juu yenu. Nyie mliopata viti kwa hila , sio mda wa kuleta drama ambazo hazina msingi, bila kujali wewe ni nani utakufa kwa mateso makubwa sana , leo ati mtu yupo pale kwa hila alafu unajitutumua , Taifa lazima lishinde kwa hila za kipuuzi ,tueshimiane , hili...
  17. Fbn

    JamiiForums Tanzania Ni bora ukasema hii nchi inachama kimoja na inafanya watakavyo kuliko kuishi kwa kusema kuna democracy watu wajue cha kufanya sio kutumia kuua kuficha

    Kuna rafiki yangu ni taifa ambao wamenyooka sana kwenye elimu sana na matendo yao. Wanacho kwambia kama umetaka kufanya usilete kuchanganya pande mbili kuonesha kama sio wewe. Leo hii kwa kiduku inajulikana maamuzi yake ila wananchi wengi wameshaamua kama ikitokea uwezi wanaweza kuondoka na...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Sheikh: TEC Mnatakiwa mjue hii nchi sio ya kwenu, Kauli za Kitima hazitofautiani na Mange aliyelaaniwa

    Wakuu, Tunaendelea pale tulipoishia Shekhe anatoa hoja zake kwa Baraza la Maaskofu TEC, Padre Kitimana Mange Kimambi Hoja za Sheikh - Kwani Kitima ni nani? Maana anafanya mambo utafikiri ni Waziri Mkuu - Halafu hawa TEC wanatakiwa wajue hii nchi sio ya kwao - Kauli za Kitima hazitofautiani...
  19. Nitaenda Misaa yaTatu

    JamiiForums Tanzania Askari uhamiaji mwenye asili ya Rwanda kukagua uraia wa Watanganyika ni maajabu.

    Pale Kamsisi kama sijakosea ukiwa unatokea Tabora au Mpanda karibu na mzani Kuna Beria pale. Jana tulisimamishwa akaingia askari uhamiaji mwenye asili ya kihutu completely yaani huulizi mara2 Etii kaanza kunihoji kuhusu vitambulisho nilimuambia Sina kitambulisho hata kimoja nimesahau...
  20. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Vijana Tumechoka! Hii Nchi Si Mali ya Familia Zenu, Acheni Utoto wa Power!

    Kuna swali najiuliza daily maze… hivi tuko na wasomi wangapi kwenye hii nchi? Yani unaweza kuangalia youth wa Bongo, watu wamesoma mbaya, wako sharp, wako ready kufanya kazi, lakini guess what? Hawa jamaa hawajawahi kabisaa kukalia kiti cha decision making. Ni like system imekuwa pre-set kuwa...
Back
Top Bottom