Makonda apiga simu Clouds Tv 360 kukemea ushoga

Makonda apiga simu Clouds Tv 360 kukemea ushoga

Nimesikitishwa sana na kipindi cha Take one kilichoiendeshwa na Zamaradi Mtetema katika Clouds TV pale walipomwalika shoga na kufanya naye mahojiano baddae kikirusha hewani. KIBAYA ZAIDI shoga huyo hakujutia kitendo hicho huku akijisifia kwa mambo anayofanya.
Ushoga kweli Upo ila kitendo cha kuwapa airtime ni kudhihirisha kuwa ni kitendo cha kawaida hata watoto watu watajua ni jambo la kawaida. Ikumbukwe kuwa sio Mara ya kwanza clouds kufanya kitendo hiki, kipindi cha power break fast walishafanya kosa kama Hilo ila inaonekana hawajajirekebisha.
Kwa mwenendo huu tukisema Cloud FM & TV ni channel ya kupromote ushoga na tabia chafu tutakusa tumekossa?
Je ni hatua gani pendekezwa zichukuliwe dhidi ya Clouds media na watendaji wake?
 
uliangalia hicho kipindi????
 
bora hata chura ya snura ilikuwa inatupa muwashawasha ila sio huu ushoga
 
Kumbe wanazo n.g.o.s zao muhimbilll hospital ya serikal wanapewa ky jelly kinga dettol wanapimwaa uuuwiiii# Mungu atunusuruu kwakwelii# inamana wanatambulikaaa kabisaa Kama nakitengoo wanachoo
 
Watanzania tunashindwa kujadili ni kwann tatizo linaongezeka na no kwanii taasisi kama ya muhimbili inakuwa na Huduma ya kuwahudumia watu hao
 
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam amepiga simu moja kwa moja (live) kwenye kipindi cha Clouds 360 kinachomhoji mtayarishaji wa kipindi kilichorushwa jana cha Take one Zamaradi. Kipindi hicho kilimuonyesha maisha ya shoga almaarufu KANGE.

kwa issue ya jana TCRA inabidi iwachukulie hatua clouds kwani kurusha live ishu kama ile inachochea jamii kujihusisha na ushoga kwani kama uliangalia utaona kuwa yule shoga alikuwa hajutii ni kama anajiadvertise hiyo inaweza wamotivate wengi waje kwenye tv's kujitangaza maisha yao ya ushoga
 
Akili za kuambiwa changanya na zako,,, usipende kuamin maneno ya kuambiwa.
 
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam amepiga simu moja kwa moja (live) kwenye kipindi cha Clouds 360 kinachomhoji mtayarishaji wa kipindi kilichorushwa jana cha Take one Zamaradi. Kipindi hicho kilimuonyesha maisha ya shoga almaarufu KANGE.
Mahojiano yaliyokemewa na Makonda haya

KUMEKUCHA.....!!
 
Kupitia hicho kipindi ndio nimejua kuwa serekari inasapot ushoga.
Kwani huyo shoga anasema wana enjoz pale muhimbili inawa vitendea kazi vya ushoga kama mafuta ya kulainisha, detto ya kusafisha kondom na misaada mengine.
Unaweza ukaambiwa kitu mbele ya watu ukakikataa na kufoka kweli kweli..
Lakini hicho ulichoambiwa mbele za watu ukafoka..aliyekwambia akaenda kukubananisha ukiwa peke yako UKAKIKUBALI kwa moyo mkunjufu kabisa..
 
kwa issue ya jana TCRA inabidi iwachukulie hatua clouds kwani kurusha live ishu kama ile inachochea jamii kujihusisha na ushoga kwani kama uliangalia utaona kuwa yule shoga alikuwa hajutii ni kama anajiadvertise hiyo inaweza wamotivate wengi waje kwenye tv's kujitangaza maisha yao ya ushoga
Miaka kama 6/7 hivi katika kipindi cha "NJIA PANDA na DK. SEBA NDEGE KAMA SIKUKOSEA" waliwahi kuwa hoji MASHOGA. mbona hatukuona utaratibu kama huu..!! Dunia imebadilika sasa, ukisema unaficha unajidanganya. Jamii inazidi TEKETEA kwa ulimbukeni wa kuendekeza kuiga maisha ya MAGHARIBI na tunasahau MAJUKUMU yetu katika FAMILIA zetu. KIkubwa watu wapewe semina za malezi ya watoto. Haya maisha ya kuzaa alafu watoto unawaacha kwa BIBI akusaidie kuleo yakome SASA. Baba na MAMA ni wakati wa kujiuliza "
1.Unafahamu Maisha ya watoto wako,
2. Una urafiki na watoto wako kiasi cha wao kukuamini na kukueleza siri na maswahibu yanayo wakuta
3. Unapata muda wa kuketi na watoto au ndio wale wazazi wanaosema maisha magumu, alafu wikiends unakaa na washikaji bar mkila ngano"

Niwatakie malezi bora kwa vijana wetu...!!
 
Kitendo cha TV Clouds jana kuwa na kipindi maalumu ambacho kilikuwa kinazungumzia ushoga, na kumkaribisha shoga mmoja ambaye alipewa airtime ya saa nzima na kujifanyia promosheni na kuonyeshwa kote ambako station hiyo inafika, ni kinyume na maadili ya mtanzania.

Kitendo hicho cha kishenzi kinakwenda kinyume kabisa na utamaduni na heshima tuliyonayo kama watanzania, ambao tunalaani aina zote za ushoga. Ninatumaini vyombo vinavyohusika vitachukua hatua kali sana dhidi ya shoga huyo na wale wote waliomfanyia promo. Imagine vijana wengi, ambao ni wapenzi wa station hiyo wanaona picha gani?

Mimi bado ninayo maswali mengi sana juu ya utangazaji wa Clouds media, ambao kwa kiasi kikubwa umekuwa ukikiuka maadili ya tasnia ya utangazaji na unajiuliza kama ipo haja ya kuendelea kuwa na stations zinazochochea mmomonyoka wamadili kiasi hiki.

Huku nyuma vimewahi kusikika visa vya watangazaji kutukanana na hata kupigana wakati kipindi kinakwenda live.

NB: HATUA ZICHUKULIWE SASA DHIDI YAO, MAANA HATUJUI KESHO WATAKUJA NA NINI!
 
Back
Top Bottom