souljah meditater
JF-Expert Member
- Oct 15, 2012
- 2,146
- 2,103
Kuna mijitu inatetea huyo punga kuhojiwa na kuzungumzia upuuzi wake hadharani kwa kigezo cha kuonyesha ukweli unaoendelea kwenye jamii yetu, ila ikumbukwe pia upande wa pili unawapa fursa hao mashoga kufanya upuuzi wao hadharani na hii itaambukiza kwa watoto kuona ni kitu cha kawaida hatimaye kushiriki vitendo hivyo... huu udhamini wa watu wa marekani na NGO zinazodhaminiwa na nchi zinazo support ushoga ni janga kubwa, hawa wafanyakazi wa clouds wengi wao ni mapunga so lazima waonyeshe support