Makonda apiga simu Clouds Tv 360 kukemea ushoga

Ndugu,

Jana katika television moja ya hapa kwetu ijulikanayo kama clouds tv, ilirusha kipindi chenye maudhuhi ya watu wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja (mashoga).Hoja yangu, katiba yetu na sheria hairuhusu hiloPia mila na desturi zetu haliruhusu hiloJamii yetu haijazoeshwa kuwa na vipindi vyenye mlengo wa kushoto kama hiki.

Najiuliza TCRA wako wapi? Waziri mwenye dhamana ndugu Nape atachukulia poa? Au kwa sababu ni washikaji watakausha?

NB: Hili jambo likifumbiwa macho jamii yetu itapata athari mbili;

1. Watoto wataona ni jambo la kawaida
2. Wapo watu na misimamo mikali hawatakubali hili liendelee sisi siyo kisiwa.

Watu wajue asili ya ndoa ni Mume na mke, fullstop.
 
Ndugu, jana katika television moja ya hapa kwetu ijulikanayo kama clouds tv, ilirusha kipindi chenye maudhuhi ya watu wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja (mashoga)
Hoja yangu, katiba yetu na sheria hairuhusu hilo
Pia mila na desturi zetu haliruhusu hilo
Jamii yetu haijazoeshwa kuwa na vipindi vyenye mlengo wa kushoto kama hiki.
Najiuliza tcra wako wapi, waziri mwenye dhamana ndugu Nape atachukulia poa? Au kwa sababu ni washikaji watakausha?
Nb... Hili jambo likifumbiwa macho jamii yetu itapata athali mbili, 1_watoto wataona ni jambo la kawaida
2-wapo watu na misimamo mikali hawatakubali hili liendelee sisi siyo kisiwa
Watu wajue asili ya ndoa ni Mume na mke, fullstop.


Mkuu mimi naona kuna juhudi za makusudi za watu flani tena wamejipanga sana kulifanyia kampeni na kulihalalisha hili suala kwenye jamii yetu
Angalia hata humu JF kuna watu wamejitokeaza kulipigia sana chapuo
 
Tushasema mara kadhaa kuhusu wanaoangalia hio chanel, mnachokilalamikia ni nini hio tv inawahusu watu wenye hizo fani
kabisa,it was kinda a promotion.Halafu shida nyingine ni kwamba wanasiasa hao hao wanaitumia ile TV kwa promo zao binafsi. inachanganya kwakweli
 
kawaambiaje au huyo mtayatishaji katoa maelezo gani
Kaeleza ukubwa wa tatizo na kama wazi nivyema kuwa karibu na watoto

Makonda kasema serikali watachukua hatua hasa katika kushauri na kuwa taka wanasaikolojia kusaidia kutoa ushauri kwani tatizo ni kubwa.
 
Back
Top Bottom