nina imani kuna wakubwa wengi tu wana support hizo habari (sijui kwa benefits zipi). haiwezekani stesheni kubwa kama ile kukumbatia mambo ya ajabu kama hayo. adhabu pekee inayowafaa ni kufungiwa tu,sio kulipishwa faini wala kukemewa tena kwa simu!! inatia kinyaa sanaMbwa akikuzoea saaana mwishoe utaingia nae msikitini. Clouds ni TV pendwa ya Mheshimiwa ila kwa sasa naona kuna jambo wanalitafuta. Kama kuonywa wameshaonywa sana na TCRA kuhusu hizo habari za ushoga lakini bado wameng'ang'ania kuzitangaza. Kama faini kulipa wameshazoea kuzilipa kwa ajili ya kutangaza ushoga. Ni wakati sasa wa TCRA kufikiria adhabu nyingine.
Ukumbuke wao ni watu wazima na wanaelewa kipi wanakifanya na hayo matangazo yamesharushwa na kutizamwa na jamii kubwa, hapa ipo namna sio bure, au wanataka (ingawa sio rahisi) tufikirie kwamba hao wakubwa ndio wamewatuma watutangazie hizo habari za ushoga?
BrilliantMmmh.. Kwanini asipige TCRA
hahahah,apongeze na hiliNawapongeza sana watu wa Clouds TV kwa vipindi vyenu, mimi na Mama huwa hatuachi kuangalia vipindi vyenu! By Magufuli na mkewe.
Well said!nina imani kuna wakubwa wengi tu wana support hizo habari (sijui kwa benefits zipi). haiwezekani stesheni kubwa kama ile kukumbatia mambo ya ajabu kama hayo. adhabu pekee inayowafaa ni kufungiwa tu,sio kulipishwa faini wala kukemewa tena kwa simu!! inatia kinyaa sana
Ingawa wengi wamechukizwa na hiki kitendo na wamekuwa wakirudiarudia hizo habari usijekuta na hili likafumbiwa macho kwa kuwa tunaaminishwa kwa hicho kituo ni TV pendwa ya wakubwaNajiuliza TCRA wako wapi? Waziri mwenye dhamana ndugu Nape atachukulia poa? Au kwa sababu ni washikaji watakausha?
NB: Hili jambo likifumbiwa macho jamii yetu itapata athari mbili;
1. Watoto wataona ni jambo la kawaida
2. Wapo watu na misimamo mikali hawatakubali hili liendelee sisi siyo kisiwa.
Watu wajue asili ya ndoa ni Mume na mke, fullstop.
hahahah,apongeze na hili
Clouds haiwez kufungiwa hata siku moja
Ni mali ya chama nje ya mfumo rasmi